jamiiforums

About Jamii Forums
logox.png

JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.

JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.


Focus Areas
  • Amplification of Citizen Voices
  • Access to the Right Information
  • Data Privacy and Protection
  • Digital Rights Advocacy
  • Promotion of Stories of Change
  1. G

    JamiiForums Tanzania wadau wa IT wa jamiiforums, Israel ipo kwenye level zipi kwenye masuala ya teknolojia za udukuzi na mambo ya cyber ?

    Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location. Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe jana Kakesha JamiiForums Usiku Kucha na hajaamini kuwa kuna Watu wanapiga Spana za Ukweli na wana Akili

    Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe (nimesahau namaanisha) wapo nami GENTAMYCINE.
  3. Brojust

    JamiiForums Tanzania Nina swali Hapa jamiiforums, Hivi kwanini mtu akidanganya au akisema kitu kinachoashiria uongo mnasema CHAI ?

    1. Chai (uongo) asili yake ni nini ? 2. Kwanini mliwaza chai pale mtu anaposema uongo ? 3. Kwani chai na uongo vina uhusiano gani ? NB: Nasikia ubongo wa binadamu unaogelea kwenye fluid fulani sijui inaitwaje na haujawa attached kwenye kitu chochote. Ahsante.
  4. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi kujiunga JamiiForums kwa mara ya kwanza

    Nilikuwa nikitumia JF kama Guest tangu zamani ila sasa nimefungua akaunti rasmi.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wangapi hapa JamiiForums tulikuwa tunamjua huyu Nyoka HATARI asiyeuma, ila anatema Mate yenye Sumu aitwae Fira?

    Mwenye Kamusi mpya kabisa ya maneno mapya ya Kiswahili Fasaha ya TUKI aende katika Ukurasa wa 126 akamjue huyo Nyoka HATARI kabisa aitwa Fira. Nyoka Fira hatari acheni masihara.....!!
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ninaomba kupata mwongozo wa kutembelea ofisi za JamiiForums, kama mwanachama wa JF.

    Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf. Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu. Je, kuna mtu maalum wa kuwasiliana naye kabla ya kufika ofisi za Jf?
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanaume Mwenzangu yoyote hapa JamiiForums mwenye Ujasiri huu wa Kinafiki na Uwongo kama wa huyu?

    "Mimi na Jennifer sio na hatujawahi kuwa wapenzi, naweza kulala nae kitanda kimoja usiku mzima na tusifanye chochote tukaishia kupiga stori tu"- Othman Njaidi, "Patrick Kanumba", Mwigizaji wa filamu Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Yaani kabisa Nadindisha vyema, halafu nilale na Mbunye iko pembeni...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa napenda kuiona Sura ya nani (Wanawake) hapa JamiiForums kutokana na Kuvutiwa nao / Kunivutia ni hawa Wafuatao tu.....

    1. Leejay49 2. ephen_ Sababu....... Licha ya kuonekana ni Wanawake Warembo sana na wana Elimu Tukuka ila wanaonyesha hata kule pia Wanajua.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

    naanza na huyu rodrick alexander yupo wapi?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa ligi kuu Uingereza unaanza , JamiiForums fantasy league inarejea tena , karibu tufurahi

    Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena . Namna ya kujiunga Code to join this league: gxdwy2 Au https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/gxdwy2 Currently just for Fun tuendelee kusubiri kama msimu huu JamiiForums itaona...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tumechoka wananchi wa Karagwe na mamlaka za TANESCO pamoja na TCRA

    Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika. Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
  13. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefika views laki moja kwenye post zangu jamii forums

    Asanteni sana kwa wale walionuwa wanapita pita kwenye post zangu na kuchukua uongo na ukweli,post zangu zimefika views laki moja ni jambo la kushukuru.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Ufaransa waitembea JamiiForums

    Leo Agosti 2, 2024, JamiiForums (JF) imepata ugeni kutoka Ubalozi wa Ufaransa ukiongozwa na Naibu Balozi Axel Guillon ambaye amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi pamoja na Watendaji wa JF Guillon amepata nafasi kujionea jinsi JF inavyoendesha shughuli zake pamoja na kujadiliana na Uongozi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC wa JamiiForums hii Mada ya Shilingi Milioni 200 kwa Mwaka inawauma na Ukiwauliza wanakuwa Wakali sana Kujibu?

    Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M?
  16. Rayns

    JamiiForums Tanzania Namaliza mwaka kama mwanachama wa JamiiForums. Naomba sapoti yenu tena

    Habari ndugu zangu wa JamiiForums, Natumaini wote mko salama na wenye afya njema. Leo natimiza mwaka mmoja tangu nilipojiunga na hii jamii adhimu ya wasomi na wachambuzi wa mambo mbalimbali. Ni mwaka ambao nimejifunza mengi, nimeongeza maarifa na pia kufurahia mijadala ya hapa. Katika safari...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC hapa JamiiForums mmemsikia lakini mwana Yanga SC Mwenzenu Mchambuzi Oscar Oscar kuhusiana na Jezi zenu mpya za Msimu huu?

    "Yaani kila nikitaka tu kusema Jezi za Yanga SC ni nzuri kuna Akili inaniija na kuniambia niachege Ujinga" Oscar Oscar.
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Maboss wa JamiiForums kuna gari lenu hapa la umeme: Rolls Royce Spectre

    Katika press conference mwaka 2010, wakati iPhone 4 imetoka, Steve Jobs alivyoulizwa kama Apple wana mpango wa kutoa simu kubwa alijibu "no one is going to buy a big phone", akiamini kwamba size ya 3.5 inch ni perfect kwa simu. Muda huo ilikua kijembe kwa Samsung S1 iliyokua na 4 inch. Kwa muda...
  19. E-Maestro

    JamiiForums Tanzania JamiiForums: Je, Tunahitaji Sehemu Inayozungumzia Afrika na Uafrika?

    Waafrika wenzangu, Tupo katika enzi ambapo, kama Waafrika, tunapaswa kufikiria Afrika kwa ujumla badala ya vipande vipande. Tunahitaji kushirikiana, kujadiliana, na kujenga mustakabali wetu kama bara moja. Katika kufanikisha hili, naona umuhimu wa kuwa na sehemu maalum kwenye JamiiForums...
  20. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Ziara yangu ofisi za JamiiForums

    Wasalaam Wanajukwaa wenzangu. Mapema tarehe 12 Julai, 2024 nimetembelea Ofisi za Jamii Forums kama mojawapo ya taasisi inayojihusisha na habari za kijamii. Lengo la ziara ni kuweza kufahamu shughuli za taasisi hii na kuona namna ya kushirikiana Ili kupanua wigo wa kuifikia jamii kidigitali...
Back
Top Bottom