jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kimeumana huku, Mtia nia Ubunge CCM Jimbo la Makambako Deo Sanga, akijibu swali la Mwananchi kuhusu Mitungi ya gesi aliyodai kugawa

    Sikilizeni hii wakuu, Mtia nia nafasi ya ubunge Jimbo la Makambako kupitia chama cha mapinduzi jimbo la Makambako Deo Sanga akijibu swali la katibu wa mtaa wa bwawani umoja wa wanawake Grolia Nyaluke.
  2. FK21

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kwimba uyu dogo nguvu anatoa wapi?

    Amekuwa akiletewa Zengwe na wenzake wagombea kuwa anamwaga sana pesa (ruswa) Kiasi cha kukoswa koswa kukamatwa mara kadhaa. Je uyu bwana mdogo COSMAS BULALA ni nani na pesa ya takrima kwa wajumbe anaitoa wapi?
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eric Shigongo adai Buchosa kuna watu wamesambaza pesa ili wamuondoe kwenye jimbo lake

    Wakuu, Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake. "Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

    ENEO la Isyesye nyumbani kwa Dr Seria Masole Shonyela mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole. Wametumwa vijana wa boda boda kama thelasini na pia wamevamia nyumbani kwa akina Dr Seria na wamefanyq uharibibu kwa kuvunja vioo vya gari na kuipindua juu chini. Huyu mgombea HAKUBALIKI Mbeya Jiji ndipo...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau: Kuna Majina hewa yanapewa hela za TASAF

    Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau kupitia tiketi ya CCM amesaidia kuwasaidia wananchi ambao hawapati pesa za Tasaf na badala yake wanapewa wasiostahili. Chanzo: Kikeke Digital Pia soma ~ Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Meme: Jimbo la Kilwa pamoto sana

    :
  7. Mmawia

    JamiiForums Tanzania GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

    Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma. Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani. Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form. Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yampitisha Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha mfanyabiasha maarufu Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni mjini. Salum atachuana na wagombea wengine watano. Katibu wa Itikadi na Uenezi, Amos Makala ametangaza majina hayo leo Julai 29, 2025.
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mrisho Mgambo atupwa kwenye jimbo la Arusha Mjini, Makonda apita kwenye mchujo

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Ile battle ya Makonda na Gambo imeisha rasmi, Makonda kapita kwenye mchujo
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM isimpe Mgombea huyu Jimbo la Sikonge, sababu ni hizi

    Wakati vuguvugu la mchujo wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likizidi kupamba moto, mgombea ubunge wa Jimbo la Sikonge, amejikuta katika hali ngumu baada ya kufichuliwa kwa tuhuma nzito kuhusu mienendo yake, zilizotolewa na watu wa karibu. Akizungumza na mwandishi wetu, mmoja wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Mchengerwa Ataka Kukamilika kwa Ujenzi wa Barabara Jimbo la Ukonga kwa Wakati.

    Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati. Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kuna watu wanajiita great thinker bado wanauziwa uongo kwamba Mbunge analetea jimbo maendeleo. Huu ni uongo mkuu.

    Kuna nyakati zifike watu tutumia akili tulizo pewa na Mwenyezi Mungu, tupunguze kuuziwa ujinga na hadaa. Hakuna mbunge kutoka chama chochote kile anaweza letea Jimbo lake maendeleo ilihali nchi haina sera za Jimbo na jimbi linategemea sera za nchi. Hawa wabunge tunao wapigia chapuo kwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ukonga wataka mabadiliko Ubunge, wamtaja Msama kuwa ni mpambanaji

    Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
  14. Now and then

    JamiiForums Tanzania Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

    Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu . Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda . Nina mashaka Makubwa na Elimu yake. Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi. Hatuwezi...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Lindi Akamilisha Ziara Kata kwa Kata Jimbo la Mchinga kwa Kishindo

    _WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO _ Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Charles Mwanziva amehitimisha kwa kishindo ziara ya kikazi Kata kwa Kata katika kata zote za Jimbo la Mchinga- Lindi Manispaa ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Wilaya nzima ya Lindi katika majimbo matatu ya...
  16. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ‘Dkt. Shika’ apoteza Jimbo la Siha

    Asante Wajumbe wa CCM wilaya ya Siha kwa kumpeleka LIKIZO Dr wetu wa tiba asili
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Huyu ustadhi apewe Jimbo

  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Kisesa wamesema NRNE, kwamba bila jina la Mpina, hakuna uchaguzi wa mchujo

    Salaam ! Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa. Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon! NRNE 💪 🔥 Karibuni 🙏
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Hakuna hata Jimbo moja lenye maendeleo, labda liwe na katiba yake na sera yake zake, ila sio kwa sera hizi. Wajinga tunahadaiwa sana

    Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni. 1. Huduma bora za afya 2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira. 3. Sera nzuri za kufanya biashara. 4. Elimu bora na yenye viwango. 5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii. 6...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilwa Kaskazini; Mbunge anayemaliza muda wake avunjika mguu akisubiri usaili wa ubunge. Mtia nia mwingine afariki kwa ajali akienda kuchukua fomu

    Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
Back
Top Bottom