CHEGE WAMBURA AONGOZA KWA KURA 7,866 JIMBO LA RORYA - MARA
Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Jafari Chege Wambura ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 7,866.
Chege amewashinda makada wenzake wanne aliokuwa akigombea nao kwenye...
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe baada ya kutangaza kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amesema atachukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro.
James amejiunga na chama hicho leo, Jumatano Makao Makuu ya Chama cha...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama, ameshindwa kutetea nafasi yake ya ubunge baada ya kushindwa katika mchuano wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika matokeo yaliyotangazwa na Katibu wa...
WANU AMEIR AIBUKA KINARA KWA KUPATA KURA 1,356 - JIMBO LA MAKUNDUCHI
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir ameongoza kwenye kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Makunduchi ambapo amepata kura 1,356.
Wanu amewapita kwa...
KWA AINA YA MGOMBEA WA CCM TEMEKE, JIMBO LITAKWENDA MIKONONI MWA ACT-WAZALENDO – SHEHE ISSA PONDA
Katika harakati za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu, macho mengi yameelekezwa katika majimbo yenye ushindani mkali – mojawapo likiwa ni Jimbo la Temeke. Kauli kali iliyotolewa na Shehe Issa Ponda...
SHEHE ISSA PONDA KUSHINDA JIMBO LA TEMEKE MCHANA KWEUPE - MIKIKI KATIKA KUTETEA WANYONGE NDIO TURUFU YAKE TEMEKE - MAMBO MANNE KUMBEBA JIMBO LA TEMEKE.
Uislamu unaweza kumbeba sana Shehe Issa Ponda kisiasa, hasa katika muktadha wa Jimbo la Temeke – na hapa kuna sababu kuu nne za msingi:
1...
🛑 Famonga ashinda kura za maoni jimbo la Temeke.
Fadhil Mohammed Famonga mshindi kura za maoni kupitia CCM jimbo la Temeke – Famonga ambaye amewahi kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Temeke.
#AsanteniWajumbe
Bukoba Vijijini | CCM Kura za Maoni Falis Athumani Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni baada ya kutoridhika na matokeo hayo yaliompa ushindi Dk. Jasson Samson Rweikiza, aliyeibuka mshindi baada ya kupata kura 6,485 kati ya kura halali 11,582 Falis Athumani Buruhan, alipata kura...
Matokeo ya kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mfenesini mjini hapa yamechelewa kutangazwa kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kutokana na kura kudaiwa kuongezeka. Idadi ya wajumbe walikuwa 472 lakini baada ya kura kuhesabiwa zikafikia 528, sawa na ongezeko la kura 56...
Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548).
Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Bukombe ambae pia ni naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ameibuka kidedea
kwenye Kura za Maoni ndani ya Jimbo hilo kwa Ushindi wa kura za ndio 7441, akishinda kwa Wastani wa Asilimia99.8%.
Katika mchakato wa kura za Maoni Idadi ya Wajumbe waliohudhuria ilikuwa ni...
SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea.
Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
Inawezekana kabisa CCM inazihitaji zaidi REFORMS kuliko hata Chadema na wenzao.
Leo huko mkoani Simiyu, jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina.
Wao wamesema wanamtaka mbunge wao, hawapigi kura za maoni siku ya leo hadi waletewe mbunge wao. Hawana...
SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea.
Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.