jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana adaiwa kujinyonga akiwa Kituo cha Polisi Moshi. Familia yang'aka

    Nicholaus Mushi (27) amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia tambara la dekio, akiwa mahabusu ya kituo kikuu cha polisi mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Taarifa zilizotolewa na ndugu wa marehemu, zanadai kabla ya kujinyonga, alijaribu kujiua kwa kujikata kwenye koromeo na wembe...
  2. Jeshi la Polisi: Bado tunamsubiri Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi

    Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake. Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017...
  3. E

    Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
  4. Kama Jeshi la Polisi ni la wapigaji ni vipi linaweza kulinda raia na mali zao?

    Kwenye hotuba ya Mama lao Pale Mosjo anaonekana kulalmikia Jeshi la police hasa kwenye upigaji wa pesa, inavyo elekea wanapiga sana pesa za umma, na hizo ndio hizo hizo tozo tunazo tozwa. Hio moja je Mama ana fikiria Pilice hao wanaweza vipi sasa kulinda Raia na Mali zao? Je, wanaweza saidia...
  5. Lile "jicho ona", limeona si vema Jeshi la Polisi kuwa sponsored! Sponsors wakifanya makosa, polisi atapat kigugumizi! Vipi sisi media na sponsors?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kipya humu kinachoitwa "Jicho Ona". Jicho Ona ni vile vitu ambavyo kwa jicho la kawaida vinaonekana kama ni vitu vizuri jambo jema, jambo zuri, jambo la kawaida, ila jicho ona linaona kuliko jicho la kawaida, linaona visivyo onekana na jicho la kawaida, jicho...
  6. Rais Samia ameamua kuwatolea uvivu Jeshi la Polisi na kuyaanika hadharani maovu yao!

    Kwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri wake huo. Kwanza amesisitiza kuwa ni lazima Jeshi la Polisi lizingatie Nidhamu, Haki na Weledi...
  7. Rais Samia: Baadhi ya maafisa wa Polisi huiba mafuta ya Serikali kuendeshea vyombo vyao binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa/ Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022 == Samia Suluhu Hassan amesema anazo taarifa...
  8. Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

    Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
  9. Rombo: Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Kushirikiana na Mpenzi wake Kumuua Mama yake

    Wapenzi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua bibi kizee wa miaka 100 kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati wakigombea ardhi. Bibi huyo, Felister Silayo, mkazi wa Kijiji cha Kirongo juu, Kata ya Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo alifikwa na umauti...
  10. URA SACCOS yatoa vifaa tiba kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Chama cha Akiba na Mikopo cha Jeshi la Polisi Tanzania, URA SACCOS kimekabidhi vifaa tiba pamoja na kompyuta kwa vikosi vya Jeshi la Polisi Tanzania. Vifaa hivyo ni pamoja na vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Jeshi hilo iliyopo Kunduchi, Simiyu na Kumpyuta kwa ajili ya Kikosi cha Ufundi na...
  11. J

    Jeshi la Polisi latoa barua za onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani yanayokimbia kupita kiasi ruhusiwa

    Jeshi la Polisi nchini limetoa barua za Onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani ambazo madereva.wake wanakimbiza sana Mabasi. Wasipojirekebisha watafutiwa kabisa leseni zao Chanzo: ITV
  12. B

    Jeshi la Polisi na hasa Trafiki lifumuliwe na kuundwa upya

    Kwa muda mrefu jeshi la polisi na hasa kitengo cha usalama barabarani limekuwa likilalamikiwa kwa kushamiri kwa vitendo vya rushwa. Si polisi wa vyeo vidogo au vikubwa wote lao moja. Inafahamika jitihada wafanyazo polisi vitengo vingine, ili wapate kupangiwa kitengo hiki cha walamba asali...
  13. IGP Wambura ameteuliwa ili Viongozi waishi vizuri?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania. “Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
  14. Swali la Uchokozi: Jeshi la Polisi Halina Wanawake Wenye Uwezo?

    Labda hili swali tungeliuliza hata kuhusiana na Jeshi la Wananchi. Hasa baada ya hizi teuzi. Najiuliza inawezekana kwenye majeshi yetu hakuna wanawake wenye uwezo na ufahamu wa mambo ya kazi, operesheni na mikakati ya kijeshi kuweza kushika nafasi za juu kwenye majeshi hayo? Labda Rais yeye...
  15. IGP Wambura Awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP. CAMILLUS WAMBURA amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi baada ya kuapishwa Ikulu, Chamwino Dodoma.
  16. DODOMA: Rais Samia kuunda Kamati Maalumu kufuatilia mwendo wa Majeshi yote nchini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuunda kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwa ajili ya kufuatilia utendaji kazi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo. Rais Samia ametangaza kuunda kamati hiyo Jumatano Juali 20, 2022 mara baada ya kumuapisha Camillus Wambura...
  17. M

    IGP Wambura, Jeshi la Polisi lilihitaji taswira mpya ya kiuongozi na kiutendaji

    Emmanuel Kalule 20.07.2022 Leo mapema majira ya saa nane usiku, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi ya Polisi nchini kwa kumteua aliyekua Kamishna wa Polisi Camillus Wambura kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu mpya wa Jeshi la polisi nchini (IGP). IGP Wambura akichukua...
  18. Jeshi la Polisi huu si mchezo wa watoto, ni janga kwa wazazi

    Kuna tangazo Azam Tv linalohusu tamasha la watoto litakalofanyika mwezi wa 8 Oyterbay kwenye uwanja wa kijani zamani kulikuwa dipu ya kuogeshea mbwa, moja ya "mchezo" ni wa kulenga shabaha kwa kutumia bunduki bandia, huu kwa watoto wenye wazazi wanaomiliki bunduki ambao ni wengi kulingana na...
  19. 2022: Naliona Jeshi la Polisi Tanzania likifanyiwa marekebisho makubwa

    Jeshi hili lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia neno usalama wa Raia ndipo chimbuko la mabadiliko ninayoyaona mbeleni mwakahuu. Jeshi hili halijawahi kuwa karibu na Raia hata kidogo! jamii ambayo inaweza kukimbilia polisi ni wezi wanapokuwa wamebananishwa kipigo kikaanza...
  20. Kamanda Muliro azungumzia nguvu ya mwanamke ndani ya Jeshi la Polisi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…