Wakuu,
JamiiForums ni jukwaa la watanzania wote, ambapo ndani yake unapata kila kitu tena kwa ubora na weredi wa hali ya juu ikiwemo habari, burudani, michezo, mapishi, siasa, uchumi, lugha,nk
JamiiForums faida zake ni nyingi sana kama vile ina'save' data/bando ukilinganisha na mitandao...