Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo...
Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
Habari wana zengo wakubwa kwa wadogo, hatimae nimerejea tena nilikuwa nimepigwa PIN akaunti yangu inagoma kuingia JamiiForums nikaenda ujinini sasa nimerudi na mambo mapya na makubwa na hatimaye nina habari nzuri kwenu.
Je, kuna mpya gani huku.
1: Kuruhusu mgeni alale na mtoto wako mdogo chumba au kitanda kimoja
2: Kuwabania vikali mabinti katika mikusanyiko ya kila siku ya maisha, hii imetengeneza vijana wengi machapati mikoa ya pwani
3: Ubinafsi na ukoloni wa baba katika uendeshaji na ushirikishaji wa mali zake
4: Kuwachezea...
Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ?
Au ndio wameshindwa kuzimudu ?
Viongozi wa Dini zote wamesema...
Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025
Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi.
1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma
2. Jamii forums imeajiri vijana...
Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa.
Kama yupo Askofu wa katoliki humu jukwani Tunaomba utufikishie ujumbe waache kuhuburi siasa wanakela, imagine mpaka...
Wakuu habari za jioni hii.
Hili ni andiko huru kwa watu huru, wa jinsia zote, na mlengo ni kuwekana huru kifikra.
Mwanaume tokea Karne za nyuma anafahamika kuwa na sifa za uongozi kwenye Dunia, kuongoza nchi,kuongoza jamii na familia. Kitabu Cha mwanzo kinaelezea vizuri role ya mwanaume...
Katika kile kinachoonekana kujibu mapigo ya maaskofu wa kanisa lile walioamua kuwa wanasiasa,askofu dkt malasusa amesema kuna watu hawapendezwi na jamii kukaa kwa amani
Wale wa kanisa lile wameshindwa kung'amua kuwa huwezi tafuta haki pahala pasipo amani,licha ya kusifiwa kuwa na elimu za chuo...
Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba.
Desemba 6...
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonesha maungo yao
Je, Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
Au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la kwanza linaloongoza kwa watu...
Asilimia kubwa ya hawa watu kwanza ni watu wazima inaweza umri wao ni kuanzia miaka arobaini au kuanzia miaka hamsini kuendelea,
Tangu yatokee mauaji ya maelfu ya watanzania kuanzia Octoba 29 na kuendelea nimeona ID za platinum member nyingi zikitoa michango hapa JF kuliko wakati wowote ule...
Sote twafahamu msingi wa taifa hili toka hapo awali nisingependa sana kugusia mambo ya kale japo vya kale ni dhahabu lakini kwa muktadha wa mada hii nitaangazia mambo ya sasa..
Si jambo geni ama la ajabu kuona migomo na maandamano katika taifa lolote lile lakini sikuzote jamii ndio hushawishi...
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari.
Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku.
Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika
JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia...
Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an na Sunnah.
Chini ni kanuni kuu na mifano halisi:
1. Kusikiliza Pande Zote Bila Upendeleo (العدل)...