jamii

  1. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii za kiAsia zinaonekana kufanya vyema kwenye akili mnemba( AI) na Semiconductors

    Kwa nini hizi jamii za Asia zinaonekana kufanya vyema kwenye AI kwa sasa duniani ? Hasa jamii ya kichina iwe ndani ya nchi zao za kuzaliwa au hata nje ya nchi zao Nini siri ya mafanikio yao au upande gani una mafanikio kwao katika maeneo haya ?
  2. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Tuna Askari Police wenye akili kama huyu?Hii ndio maana ya jamii iliyoelimika

    Askari mlio humu...je hutakiwi kutafakari au kuhoji amri yoyote unayopewa?Hebu msikilize mwenzenu hapa👇
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Edda Sanga: Udhalilishaji katika Mitandao kwa Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai ngazi ya Uongozi

    Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi. Amesema “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu

    Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu Katika kipindi cha sasa ambapo utandawazi umeenea kwa kasi, jamii nyingi barani Afrika zimeanza kupendelea kutumia majina ya kigeni hasa ya Kiarabu na ya Kiingereza, huku zikiyapuuza majina yao ya asili. Wapo wanaoona kuwa kutumia...
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Chanzo na asili ya jamii ya illuminati Sehemu ya kwanza

    🕯️ CHANZO NA ASILI YA JAMII YA ILLUMINATI Sehemu ya kwanza (Na AMUN The Grand Master Of The Third Eye Enlighten Society) ⚖️ Mwanzo Rasmi – Bavarian Illuminati (1776) Ilianzishwa na: Adam Weishaupt, profesa wa sheria ya kanisa (canon law) katika chuo kikuu cha Ingolstadt, Ujerumani...
  6. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazotumia lugha zao asili za Kibantu kwenye elimu, serikali na jamii yote

    Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: 🇹🇿 Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili (lugha ya Kibantu) Elimu: Shule za msingi: Kiswahili ndicho kinatumika kama lugha kuu ya kufundishia...
  7. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini waitwe Tomboy na siyo Tomgirl kwa maana ya Tom ni jina la jinsia ya kiume na girl ndo uanamke wao?

    Nimekuwa nikitafakari kwa kina juu ya neno “Tomboy.” Kwa kawaida, linamaanisha msichana ambaye ana tabia, mavazi, au mienendo inayohusishwa na wavulana. Lakini kila nikilitafakari, linazidi kunichanganya. Kwanini msichana aitwe Tomboy jina lenye maneno mawili ya kiume: Tom (jina la kijana wa...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wasukuma ni jamii watu wanaodanganyika kirahisi mno

    Wasukuma wana mioyo ya plastic Wao kila kitu ni " no taabu" CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori...
  9. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

    Habari wanaJF, ninaomba kwenye uzi huu mtume link za nyuzi zote za stori za kweli zilizowahi kubamba hapa JamiiForums Mfano ile stori ya khumbu ya konda msafi, stori ya dereva Uber na mwanamke aliyebadilisha maisha yake n.k
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli Viongozi ni zao la wananchi maana wanatoka kwenye jamii , tatizo linaanzia kwenye jamii, mpe KIJANA wetu million 10 uone vipaumbele vyake!!

    Huo ndo ukweli mchungu , Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika Tunalaumu viongozi wanunua magari ya mabilioni kwenda kuzindua miradi ya mamilion au kutembelea wananchi wasio na...
  11. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi jamii ya sasa ya Tanzania kuna watu wana maadili, malezi bora, Imani na lugha za staha?

    Maadili ni neno pana ila linaloeleweka kiasi kwamba ukizungumza kuhusu maadili kikawaida mtu atafikiria moja kwa moja matendo mema Katika jamii ya sasa ya kitanzania sijui kama kuna watu wema wenye matendo mema, lugha za staha, malezi bora na mavazi ya heshima kama wapo ni asilimia chache sana...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baraza la Wazazi CCM, Kahama: Midoli inadhalilisha Wanawake, inachochea mmonyoko wa maadili katika Jamii

    Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia midoli ambayo imetajwa kuchochea mmonyoko wa maadili katika Jamii. Ushauri huo umetolewa na Baadhi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kuandika msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili

    Tafadhali mwenye maswali ya usahili utumishi msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili au whatsup group anisaidie
  14. Sonko Bibo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heshima na zawadi ya kipekee kwako mtu wa aina yako hapa Jamii forum.

    Mwishoni nimekutag, hii ni kuonyesha kuwa nimetambua mchango wako kwangu hapa Jamii forum. Sina mengi ya kuelezea lakini naamini kuwa hii ni zawadi na pia ni kama kumbukizi kwako. Fanton Mahal Ahsante.
  15. Soul21

    JamiiForums Tanzania Uvivu Wa kutafuta maudhui kwa media zetu za mtandaoni utapoteza historia yetu Tanzania

    Picha: Pinterest Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako. Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia. Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
  16. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea Viongozi wa Dini kutokuwa na Umoja au Mshikamano pale wanapokemea maovu katika jamii?

    Habari wakuu, Kama Mungu ni mmoja Mbingu ni moja na pia imani ni moja ni nini kinachosababisha viongozi wa dini kutokuwa na ushirikiano pale mmoja wao anapokumbana na uonevu kwa kukemea maovu. Je, ni kwasababu Baadhi ya viongozi wana uhusiano wa karibu na serikali, hivyo hawawezi au hawako...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Maombolezo ya Jamii Iliyopotea: Wito wa Kurudisha Haki na Utu kwa watanzania

    Ni kweli kwamba tumepoteza wengi—marafiki, ndugu, na binadamu wenzetu—kwa mateso, mauaji, na kupotezwa bila haki. Ni picha ngumu sana kuona jamii ikizidi kuangalia mambo ya msingi kama burudani na mapenzi, huku haki, utu, na thamani ya maisha zikidharauliwa. ni kama tumelala usingizi wa pono...
  18. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya jamii na uongozi

    "Pale ambapo taifa linashuhudia kuibuka kwa wanasiasa na viongozi wa dini wenye hulka ya kuropoka, kueneza uongo, na kuchochea hisia bila mantiki, huo ni uthibitisho wa kuwepo kwa changamoto ya afya ya akili katika jamii. Endapo hali hii haitadhibitiwa kwa maarifa na maamuzi magumu, ipo hatari...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uanasheria na Uanahabari wa Pasco Mayalla hauna faida yoyote kwa jamii; ni wa kuganga njaa tu

    Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea. Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anapaswa kuheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia...
  20. haszu

    JamiiForums Tanzania Makundi yaliopoteza ushawishi katika kwa sasa.

    1. Wadada Tangu jamii ilipoamua kufanya sex kama “causal thing” na wengine wakwenda mbali zaidi ou commercialize sex, hali imekua tofauti. Vijana sasa hawajua struggle za kutongoza na kumhangaikia mwanamke, mana wanapatikana kiurahisi. And once you get it easily, it loose value. 2. Kanisa...
Back
Top Bottom