je ni kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli wastaafu wa Tiss wamerudishwa kazini?

    Kama ni kweli,kwa nini mstaafu arudishwe kazini,je ni fear of unknown,vipi hatma ya graduate zaidi ya milioni moja wanaomaliza chuo kila mwaka?
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Kitovu cha mtoto mchanga wa kiume kikiangukia kwenye uume wake, mtoto huyo hatoweza kuzaa au kumpa mwanamke mimba?

    Kuna simulizi ambazo zimekuwa zikirithishwa kutoka kizazi hadi kizazi kwenye mitaa yetu. Moja kati ya imani zenye utata mkubwa na zinazotisha wazazi wengi ni hii: "Kitovu cha mtoto mchanga wa kiume kikiangukia kwenye uume wake, mtoto huyo hatoweza kuzaa au kumpa mwanamke mimba". Mara nyingi...
  3. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli tukianza kuulizana asili ya mtu popote tumuonapo mtu Tanzania ni kuwa tunamuuasi mwenyezi mungu ?

    Sifa zote ziende kwa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia. Vyote tuvionavyo duniani ni mungu alipanga na kiliandikwa kwenye kitabu cha enzi cha Mungu. Binadamu wewe ni nani kuanza kuhoji au mpaka kukejeli muonekano wa kiumbe cha mungu kama sio ushetani ni nini. Hii ardhi ni ya mwenyezi mungu...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Fedha Hazitakua na Umuhimu Ifikapo Mwaka 2036

    "Money Won't Matter in 2036" Utabiri wa Elon Musk kwamba fedha zinaweza kuwa “hazina umuhimu” (irrelevant) karibu na mwaka 2036. Musk ameeleza kuhusu mustakabali wa miaka 10–20 ijayo ambapo AI na roboti zinaweza kufanya kazi nyingi za binadamu kuwa za hiari, na hivyo kupunguza sana umuhimu wa...
  5. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

    Wasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini? Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini Zipi sababu hasa zinazopelekea wakataliwe? Wajuzi wa mambo mtuambie...
  6. F

    JamiiForums Tanzania JE ni kweli ndoa za zama hizi ni kama mtego wa panya ?

  7. Tuagize

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanaume anaejielewa lazima awe bahili? Toa maoni yako

  8. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanaume anatakiwa kumzidi mwanamke vitu hivi ili mahusiano yadumu?

    Wasalaam wakuu Kuna hili jambo nimelisikia kwa muda sasa kuwa ili mwanamke amtii mwanaume kwenye mahusiano; iwe ni urafiki wa mwanzo,uchumba ama ndoa inabidi mwanaume amzidi mwanamke hivi vitu;- UMRI PESA ELIMU/AKILI
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli, Dar es Salaam ndio center ya mafanikio hapa Tanzania? Unamshauri nini kijana?

    Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini? Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Minadani kuna ushirikina je ni kweli

    Check hapo juu🙌😂🤣
  11. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Ngono inapunguza nguvu za kiroho?

    Hopefully wote mko salama. Naombeni majibu tafadhali, Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..? Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video: Polisi Uganda wamekamata gauni la kifahari aliyekuwa spika wa nchi hiyo kufuaia tuhuma za rushwa zinazomkabili

    Police in Uganda have arrested a dress belonging to Parliament Speaker Anita Among. The designer outfit, which she wore during President Museveni's recent swearing-in, was reportedly purchased for Ksh. 1.1 million. Among is facing corruption allegations.
  13. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli wanawake wanapenda pesa au ni uongo unaoenezwa na watu wasio na pesa?

    Wakuu naomba nielewe kidogo bila kubishana 😅 Je ni kweli wanawake wengi wanapenda pesa, au ni kauli tu ya watu waliopitia experience tofauti na wale wanaotafuta excuses na faraja ya umasikini wao Nauliza kwa ajili ya kuelewa mtazamo wa watu 🙏 NACHANGANYIKIWA MIMI Funny boe
  14. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Trump amezidiwa, amekimbizwa hospitalini

    Wakuu nimekutana na hii video ikisambaa katika mitandao ya kijamii na kuelezwa kuw Rais Wa Marekani Donald Trump amezidiwa na amekimbizwa hospital
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kamal Kharaz amesema Iran ipo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa jiji la Tanga limeacha kukua?

    Nimekuwa nikisikia sana kuwa jiji la Tanga halikui, linabaki hivyo hivyo miaka nenda miaka rudi. Sasa sijawahi kufika Tanga, je madai haya yana ukweli wowote? Kama ni kweli serikali itafute namna ya kufufua hili jiji liendelee kukua. Wajenge hata vyuo vikuu, viwanda au namna yoyote tu jiji liwe...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je ni kweli Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu?

    Kuna hii taarifa inasema Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu? Je ni taarifa ni kweli au
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tukio hili limetokea kwenye hifadhi ya Serengeti

    Kumekuwepo na video zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania zikionyesha magari yakisombwa na maji katika mto. Baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo wametoa maoni wakidai kuwa tukio hilo limetokea katika Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania. Waziri wa Maliasili na...
  19. opondo

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli hapa Tanzania soko la teknolojia na tehama ni kwenye kutengeneza na sio kuunda?

    Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
  20. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, nukuu/maneno haya yametolewa na mzee Warioba?

    Wakuu Katika pitipita zangu nimekutana na hizi kauli ambazo zimetolewa na Mzee Warioba ni kweli?
Back
Top Bottom