Jeshi la Polisi latoa barua za onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani yanayokimbia kupita kiasi ruhusiwa

Afu Traffic wale wapi? Wakati wooote wana matumbo makubwaaaa. Kila dk 30 mlo. Kisa rushwa.
 
Source ITV:,mmmmm ,jeshi langu la police, tatizo SIO speed pekee, tatizo barabara zetu bado ni mbovu mno alama za usalama barabarani almost hakuna, Ile boundary muda mwingine double one zimefutika kabisa kipindi cha mvua hazionekani kabisa, hata vibao vya umbali kati ya mji na mji ni tatizo, vibao vya speed limits ni shida.
 
Sauli au new force? Maana sasa hivi ligi iko nyanda za juu kusini...hao kina DPK na DZU..ni mtifuano wa hatari.
T 712 DPK Fata Chuma
Huu upumbavu unaofanywa na yale mabasi yaendayo Mbeya/Tunduma na kupewa nguvu na baadhi ya raia na wana-usalama wa barabarani ipo siku yatafanya bendera kupepea nusu mlingoti.
Huyu dereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.

Polish_20220815_214931528.png


Wanaenda mwendokasi wanasahau kuwa wanafamilia. Sifa zinawaua. Mwenyezi Mungu amrehemu
 
Back
Top Bottom