jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aliyehukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka amejinyonga akiwa mahabusu

    Fundi magari na Mkazi wa Kiluvya, Kisarawe, Seleman Mirai Kibiki (49), amejinyonga akiwa mahabusu ya Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani akisubiri kupelekwa gerezani mara baada ya kutiwa hatiani na Mahakama hiyo na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka na kulawiti Mtoto wake...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Atupwa jela kwa kosa la kumchoma kisu jirani hadi kumuua kisa kukoroma

    Mwanamume mmoja wa Philadelphia nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha kwenda jela baada ya kukiri kosa la kumuua bila kukusudia jirani yake kufuatia mzozo ambao mamlaka zinasema ulikuwa ni kuhusu kukoroma kwa sauti kubwa. Christopher Casey (56) anayeonekana kwenye picha, amehukumiwa wiki...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mtendaji wa Kijiji atupwa jela miaka mitatu Wilayani Missenyi kwa kosa la Rushwa

    Mahakama ya Wilaya ya Missenyi imemhukumu, Florian Kaizilege Method, adhabu ya kifungo cha miaka mitatu Jela. Adhabu hiyo imetolewa baada ya kuthibitika kosa la Rushwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329. Mshtakiwa kwa makusudi alijipatia manufaa...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watakaojiandikisha kuwa wapiga kura zaidi ya mara moja kufungwa jela miezi sita

    Wananchi watakaofanya udanganyifu ili wajiandikishe zaidi ya mara moja wanatenda kosa na wakibainika wanaweza kufungwa jela kifungo kisichopungua miezi sita na kulipa faini. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Julai 25, 2024 wakati...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dr. Benezeth lutege: Ukichinja Ng’ombe mwenye Mimba, Faini ni Milioni 1 au Jela Miezi 6

    Utaratibu wa uchinjaji wa Wanyama katika machinjio na maeneo mbalimbali yanayotambuliwa Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inalinda afya ya jamii kitaifa na kimataifa kwa kusimamia usalama wa afya ya mifugo na mazao yake nchini. Jukumu hili hufanyika kwa kutumia Sheria na Kanuni...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imewahukumu kifungo cha maisha jela washtakiwa watano baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya aina za heroini gramu 5,309.57 na kokeni zenye uzito wa gramu 894.28. Hukumu imetolewa Julai 11, 2024 na Jaji Awamu Mbagwa, aliyesikiliza...
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kuna mdau anauliza hivi jela usiku na mchana wanahesabu kama siku 1 au 2?

  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

    Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma...
  9. BigBro

    JamiiForums Tanzania Marekani yamfunga jela Rais wa Honduras miaka 45

    MAHAKAMA ya Mji wa New York nchini Marekani, imemhukumu Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez (55) kifungo cha miaka 45 jela na faini ya dola milioni nane kwa makosa ya ulanguzi wa madawa ya kulevya. Hernandez amehukumiwa kwa kuyasaidia makundi ya wauzaji wa dawa za kulevya tani...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 15 kwa kujaribu kumbaka bibi kizee miaka 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kwenda jela miaka 15 John Swaki Fokasi, kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi kizee wa miaka 80. Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Aprili 03, 2024 huko Tulieni mashambani majira ya saa sita usiku alipomvamia bibi kizee huyo kwenye nyumba...
  11. DeepPond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari jela kwa kumpa sumu mkewe kusudi ili mimba itoke

    Ilitokea Ohio, marekani, 2000 KWA KIFUPI Ni kwamba, Binti mmoja baada ya kula sana ujana, miaka 33 anaamua kuseto kwa kutafuta mume wa ndoto zake afanye maisha. Vigezo vyake Ni awe mrefu, handsome na professional na anabahatika kupata mchumba daktari na penz lao Moto Moto penzi linaingia...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Aliyemtapeli Ridhwani Kikwete milioni 4, atupwa jela miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wanaume wawili wahukumiwa kwenda Jela Miaka 50 kwa kosa la kubaka na Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi, imewahukumu kwenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji na miaka 20 kwa kosa la utakatishaji fedha pamoja na kulipa fedha Sh milioni 35 walizoiba na pia Mahakama imeamuru kutaifishwa kwa mali zao. Waliohukumiwa ni Kazil Hamis @Kaftanyi (43) Mkazi wa Dar es salaam na...
  14. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Bakari Iddi ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti mtoto

    Mahakama ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imemuhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula kata ya Ngomeni Wilayani hapo kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo leo hii Hakimu mkazi wa mahakama ya Wilaya hiyo Mh. Geofrey...
  15. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Mwalimu afungwa kwa kukutwa na hatia ya kufanya mapenzi na Wanafunzi wake

    Huyu mwalimu amepatikana na hatia huko Uingereza kwa kutembea na wanafunzi wake! A "predator" teacher has been found guilty of having sex with two schoolboys. Rebecca Joynes, 30, was found guilty of four counts of sexual activity with a child and two counts of sexual activity with a child by a...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja. "Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/baba-jela-miaka-30-kwa-kumpondaponda-nyeti-mtoto-wa-kufikia-4611470 Credit:Mwananchi!!
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati wa haki za akina mama ahukumiwa jela miaka 11 nchini Saudi Arabia kwa kutetea haki za wanawake

    Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake". Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, miaka 30 jela ni suluhisho sahihi kwa wale ambao watakiuka sheria ya maadili ya kutembea na wanafunzi?

    Tangu sheria ya kumlinda mtoto wa kike hasa wanafunzi wale waliochini ya umri wa miaka 18 kumekuwa na mazoea fulani ambayo jamii inahitaji kuyafanyia ufumbuzi Jambo la kwanza. Sheria imejikita zaidi kuwaangalia wahanga( Watoto) lakini jamii haina mafunzo ya kutosha kuhusu kujilinda kwa watoto...
  20. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa. Pia soma Bobrisky , The famous and rich Gay in Nigeria Bobrisky Amwanika Boyfriend wake Billionare...
Back
Top Bottom