Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa...
Na Gregory J.Mahanju;
Kimekua ni kilio cha muda mrefu sana toka kwa wananchi wa jimbo la Singida Magharibi kuomba ufafanuzi na mchanganuo wa Matumizi ya pesa za mfuko wa jimbo lakini wamekua wakiambulia patupu na majibu ya kejeli kutoka ofisi ya mbunge.
Kuna tetesi kua Mhe Mbunge kama...
Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha...
JUHUDI ZA MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU ZAFANIKISHA UJENZI WA CHUO CHA VETA CHA KISASA CHA BILIONI 2.4 IKUNGI.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu mnamo tarehe 22 Februari 2023 amefanya ziara yake ya Kukagua Mradi wa ujenzi wa Chuo cha...
MHE. NICHOLAUS NGASSA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MFUKO WA JIMBO.
Wajumbe wa Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Igunga wakipitia mchanganuo wa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kuidhinisha matumizi. Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Igunga kimeongozwa na Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mbunge wa...
SEHEMU YA PILI YA TAARIFA YA KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI
Sehemu ya Kwanza ya Taarifa ya Kikao hicho:
Sehemu hii ilitolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo.
*Mahali inapopatikana ni kwenye TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni...
MBUNGE NICHOLAUS NGASSA: "MKANDARASI ZINGATIA RATIBA YA UTEKELEZAJI WA MRADI" - JIMBO LA IGUNGA
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amemtaka Mkandarasi wa Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Ziwa Victoria kwenye Vijiji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila...
MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023
1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/-
2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs. 27,600,000/-
3. Zahanati ya Mwamashimba (Kata ya Mwamashimba) - 29,600,000/-
4. Zahanati ya Itunduru...
WanaJf,
Salaam!
Naenda moja kwa moja kwenye agenda.
(a). 1995 Mbunge wa wakati huo RUHINDA alinukuliwa akisema "Hata mkininyima kura sitavaa kobazi."
(b). 2000 - 2005 mbunge Magayane akanukuliwa akiwaambia wapigakura kuwa "nyani hali kilichopikwa."
(c). 2020 -
Mbunge amenukuliwa akisema kuwa...
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameomba kufanya KIKAO MAALUM na Wakuu wa Sekondari zote 27 za Jimboni mwetu.
SEKONDARI 27:
*25 za Kata/Serikali
*2 za "private"
(KATOLIKI & SDA)
SIKU/TAREHE YA KIKAO:
*Ijumaa, 3.2.2023
MUDA:
*Saa 3 Asubuhi
MAHALI:
*Busambara...
HARAMBEE YA UJENZI WA MAABARA TATU ZA SEKA SEKONDARI - JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Seka Sekondari ni shule mpya ambayo kwa sasa ina wanafunzi wa Kidato cha Kwanza hadi cha Tatu ( FI - FIII).
Jumla ya WANAFUNZI ni 344, na WALIMU wapo wanane (8)
Sekondari hii ilijengwa baada ya kubaini kwamba...
MAJI YA ZIWA VICTORIA YAFIKA MGONGORO - JIMBO LA IGUNGA
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga (IGUWASA) imefanikiwa kufikisha huduma ya maji safi ya Ziwa Victoria kwenye Kijiji cha Mgongoro, Jimbo la Igunga. Huduma ya Maji imefika kijiji cha Mgongoro kufuatia IGUWASA kulaza bomba la...
Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani...
Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania.
Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg. Gervas Ndaki wameupokea ugeni kutoka mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) walio fanya ziara ya kikazi ya...
Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374.
Jimbo hili lina jumla ya Sekondari 27:
Shule 25 za Kata/Serikali
Shule 2 za Binafsi (SDA & KATOLIKI)
UPUNGUFU WA MIUNDOMBINU
Tunaendelea na ujenzi na uboreshaji wa miundombimu iliyopungufu kwenye Sekondari zetu za Kata...
WODI YA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU) ILIYOJENGWA WILAYA YA IGUNGA - JIMBO LA IGUNGA
Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) iliyojengwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Hospitali ya Wilaya ya Igunga. Ujenzi umekamilika...
Jumamosi, 14.1.2023, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilikagua Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari- Butiama.
Gharama ya Mradi huu ni kubwa:
~ Tsh bilioni 70.5 kutoka Serikali ya Saudi Arabia (49.12%), BADEA (31.40%) na Serikali ya Tanzania...
VIPAUMBELE VYA FEDHA ZA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) 2022/2023 - IGUNGA
1. Kukamilisha ujenzi ulioanza wa Ofisi za Kata, Ofisi za Serikali za Vijiji, Vyoo vya Walimu, Vyoo vya Wanafunzi na nyumba za Walimu.
2. Kutengeneza Madawati ya Shule za Msingi na Shule za Sekondari.
3...
Nassary alikuwa kijana machachari Sana kutoka huko Arusha, alikuwa anajenga hoja na kusimamia serikali. Toka nimwone jukwaani akimnadi JPM sijawahi kimwona tena sijui kama yupo nchini au anafanya kazi nje; huyu kijana pamoja na Masele NI watu ambao hakuna siku watamsahau Ndugai. Ndugai alimvua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.