Salaam !
Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa.
Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon!
NRNE 💪 🔥
Karibuni 🙏
Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni.
1. Huduma bora za afya
2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira.
3. Sera nzuri za kufanya biashara.
4. Elimu bora na yenye viwango.
5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii.
6...
Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
Muda umefika sasa kwa wakazi wa Songea town kwenda na Eng. Fuko kwa maendeleo ya wa Songea town, tunaowamba wajumbe msifanye kosa hata kidogo siku ya kupiga kura
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.
Inasemekana Baadae Saa 8...
Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, ambaye ni Mwalimu na Mwandishi mahiri wa Makala , Mwl. Makungu Mussa Sweya, jana 2/7/2025 alichukua na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwl. Makungu Ms amesema...
Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji.
Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo
Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee
Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa
Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk.Kellen-Rose Rwakatale amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba mkoani Morogoro.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Rwakatale amesema anayo dhamira ya dhati kulitumikia jimbo hilo la Mlimba kwani anazijua changamoto...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha anayemaliza muda wake Cecilia Paresso amechukuwa fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha
Paresso amekabidhiwa fomu hizo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Karatu hivi leo na Katibu wa Chama Cha...
Mhandisi na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jafari Hegga amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki.
Hegga amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Festo Kiswaga, amejiingiza rasmi katika mbio za kisiasa kueleka uchaguzi mkuu 2025 kwa kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero...
Salome Sengo Amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Lupa
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mh Justin Lazaro Nyamoga mapema June 28 ameanza safari ya kutetea tiketi ya kuwania Ubunge kwa awamu nyingine Jimboni Kilolo Mh Nyamoga baada ya kuchukua fomu katika ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kilolo alielekea kanisani kumshukuru Mungu kwa zawadi...
Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao.
Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote!
Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.