jimbo la hai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Madiwani wa CCM Jimbo la Hai, washindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao tangu mwaka 2020 hadi sasa.

    Kumekuwa na sintofahamu kubwa ya madiwani wote waliochaguliwa na CCM Jimbo la Hai kushindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao. Tumefuatilia kuuliza tunaambiwa hata chama cha mapinduzi wilaya ya Hai hakifuatilii madiwani wao na wananchi wameshazoea kuishi bila mikutano na...
  2. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Hai na Mafanikio Lukuki, Mbunge Saashisha Anena Mazito Yaliyofanyika

    JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI "Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na Mungu ambariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan" - Mhe...
  3. peno hasegawa

    Wananchi wa Jimbo la Hai, wanamuuliza Mbunge wao. Je, hoja ya kubinafsishwa bandari ya Dar amekubaliana nayo?

    Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai. Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako...
  4. peno hasegawa

    Ndugu zangu wa Jimbo la Hai , mpeni Ubunge SHABAN MWANGA Uchaguzi wa 2025

    Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai. Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
  5. peno hasegawa

    Mbunge wa Jimbo la Hai anza kufungasha mizigo yako mapema

    Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai. Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
  6. peno hasegawa

    Diwani wa CCM kata ya Masama Kusini jimbo la Hai amenyang'anywa gari na UVCCM jimbo la Hai na limehifadhiwa ofisi ya CCM wilaya

    Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai. Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya. Katibu wa CCM wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
  7. peno hasegawa

    Saashisha, Mbunge wa Jimbo la Hai, shule zako za msingi madarasa na nyumba za walimu yanaanguka kwa kuchakaa

    Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania. Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
  8. Roving Journalist

    Taarifa rasmi ya Fedha za Mfuko wa Jimbo la Hai baada ya kudaiwa Mbunge anazitumia ndivyo sivyo

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wilaya ya Hai, Riziki G Lesuya ametolea ufafanuzi shutuma hizo zinazomhusu Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe Pia soma: Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo
  9. peno hasegawa

    Tetesi: Baada ya wizi wa kura na mwenyekiti wa CCM wilaya kutoka wajumbe, Uchaguzi wa CCM jimbo la Hai kurudiwa

    Kuna kila dalili uchaguzi wa ccm uliofanyika tarehe 1.10.2022 kurudiwa tena. Hii inatokana na kundi kubwa la wajumbe ambao ni wapiga kura kukutana leo na kuamua maamuzi ya kutokuwa na Imani na uchaguzi huo ambao uligubikwa na wizi was Kura, kuongeza Idadi ya wajumbe hewa Ili kuongeza Idadi ya...
  10. peno hasegawa

    Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo

    Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya kusimamia mfuko huo. “ kamati ya mfuko wa jimbo, ingehusisha madiwani wote na watendaji wa taasisi...
  11. peno hasegawa

    Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

    Mimi ni muumini wa haki . Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki. Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska...
  12. Diversity

    SI KWELI Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022

    MADAI Yapo madai kuwa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022. Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022? Aidha, inadaiwa kuna kila dalili fedha hizo wanalamba...
  13. peno hasegawa

    Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020 hadi 2022

    Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022? Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache. Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba...
  14. peno hasegawa

    Mbunge Saashisha Mafue adaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa kazi ya muda ya Postkodi Tsh. 15,000 kwa siku mkataba wa siku 15

    Mbunge wa CCM Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, Mh. Saashisha Mafue anadaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa ajira ya muda ya Postikodi Tsh 15,000 kwa siku badala ya Tsh 30,000 kwa siku kama ilivyopangwa nss as Serikali ya Rais Samia. Pili, Mbunge huyo anadaiwa amewaambia vijana hao kuwa ajira...
  15. Erythrocyte

    Mbunge wa Hai (CCM) Saasisha Mafuwe adai kumtumia salamu Mbowe, asema wao wamemuomba Mungu ili awasamehe

    Mh Saashisha, ambaye alijulikana kama Team Sabaya, kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote, leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguka kwamba Wao wamekwishatubu kwa Mungu ili awasamehe. Ikiwa kama kulikuwa na...
  16. peno hasegawa

    Mbunge Saashisha Mafue amteua Katibu Mwenzi (Mpya) wa CCM Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro

    Mada tajwa hapo juu yahusika. Pamoja na CCM kuwa inatumia demokrasia kwenye changuzi zake, huko Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro hali ni tofauti kidogo. Aliyekuwa Katibu mwenzi wa CCM wa Jimbo la Hai ameajiriwa na serikali bila kujua Elimu yake na bila kufanya mitihani kupitia jitihada Za...
  17. beth

    Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa". Kauli yake imekuja...
Back
Top Bottom