jamii

  1. C

    Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

    Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site...
  2. Wa Anunnaki: Jamii nje ya dunia

    Katika kitabu chake cha 1976, "Sayari ya Kumi na mbili," mwandishi wa Kirusi-Amerika Zecharia Sitchin alidai kwamba Anunnaki walikuwa kweli jamii ya viumbe vya nje kutoka sayari isiyojulikana ya Nibiru ambao walikuja duniani miaka 500,000 iliyopita ili kuchimba dhahabu. Kulingana na Sitchin...
  3. Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Ni dada wa miaka 45 Nimepanga Sijaolewa Ni mfanyabiashara ndogondogo Niko jijini Dar Es Salaam Nitashukuru sana.
  4. Wasichana Wanaowaza Mapenzi Tu: Ukweli au Stigma (Unyanyapaa) kwa Jamii?

    Kuna kale ka-sentensi maarufu mitaani: “Wasichana siku hizi akili zao zote ni mapenzi tu.” Swali la msingi ni… ni kweli ama tumewatengenezea label tu ya "Love Machines" bila kuwapa nafasi ya kueleweka? Real Talk… Ukisikiliza mazungumzo ya watu, hasa porojo za vijiweni, utaambiwa eti msichana...
  5. Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  6. Dkt. Gwajima aitaka jamii kuzitumia huduma za ustawi wa jamii kutatua changamoto mbalimbali

    DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI Na WMJJWM-Mtwara Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameitaka jamii kutambua na kutumia kikamilifu huduma zinazotolewa na wataalamu wa Ustawi wa Jamii...
  7. Hii ndio "THE NEW NORMAL" katika jamii zetu kwa sasa.

    🚩Mashoga kujivinjari na kujionesha waziwazi katika masherehe na shughuli za kutuzana, zamani mtu aliekuwa ushoga aliishi kwa usiri mkubwa sana yani unasikia juju kwa juu tu kuwa fulani ni shoga. 🚩Aina ya mwanamke alie katika utupu au historia ya skendo chafu ndio inakuwa televised na glorified...
  8. China ililazimisha jamii ndogo ya waislamu wa huko watume video zao kuonyesha wanakula kipindi cha ramadhani

    Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
  9. John Mrema: No election ni kukusanya wimbi kubwa kwa jamii ili kushinikiza mabadiliko. Lissu: ninaikusanya jamii ya watanzania ili kuhimiza mabadiliko

    John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko. Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe? Mimi hata...
  10. JAMII INA WATU WENYE STRESS SANA

    Habari wadau .Moja kwa moja kwenye mada miaka ya hivi karibuni tumeona kundi kubwa la wachekeshaji wa mitandaoni inaonekana Watanzania wengi wanastres sana hadi kufikia hatua ya kununua furaha. Yani watu wanalipia hela kwenda kucheka .Enyi watawala punguzeni kubana watu wanastress sana...
  11. Mgeni wa Jamii Forums

    Habari wakuu Mimi ni mgeni nahitaji support yenu na ushirikiano wenu Ova
  12. Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

  13. Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  14. J

    Vikundi/ vyama vya KUFA na KUZIKANA vinaleta ustawi gani katika jamii?

    Utamaduni ni jambo ambalo linanguvu saana, Hata wataalamu wa mambo ya kijamii wanasema ili uweze kubadilisha utamaduni wa sehemu fulani inaweza kuchukua hata miaka 50. Katika jamii zetu kumekuwa na desturi au kaida za kuisaidiana katika Sherehe mbalimbali kama harusi, birthday, vipaimara...
  15. Tetesi: Zawadi ya EID: Mwijaku kulipia jamii Maskini 1000 Kodi za nyumba miezi 12

    Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
  16. Jamii Forums . Nyumbani,. kudos To Maxcence,Mike Mushi na Team Nzima ya Staff members Bila kusahau All members

    Laying this infrastructure was a crucial step. My first encounter with Demi Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook... Kuwa crushed na kupewa rules and regs.. Mshana Jr na Uzi wake wa meditation... Alivyosoent his time in a Buddhist Monastery .. south Africa Uzi wa Naomba kuongea na...
  17. ugawaji wa majimbo kwa sasa ni ustawi wa maendeleo ya jamii zetu au maslahi binafsi ya watu

    Ukikaa unawaza je kuna haja ya kuendelea kujaza wabunge bungeni na kulipana posho na kuongezea serikali mzigo na kuacha huduma za kijamii zikiendelea kudozorota mfano afya na elimu ambazo miundombinu inajengwa ila mashuleni walimu hakuna vitendea kazi hafifu, kwenye afya majengo yapo wahudumu...
  18. Lissu: Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.

    Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.
  19. Msaada kwenye tuta wana jamii swali la hesabu

    Can you prove that 4+2=5+1 is true without solving both sides? Explain.
  20. Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

    "JF member" na "senior member" ni maneno yanayotumika sana katika muktadha wa majadiliano ya mtandaoni, haswa kwenye jukwaa la JamiiForums (JF). Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: * JF Member: * Hii ni neno la jumla linalorejelea mtu yeyote aliyesajiliwa na anayeshiriki kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…