Wakuu, wakati naperuzi huko Jasusi TV nimekutana na hii habari ya kutisha sana, wadau wa maandamano ni bora muahirishe hadi siku za usoni
https://youtube.com/shorts/3GCF3WoAMNg?si=QArzIsuclu4_26AG
Jamii Check Kuna Graphics Ambayo Inasambazwa Katika Mitandao Ya Kijamii Ikionesha Chapisho La Masanja Mkandamizaji Kuhusu Suala La Kutekwa Kwa Polepole Na Padre Nikata Kuwa Ameuawa .je Chapisho Hilo Ni La Kweli Ama Uongo.
Wakuu, kiusema kweli hii imenishangaza sana siku hizi huko Instagram na TikTok kila mmoja ni daktari huyu anasema wanaume wanatakiwa kuanika korodani zao ili kuimarisha mbegu za kiume. JamiiCheck na wataalamu wa maswala ya afya msaada wa hili tafadhali.
Je kweli maana mpaka sasa Polepole anaongelea mafichoni ukiangalia hamna kosa ila ameongea yale yale familia 50 wasiyopenda.
Lissu yuko jela tatizo nini kaongea yaleyale familia 50 wasiyoyapenda.
Wengine tumebaki kua makasuku kuimba yale ambayo famallia 50 wanapenda
Leo Maxi Mello walimwambia...
Wakuu
Nimekutana na hii barua ambayo inasema NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti? kuna ukweli wa hizi taarifa?
JE NI KWELI HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI? KAMA BAADHI MEDIA ZINAPOST INSTAGRAM ZIKISEMA HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI KIKIWA KIMEKUZWA KWENYE ELECTRONIC MICROSCOPE BY ANOLD MEDIA
Habari , kwa mliwahi pitia hii hali comedian Tom Daktari kapitia mnazungumziaje level of trusting colleagues.
https://youtu.be/weyJaQlchV8?si=W4MHw5DiFsmeuVUQ
Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Instagram Likieleza Kuwa Bahari Ya Galilaya Imegeuka Nyekundu Kama Damu
Chapisho Hilo Limechapishwa Kwenye Ukurasa Wa Global Tv Online's
Nimeona Nilete hapa Kwa Ajili ya Verification
Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi wagombea wa nafasi za juu katika siasa za leo wanavyonyamazishwa au kwa Maksudi kabida kutoonyesha msimamo dhahiri kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi na utawala mbovu. Hoja hii muhimu inapuuzwa, hakuna Mgombea yoyote mwenye kuonyesha hatua atakazo fanya...
Aiseeh Leo katika pita pita zangu mm huwa syo mtu wa story za vjiwen ila Leo mlienda mahali tulikuw wanaume tu bas story zlipgwa nyingiii akina s unajua palpo na wanaume wanawake pia huongelewa😂😂, kama ilivo kwenye saloon za wanawake pia wanaume huongelewa 🥲🥲
Ikaja Agenda kama ilivosome hapo...
Hellow!
Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya?
Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu amegomea mechi isifanyike, wameamua kufanya hekaheka za kimya kimya?
Kwamba zoezi la...
Wabobezi wa miamba,Geologist,Geotechnical na wengine wote mnaohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye masuala ya miamba karibuni mtupe majawabu ya kina.
Kwema wakuu.
1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli radi ni jogoo?
2. Ukivaa nguo nyekundu kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa radi. Kuna ukweli katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.