jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    IGP alitusihi wazazi tusizae majambazi, vipi yeye kuongoza wauaji huko Jeshi la Polisi

    Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili. Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali...
  2. Dkt. Mpango: Rais Samia anakerwa na mauaji yanayotokea nchini. Ameagiza Jeshi la Polisi kufanya msako kubaini wanaojiuhusisha na vitendo vya mauaji

    Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango, ametoa siku 7 kwa Jeshi la Polisi likiongozwa na IGP Simon Sirro, kufanya uchunguzi wa mauaji ya watu watano wakazi wa Kata ya Zanka, kijiji cha Zanka jijini Dodoma yaliyotokea hivi karibuni. Dkt Mpango ametoa maagizo hayo hii leo Januari 26, 2022, mara baada...
  3. C

    RPC Mtwara hatakiwi kuwa kazini kwa uzembe aliofanya

    Moja ya kituko jeshi la polisi ni kua RPC alikua anashiriki kuwaokoa wauaji lakini mbele ya safari watu wakubwa nchini wakakomalia issue na kwa aibu akapiga U turn. Yule RPC kimaadili hatakiwi kuendelea kuwa RPC hata kwa dakika tano maana nae ni mtuhumiwa na uchunguzi ufanyike haraka apate...
  4. Kwa matukio maovu ya jeshi la Polisi, IGP Sirro alipaswa awe amejiuzulu siku nyingi

    Ndugu zangu, watanzania na wanaJF wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini, ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo.
  5. Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua. ===== JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda...
  6. Jeshi la Polisi halina msaada ukiripoti kutishiwa maisha

    Imesikika kauli eti ya kamanda wa Kanda Maalum ya Dar, ikimtaka Askofu Mwingira aripoti haraka makao makuu ya polisi kwa mahojiano juu ya kauli ya Askofu huyo kutamka kuwa mara kadhaa alinusurika kuuawa na watu wa Serikali. Sijui wanaenda kumhoji ili wafanye nini. Na kama alinusurika kuuawa na...
  7. S

    Jeshi la polisi na wananchi tushirikiane kukomesha mauaji yanayoongezeka nchini sasa

    Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia! Mfano wa matukio kwa uchache! I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa! ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa...
  8. M

    Jeshi la Polisi Mjitathmini. Tendeni Haki

    Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani. Walichoweza , ni...
  9. K

    Jeshi la Polisi angalieni basi la Arusha Express linalofanya safari za Arusha - Bukoba

    Wiki iliyopita nimepanda basi hili nikitokea Arusha kuelekea Kahama. Aisee hili basi linakimbia saana. Nina wasiwasi kama limefungwa speed governor manake mwendo wake ni zaidi ya speed 100km/h hasa likiwa kwenye bara bara zisizokuwa na traffic wengi. Kazi kwenu jeshi la polisi kabla...
  10. Ujenzi soko dogo Karikaoo wajengwa chini ya ulinzi

    Dar es Salaam. Ujenzi wa uzio wa soko dogo Kariakoo na ukarabati wa soko kubwa lililoungua moto Julai mwaka huu unafanyika chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi. Hali hii imeonekana leo baada ya kupita siku nne tangu mkandarasi Estim Contraction Ltd anayetakiwa kufanya shughuli hiyo kukabidhiwa...
  11. Jeshi la Polisi nchini, msimtishe Askofu Mwingira, bali zifanyieni kazi tuhuma nzito alizozitoa

    Jukumu namba moja la Jeshi la Polisi nchini, ni kuwalinda Raia na mali zao. Katika mahubiri aliyoyatoa katika sikukuu ya Krismas, Askofu Mwingira wa kabisa la Efatha nchini, alitoa tuhuma nzito Sana kwa vyombo vya serikali, kuwa alinusurika kuuawa mara 3 na akaendelea kueleza kuwa hata yule...
  12. C

    Waziri Simbachawene, usijifanye hujaona mahojiano ya Rose Muhando akilituhumu jeshi la polisi na serikali. Mtendeeni haki, washughulikieni watesi wake

    Sina mengi, Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada. Ni lazima haki itendeke kwa Rose Muhando na...
  13. Bobi Wine alaani Jeshi la polisi nchini Uganda kwa kujaribu kumzuia kwenda katika uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi Wine, ametuma picha ya polisi na jeshi wakionekana nje ya nyumba yake kabla ya kampeni za uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika wilaya ya Kayunga. Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kutembelea katika wilaya ya Kayunga...
  14. Jeshi la polisi wilaya ya Kahama latuhumiwa kumtorosha mtuhumiwa aliyeiba Usd 25,847

    #HABARI Jeshi la Polisi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, limelalamikiwa na mfanyabiashara Rehema Mwagao, kwa kitendo cha kumuachia mhaliifu kinyemela aliyetuhumiwa kutapeli fedha kiasi cha Dola 25,847.50 (sawa shilingi milioni 48.6). Polisi Kahama walalamikiwa kumuachia mtuhumiwa...
  15. Musoma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwalewesha abiria Dawa ya Congo na kuwaibia

    Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
  16. M

    Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  17. Lindi: Askari afutwa kazi na Jeshi la Polisi kwa kumpiga risasi mwenzake wakiwa lindo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kauli hiyo...
  18. N

    Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

    Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo. Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa...
  19. Jeshi la Polisi tafadhali msituchoshe katika hili na huu 'Unafiki' wenu

    Jeshi la Polisi Nchini limewataka wananchi waliotoa taarifa za kuibiwa simu na kutozwa fedha ili watafutiwe simu zao waende kwa Makamanda wa Polisi Mikoa (RPCs), Wakuu wa Upelelezi (RCOs) au wakuu wa upelelezi Wilaya (OC-CIDs) kwa ajili ya kuchukuwa hatua ili askari hao waliofanya utovu wa...
  20. Moshi: IGP Sirro ataka Watuhumiwa watendewe haki

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo. IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…