jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu H. Ameir ateuliwa na CCM Ubunge Jimbo la Makunduchi

    WANU H. AMEIR ATEULIWA NA CCM UBUNGE JIMBO LA MAKUNDUCHI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Wanu Hafidh Ameir kugombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba 2025 Uteuzi huu ni sehemu ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KILICHOMPONZA STANSLAUS NYONGO JIMBO LA MASWA MASHARIKI NI HIKI HAPA.

    Jimbo la Maswa Mashariki, kuhusu kutorudishwa kwa aliyekuwa Mbunge Stanslaus Nyongo kuwania tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kurudi kwa jina la Dkt. George Lugomela. Baadhi ya sababu zinazodaiwa kuchangia kutorudi kwa Nyongo ni: Mapambano ya kisiasa ya ndani ya chama (CCM) –...
  3. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kama Jimbo la Kawe halina maji ya Uhakika, hali ikoje huko jimboni Itilima?

    Jimbo la Kawe ndio Jimbo mama, Jimbo konki lenye vibopa kuliko Jimbo lolote la uchaguzi hapa nchini. Jimbo la Kawe ndio Lina Oyster Bay, Masaki, Msasani Peninsula, Mikocheni, Kawe Beach, Mbezi Beach, Kunduchi Beach, Bahari Beach, Ununio Beach, Boko Beach, Mbweni, nk. Huku ndio kwenye makazi ya...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk-Urusi

    Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amewapongeza na kuwatunuku askari wa Korea Kaskazini waliorejea salama kutoka vitani katika mkoa wa Kursk, Urusi, ambapo walishiriki...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana kama aliyeongoza kura za maoni jimbo la Rorya atateuliwa

    Kamati Kuu ya CCM iko kwenye mchakato wa kupitia majina na kuwateua wale watakaopeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao. Binafsi nitashangaa sana kama CCM itamteua mtia nia aliyeongoza kura za maoni Jimbo la Rorya . Huyu mtia nia hakushinda kwa haki.
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania MNEC Toufiq Salim Turky Aahidi Kuendeleza Ufadhili wa Walimu wa Madrasa Katika Jimbo la Mpendae

    MNEC TOUFIQ TURKY AAHIDI KUENDELEZA UFADHILI WA WALIMU WA MADRASA Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Toufiq Salim Turky amekutana na viongozi mbalimbali wa Misikiti na Walimu wa Madrasa katika Jimbo la Mpendae ambapo amewatoa wasiwasi kwa kuahidi kuwa ataendelea...
  7. mtotofisi

    JamiiForums Tanzania UPDATE ya Matokeo ya Kura ya Maoni Jimbo la Kongwa

    Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo. Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi ya pili akitanguliwa na Hayati Ndugai. Hapa ni kata ya Kibaigwa
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Kigogo anatajwa kuvuruga uteuzi wa Wabunge Jimbo la Ulanga

    Mjumbe wa Kamati Kuu (MCC) (kwa sasa jina linawekwa kapuni) anatajwa kuvuruga mchakato wa uteuzi wa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ulanga, Morogoro. Taarifa ndani ya CCM Mkoani Morogoro, zinaeleza kuwa Kigogo huyo ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini, aliteuliwa kusimamia vikao vya mchujo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaiomba halmashauri kuu ya taifa kuchunguza ushindi wa mgombea aliyeongoza kura za maoni jimbo la Rorya

    Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Kuna habari kuwa Katika Jimbo la Rorya wapiga kura wengi walinunuliwa kwa Rushwa na hivyo mshindi aliyeshika namba moja hakushinda kwa halali. Ninaiomba...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Msauni aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM jimbo la Kikwajuni

    Waziri wa kuwa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar, Hamad Yusuf Masauni ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano (2020- 2025) katika jimbo hilo akiwashukuru wapiga kura wake.
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Zelensky apinga kulitoa jimbo la Donbas huku Warusi wanasonga mbele na mapigano

    Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine itakataa pendekezo lolote la Urusi la kulitoa eneo la Donbas kama sharti la kusitishwa kwa mapigano, akionya kuwa linaweza kutumika kama chachu ya mashambulizi ya siku zijazo. Zelensky alikuwa akizungumza kabla ya mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kura Za Maoni Kufanyika Upya Jimbo La Hayati Ndugai Na Fomu Kutolewa Kwa Laki Tano

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu. Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa wagombea katika Jimbo hilo. Ambapo pia katika uchaguzi wa kura za Maoni za Awali kabla ya Kifo chake...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wadaiwa kukutwa na fedha walizotaka kuzigawa kwa Wajumbe Jimbo la Ulanga - Morogoro, TAKUKURU yaingilia kati

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wilayani Ulanga inawashikilia watu wanne wanaodaiwa kukutwa na mamilioni ya fedha zinazoaminika kuwa zililengwa kugawiwa kwa Wajumbe Wapigakura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Ulanga. Vyanzo vya habari vinaeleza kuwa...
  14. MulengaMulenga

    JamiiForums Tanzania Natafuta makanisa ya zamani katika jimbo la Arusha

    Je, kuna makanisa ya zamani au ya kihistoria katika jimbo la Arusha? Nilikuwa najiuliza kwanini katika majimbo mengi nchini Tanzania unakuta makanisa mengi ya zamani na mazuri ya Kanisa Katoliki, lakini katika jimbo la Arusha sijawahi kuona hata moja. Ninaposema makanisa ya zamani...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Songwe: Condester Sichalwe aongoza kwa kura 4,872 Jimbo la Momba

    CONDESTER SICHALWE AONGOZA KWA KURA 4,872 JIMBO LA MOMBA - SONGWE Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Condester Michael Sichalwe ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 4,872. Condester Sichalwe amewashinda makada wenzake watano...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

    Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi. Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bakar Hamad ashinda kura kwa 73.7% uwakilishi - jimbo la Wawi

    BAKAR HAMAD ASHINDA KURA KWA 73.7% UWAKILISHI - JIMBO LA WAWI Aliyekuwa Mwakilishi katika Jimbo la Wawi, Ndugu Bakar Hamd Bakar ameongoza kwenye kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Wawi ambapo amepata kura 399 sawa na 73.7% kati ya kura 541 zilizopigwa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lucy Mayenga aaminiwa na wajumbe kwa kura 7,814 jimbo la Kishapu

    LUCY MAYENGA AAMINIWA NA WAJUMBE KWA KURA 7,814 JIMBO LA KISHAPU Ndugu Lucy Mayenga ameibuka kinara katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Kishapu baada ya kushinda kwa kupata kura 7,814. Matokeo hayo yaliyotangazwa na CCM Wilaya ya Kishapu yanaonesha...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masache Kasaka ashinda kwa kura 5,572 jimbo la Lupa, Chunya

    MASACHE KASAKA ASHINDA KWA KURA 5,572 JIMBO LA LUPA, CHUNYA Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Njelu Kasaka ameibuka kidedea kwenye kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Lupa akipata kura 5,572 huku akiwaacha mbali washindani wake. Masache amepata ushindi huo dhidi ya...
Back
Top Bottom