Kuna uwezekano wa Kuwa Spy bila kupitia Jeshi??

Kuna maspy wengine wapo tu mtaani, kazi kuangalia umekula nini..

Wa uswahilini ndio nuksi, unaweza kuibiwa godoro lako 7 mchana wasijue, ila ukiingiza demu 9 usiku hanamjua rangi, sauti yake mpaka muda wa kutoka 😂🤣

Uswahilini raha saana🤣
 
Huwezi maana ukidabwa ukabinywa kende utasema mpk tarehe ya babu yako wa nne alipozaliwa!.

Nafikiri inategemea na kazi husika maana yoyote anaweza kuwa spy endapo watakuhitaji I mean wanaweza kukununua uipeleleze hata ofisi yako mwenyewe unapofanya kazi!. Nafikiri wanakuwa wanaangalia eneo na wapeleke mtu wa namna gani kuna maeneo hata mkijua huyu ni mpelepezi hamuwezi mfanya kitu ila mtamuepuka tu!. Sasa kwenye magenge ya madawa ya kulevya ama machimbo ya dhahabu lazima wapeleke mtu mwenye mbinu za medani ya kupigana ngumi yake moja tu mpaka unaita mamaaa!
Akiruka mikuchu anatua kwenye kichwa chako!,akichomoa kisu anawakatakata kama nyanya!.
Au kwa mdomo wake anaweza kuwang'ata shingoni mkafa wote!
 
😅😅Zingine ni kamba sasa
 
Habari za wakati huu wakuu?

Natamani kujua, maana kuna Watu unaweza kudokezewa kuwa ni pandikizi but ukiwaangalia hawako strong,yaani ni wa kawaida tu kama mtu ambae hajapitia mafunzo. Je,kuna uwezekano wa kuifanya Kazi Hii bila kupitia mafunzo ya Jeshi?? Hasahasa kwa hawa informers?
Uwezekano upo maana ukiingizwa huko unafundishwa kozi yao miezi 3 na ukimaliza kadri unavyopandishwa cheo kozi nayo inakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haiwezekani hata kidogo
maana spy ni kwa ngazi ya utaifa hivyo ni wateule wachache walio iva hasa kuanzia utimamu wa fikra na mwili.
 
Hauwezi kufanya kazi usalama wa taifa bila kupitia mafunzo yao kule baada ya kutoka majini. Ata kama ukiwa unaenda kua secretary wa ofisi.

Mtu yoyote anaweza kua informer( polisi kukuomba kuwapigia simu ukiona kitendo si cha kawaida) ila sio spy( unatakiwa kua trained)
 
Asante Mkuu
Nimekuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom