januari

Melipotis januaris, the January melipotis moth, is a species of moth in the family Erebidae. It was first described by Achille Guenée in 1852. The species has a wide range in the New World and has been recorded from Saint Kitts, Montserrat, Dominica, Saint Lucia, Saint Vincent, Grenada, the Greater Antilles, Florida and from Mexico to Paraguay.The wingspan is about 35 mm. It is a highly variable species. Some specimens show a strongly contrasting pattern whilst others are more uniform.
The larvae feed on Inga laurina.

View More On Wikipedia.org
  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania January Makamba kumrithi Majaliwa

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa. Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu?
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Somalia: Watoto 730 wafariki katika Vituo vya Lishe Januari - Julai 2022

    Mamia ya Watoto wamefariki Dunia katika Vituo vya Lishe Nchini Somalia kuanzia Januari hadi Julai 2022 na idadi inaweza kuongezeka kutokana na mazingira ya lishe kutokuwa mazuri. Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Watoto na Wanawake (UNICEF) zimeeleza hivyo ikiwa ni baada...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane gharama za Marketing Meneja wa Mitungi ya Gesi huyo January Makamba, zililipwa na Rostam?

    Nataka kujua marketing meneja wa Mitungi ya Gesi aliyeisamabaza mpka visiwani huko ukerewe na Ghana alilipwa na ROSTAM au serikali yetu? Mh Rais nchi hii ni ya kwetu jaman mbona Kuna matumizi hatuyaelewi sisi wengine jaman? Mbona tozo zimekuwa tozolo?jaman nchi hii na tozolo tunaelekea wapi jaman
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari aitupia zigo Menejimenti ya zamani ya TANESCO kuchelewa mradi wa JNHPP

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amenukuliwa akiitupia lawama bodi ya wakurugenzi na menejimenti ya TANESCO iliyopita kwamba ndio imehusika kuhujumu mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere na kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mujibu wa mkataba. Kama itawapendeza wajumbe naomba...
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari ataja sababu za kusuasua kwa Mradi wa JNHPP

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametaja sababu za kuchelewa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa ni utendaji mbovu wa Menejimenti ya Tanesco kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. "Tuliamua kubadilisha menejimenti ya Shirika pamoja na Bodi na kuweka menejimenti mpya na bodi ambayo tunaamini...
  6. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba aanza kuwafanyia fitina Mawaziri wenzake

    Tumeona siku za karibuni Makamba badala ya kujitika kutatua matatizo makubwa yaliyoko kwenye Wizara yake yanayolalamikiwa wa wananchi kila mahali ikiwemo tatizo la kukatika kwa umeme, kuchelewa kwa miradi ya Rea, lakini ameanza kuwapiga fitna mawaziri wenzake ili waonekane hawafanyi kazi. Mfano...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Januari Makamba ateuliwe kuwa Balozi

    Ninashauri Rais amteue January Makamba awe balozi na apangiwe nchi ya kuiwakilisha.
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kwanini umaarufu wa Januari Makamba unashuka siku hadi siku amekosea wapi?

    Mwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora. Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tabora wamvaa Januari Makamba tatizo la umeme

    Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amesema pamoja na mambo yote yanayofanywa na Wizara ya Nishati lakini wananchi wa Tabora wanataka umeme. "tuongeee yote wanataka kuona umeme ni umeme ni umeme Naye Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta amesema nishati ya umeme kwa wananchi ni uchumi na ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Katika hili la kuhamasisha matumizi ya gesi tusimlaumu Januari Makamba

    Wana Bodi suala la Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhamasisha matumizi ya majiko ya gesi limepitishwa na Bunge hili la Bajeti lililomalizika Juni 30. Kama mnavyofahamu Bunge linasimama kwa niaba ya wananchi na wao ndio wameidhinisha atumie Shilingi Milioni 500 kwa kazi hiyo ya kuhamisha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania DCI Kingai anza na Januari Makamba

    DCI mpya Kingai fungua file la uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri Januari Makamba za kuvunja Sheria za nchi . Fuatilia Kashfa inayoendelea sasa ya kati yake na Kampuni Kubwa ya kuuza gesi ya Taifa gas
  12. M

    JamiiForums Tanzania Januari tuwekee ushahidi wa video ya Kamati ya Bunge au Mbunge aliyekuita 'Mshenzi'

    Nimeona Video inayosambaa kwa kasi sana mitandaoni ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba akiwaita wabunge na watanzania wapuuzi na kama hawamtaki wamuue. Kwenye hotuba yake ametumia neno MSHENZI huyo akimaanisha wabunge na Kamati ya Bunge ya Nishati iliyohoji bungeni kuhusu kuchelewa kwa Mradi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

    Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka...
  14. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue. "Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote...
  15. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele “Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati...
  16. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia. CHANZO: GAZETI LA...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya UN: Iran imenyonga zaidi ya watu 100 kati ya Januari – Machi 2022

    Iran iliwanyonga zaidi ya watu 100 katika miezi mitatu ya kwanza ya 2022, hali ya kutisha ambayo inazidi kuongezeka, kulingana na ripoti ya katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres iliyowasilishwa Jumanne. Akizungumza mbele ya Baraza la haki za binadamu la Umoja wa mataifa mjini Geneva...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya sekta ya nishati ni tatizo la Serikali, kumtwisha Januari Makamba ni kutufanya watanzania mazuzu!

    Imekuwa kawaida Kwa Chama Tawala, kujikita ZAIDI kwenye Siasa za Uchaguzi kuliko kuangalia utatuzi wa chaangamotto na kuondoka umaskini! Sekta ya Nishati ni mojawapo ya Eneo ambalo Vita vya Wana CCM hupigwa vizuri sana, Kila unapoekea Uchaguzi! Leo nimemsikiliza Karibu Mkuu wa CCM ,nimebaini...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Tanzania hatuna uhaba wa mafuta, tumeshaagiza mengine ya Mei, Juni 2022

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imesema mpaka sasa Tanzania haina Uhaba wa Mafuta, hivyo hakuna Sababu ya Watanzania kuwa na Taharuki ya Ukosefu wa Nishati hiyo Muhimu. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nishati, Januari Makamba katika mkutano wake na Waagizaji na...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nishati Jadidifu: TotalEnergies yafanya tena kweli, yaongoza njia. Waziri Makamba aipongeza, awataka wengine wafuate

    Wanabodi, Japo Tanzania tunaagiza mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, kwa uagizaji wa pamoja, yaani Bulky Procurement, lakini ubora wa mafuta hayo haufanani, mafuta ya TotalEnergies ndio mafuta bora zaidi, kutokana na kuongezwa kiambata kiitwacho excellium, kinachoyafanya mafuta yao...
Back
Top Bottom