jamii

  1. JamiiForums Tanzania Top 10 threads zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi kwenye Jamii Forums

    Habari ya leo wanaJF, JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya members wa JF bali ni kujua top 10 threads / nyuzi zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi. Hii...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tukiwa jamii iliyostaarabika, lipi ni kosa kubwa na zito zaidi kwetu kati ya kuua mtu au kuchana kitabu cha dini kama Quran au Biblia?

    Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni vyema serikali, Wananchi tukatambua ugonjwa wa akili na viashiria vyake

    Kwanza ugonjwa wa akili ni kitendo cha kuanzia kufanya matukio kinyume na utaratibu na Kwa kujiamini sana bila wewe kujijua unakosea Ila jamii inakuona wewe unakosea, unaweza ukawa unasikia sauti za watu wanakuita Ila huwaoni, unaweza ukawa unajibizana na sauti ambazo huzioni, unaweza ukawa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni katika kundi gani katika jamii Bwana yule anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura za kundi husika?

    Nikimtafakari Bwana mkubwa na jinsi anavyoendesha kijiji chetu tangu aingie ofisini,sioni ni katika kundi gani katika jamii ya wadanganyika ambako anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura zote kutoka katika lolote miongoni mwa haya na mengineo ambayo sijayataja: 1.Wafanyakazi 2.Wafanyabiashara...
  5. JamiiForums Tanzania Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

    Sweden nao wameamua kujiridhisha pasina shaka kuwa Tanzania kuna Uminywaji wa haki za Binadamu na kupunguza misaada kwa Miaka mitano ijayo, maana yake Mpaka 2026 ambapo uwenda Magufuli akawa anatoka madarakani Nadhani baada ya Zitto kumaliza barua kwa USA sasa hii imeandikwa na Kiranga Source...
  6. JamiiForums Tanzania Je, mabinti wa shule walaumiwe kwa kushika mimba?

    Habare comrades Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Benki ya Dunia hupenda kukopesha zaidi kwa ajili ya huduma za jamii na sio viwanda?

    Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Member wa JamiiForums mpo wapi?

    Habari members, Hua najiuliza hili swali mara nyingi kwamba Member wa JF huwa mnachangia mada mkiwa wapi mnajifungia ndani au? Mana napanda daladala hampo, bar hampo, kila nnapokaa kwenye changanyikeni ya watu ambao wapo busy na simu zao wengi wapo Instagram, Twitter na mitandao mengine...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

    Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi Dkt. Magufuli imeshakamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipongeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi. Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwaa na kutukwaza Ila kwa kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania To all women friends, young to old sisters here on JamiiForums

    To all women friends, young to old sisters here on JamiiForums. Before starting I would like to congraturate every one here in JamiiForums for being rewarded by God to commence the beautiful and incredeble year, 2020. I know It was not an easy task to cross the 2019-2020 bridge, but for his...
  11. JamiiForums Tanzania Jamii masikini yenye ardhi tajiri (Msangano Momba)

    JAMII MASKINI KWENYE ARDHI TAJIRI (MSANGANO MOMBA) BY MSUKU PETER UTANGULIZI Umasikini. Ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile malazi, mavazi na chakula. Lakini pia maji safi na salama, huduma za afya, kutokana na kukosa uwezo wa kununua au kulipia. Hii pia...
  12. JamiiForums Tanzania JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

    TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “ Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo! nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda. sasa naweza kukusaidia Kila eneo...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kuhusu salamu ya jamii huendana na uchumi wao

    Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao. Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa. Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au...
  14. JamiiForums Tanzania Jela inapokuwa na manufaa kwa jamii

    Kuna bwana mmoja Mtanzania ni fundi huko Ulaya. Ana kampuni yake ndogo na van la kazi. Huwa anaajiri cash in hand wengi kutoka Romania na Poland. Ifundi wa huyu bwana ni: 1. Fundi bomba, hutengeneza mabomba yaliyoharibika na pia kufunga mashine za kufulia. 2. Fundi umeme na gas, hutengeneza...
  15. K

    JamiiForums Tanzania HAPPY NEW YEAR WANA JAMII FORUMS

    Niwatakie Happy New Year wote. Mwaka huu uwe mwaka wa mafanikio kwa kila Mwanajamiiforums. Tujielekeze katika kuelemisha jamii na kutoa ushauri kwa kila jambo ambalo lina manufaa. Tujiepushe na matusi na udhalilishaji kwa jamii. Tupendane na kushirikiana katika kila jambo. Narudia tena HAPPY...
  16. JamiiForums Tanzania Top 20 ya JamiiForums

    Top 20 ya members wenye meseji nyingi kuliko wote jamii forums 1. RUTASHUBANYUMA(JF-Expert member) Message: 169,603 2. NUMBISA( JF-Expert member) Message: 151,963 3. MSHANA JR(platnum member) Message: 127,933 4. SHUNIE(JF-Expert member) Message: 118,537 5. SHIMBA YA BUYENZE( JF- Expert...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaiomba jamii forums ndani ya kai ios

    Habari, leo nimenunua kitochi janja kiukweli kipo simple na kinacover mambo mengi compare na kitochi jinga cha nokia, ili nikifahamu vizuri ilibidi nimeweka smartphone langu kubwa kwenye droo na kwakweli sijalimiss sana..Ila Kwenye hili pilau pendwa kilichomiss ni jamiiforums app, ingependeza...
  18. JamiiForums Tanzania NIDA: Taasisi iliyofeli kuingiliana na jamii

    Habari zenu watanzania wenzangu. Ni Mara ya pili naanzisha Uzi (makala) hapa inayoihusu taasisi hii nyeti imeyopewa mamlaka makubwa na serikali yetu kutupatia vitambulisho vya Taifa. Kwa umuhimu wa vitambulisho hivi ni wazi taasisi hii ni muhimu sana kwa watanzania wote. Huwezi kupata passport...
  19. JamiiForums Tanzania Wanandoa jitahidini sana mfichiane madhaifu yenu mbele ya jamii

    Hi guys..! Natumaini mpo salama sana.! Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo, Mshauri wangu na rafiki yangu..! nimeuelewa ushauri wako barabara, but please understand me, writing is...
  20. JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wote ' tuliokwazika ' na Bondia Hassan Mwakinyo ' tumsamehe ' kwani hatimaye amemuomba Radhi ' Legend ' Rashid Matumlla

    Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE nikaanzisha Uzi wa Kumsema ambao uliibua Hasira Kali za Watanzania zilizosambaa sehemu mbalimbali hatimaye leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…