jeshi

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi: Wanaosambaza taarifa za uongo kuhusu Jeshi kufungwa hadi miaka 15

    Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine unaweza kusababisha wimbi kubwa la wakimbizi karibu milioni 10 wanaokimbia nchi. Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric, aliyedai watu milioni 4 kati yao wanaweza kuingia katika nchi jirani Kamishna wa Umoja wa Mataifa...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lateua Waziri Mkuu wa Mpito

    Albert Ouedraogo (52) ametangazwa kuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo kwa kipindi cha Mpito. Uteuzi wake unakuja siku chache baada ya Jeshi chini ya Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba kuidhinishwa kuongoza kwa miaka mitatu Ouedraogo ambaye ni Raia wa kawaida ana jukumu la kuunda Serikali Mpya...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Jeshi la Urusi ladaiwa kushambulia Shule Mji wa Kharkiv

    Jeshi la Urusi linadaiwa kushambulia Shule Tatu katika Mji wa Kharkiv. Pia inaripotiwa kuwa Majengo kadhaa ya Makazi ya Watu huko Okhtyrka nayo yameharibiwa kutokana na mashambulizi yanayoendelea Umoja wa Mataifa (UN) umesema tayari Watu zaidi ya Milioni Moja wamekimbia Ukraine, ikiwa ni siku...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani jeshi la polisi mnakosea kukamata Bajaji na pikipiki; hawa Watu wanatafuta riziki walishe familia mnapanda chuki

    Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki. Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
  5. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Harusi ya Mtoto wa Kike wa Rais Museveni aliyeolewa Mtoto wa Jenerali Tumukunde

    Photos attached
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

    Ama kwa kweli Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kwamba ahusishe asilimia 75% ya jeshi lake lote na kuacha nyumbani asilimia ndogo ilinde nchi, yote hii kupambana na kataifa kadogo kama Ukraine, na mpaka sasa wiki imeisha hajafaulu kukafagia......kwamba hata akifaulu kuteka Kiev leo hii...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi laidhinishwa kukaa madarakani kwa miaka mitatu

    Mkutano wa Kitaifa Nchini Burkina Faso umepitisha Mkataba utakaoruhusu Utawala wa Kijeshi kuongoza kipindi cha mpito cha miaka mitatu. Mkutano huo uliidhinisha Hati ambayo baadaye ilisainiwa na Luteni Kanali Henri-Paul Damiba Awali, ilipendekezwa kipindi cha Mpito kuwa miaka miwili na nusu...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tatu ya Dunia ikinukia:- Zijue nchi 31 ambazo hazina jeshi

    1. Andorra Andorra moja ya nchi ndogo sana barani Ulaya iliyopo kati ya Spain na Ufarasa na ina watu 85,000 . Nchi hii ina polisi wake weyewe ambao wanaitwa Cos de Policia d'Andorra, lakini haina jeshi. Ulinzi wa mipaka ya nchi hii uko mikooni mwa Hispania na Ufaransa kwasababu wao ndio...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

    Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu. Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia...
  10. N

    JamiiForums Tanzania China Wapeleka ndege za Jeshi kwenye anga ya Taiwan

  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda;Mwandishi apambana na Askari wa Jeshi mwenye AK47, aishika mdomo na kuugeuzia chini

    Katika hali isiyo ya kawaida, hakuna mtu anayeweza kufanya kitendo cha kijasiri kama hiki kwa kutetea haki na uhuru wake wa kuchukua habari. PHOTO: Askali akimsukuma Lawrence ambaye ni mwandishi wa BukedeTV. Waandishi wa habari wanaendelea kupata mateso na ukatili kwenye baadhi ya mataifa...
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania jeshi la polisi likimtafuta Makonda

  13. P

    JamiiForums Tanzania Tuwatembelee Mapolisi wetu katika vituo vyao kuonesha Upendo

    Habarini ndugu zangu, Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao. Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Mali limeidhinisha Utawala wa Jeshi wa miaka mitano

    Wabunge wa Mali leo Jumatatu wameidhinisha mpango wa kuruhusu utawala wa kijeshi kutawala kwa hadi miaka mitano. Kwa mujibu wa waandishi wa habari wa AFP hatua hii inajiri licha ya uwepo wa vikwazo vya kikanda vilivyowekwa nchini Mali kutokana na kucheleweshwa kwa uchaguzi. Wabunge 120 wa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la jeshi la Nigeria lawaua watoto 7 Niger

    Watoto saba wamekufa na wengine watano kujeruhiwa katika shambulizi la angani nchini Niger hii ikiwa ni kulingana na gavana wa jimbo moja nchini humo Shambulizi hilo lililofanywa na vikosi vya Nigeria katika eneo la mpakani lilikuwa likiwalenga majambazi lakini badala yake liliwaua na...
  16. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa Kuwa Spy bila kupitia Jeshi??

    Habari za wakati huu wakuu? Natamani kujua, maana kuna Watu unaweza kudokezewa kuwa ni pandikizi but ukiwaangalia hawako strong,yaani ni wa kawaida tu kama mtu ambae hajapitia mafunzo. Je,kuna uwezekano wa kuifanya Kazi Hii bila kupitia mafunzo ya Jeshi?? Hasahasa kwa hawa informers?
  17. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Lucy Higgs Nichols

    Lucy Higgs Nichols ni mzaliwa katika utumwa huko Tennessee, lakini wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe alifanikiwa kutoroka na kupata njia yake hadi Kikosi cha 23 cha Wanachama cha Indiana ambacho kilikuwa kimepiga kambi karibu. Alikaa na jeshi na alifanya kazi kama muuguzi wakati wote wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

    Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ex. SACP. Jacob Massawe Mwaruanda afariki Dunia

    IGP Simon Nyakoro Sirro ametangaza msiba wa Ex. SACP. Jacob Mwaruanda uliotokea jana Februari 15, 2022 katika Hositali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu. Sirro ameeleza taratibu za mazishi za marehemu ambaye aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa zinaendelea kwa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
Back
Top Bottom