jamii

  1. JamiiForums Tanzania Muonekano wangu ndio tatizo

    Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu. Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code, nina diploma ya uhandishi wa habari...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha ya Hussein Jumbe ni ushuhuda tosha kwamba jamii zetu zina wachawi, watu wenye roho mbaya sana na makatili. Tuwe na Imani kwa Mungu

    Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha. Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  4. JamiiForums Tanzania Kuandaa mikutano ya mara kwa mara katika ngazi ya jamii itasaidia kutatua kero na upatikanaji wa haki kwa wakati

    WAHAMASISHAJI jamii kupitia mikutano 39 walioifanya na jamii katika Wilaya nne za kisiwa cha Pemba walifanikiwa kuibua jumla ya changamoto/matatizo/kero 44 kwa mwaka 2022. Kero hizo ziliibuliwa maoneo tofauti kisiwani Pemba katika Wilaya ya Wete kero 12, Micheweni 12, Chake Chake 9 na Mkoani...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  6. JamiiForums Tanzania Tuanze na Wasanii maana asilimia kubwa yao wanapotosha Jamii na serikali inatoa macho

    Iko wapi maana ya Msanii kuwa ni kioo cha jamii, Wasanii wa kileo ndo basi tena tena hawa wabana pua ndo kabisa. Ndo maana wabana pua sijaona hata mmoja ambaye anaweza kuingia hata kwenye siasa maana wakiingia kwa siasa muda wote ni kuzungumzia mapenzi. Serikali mbali na kuweka wizara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba maana ya usemi "Ng'ombe hawezi kuona umuhimu wa mkia mpaka ukatike." Na je, kuna uhusiano na jamii yetu?

    Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku? Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi...
  8. JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Hatutaki Polisi Jamii ( Shirikishi ) wawe wanashinda Vituo vya Polisi kwani huwa Wanatuharibia sana

    "Kama kuna Kitu ambacho Jeshi la Polisi hatupendi na hatukipendi ni kuona/ kuwaona hawa Polisi Shirikishi (Polisi Jamii) Kutwa wanashinda Vituo vya Polisi. Kisheria na Kiutaratibu wao wanatakiwa wakae tu katika Ofisi za Serikali za Mitaa au za Watendaji na Polisi tukiwahitaji tutawaita ila...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii dhidi ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na utapeli katika vituo vya waathirika wa dawa za kulevya

    Salaam Mheshimiwa. Kwanza nikupongeze kwa juhudi binafsi unazoendelea kuzionyesha katika Wizara yako na Serikali kwa ujumla.Tunaelewa kusudi kubwa la Serikali kuimarisha huduma bora kwa wananchi wake hasa maendeleo ya jamii kiujumla. Lengo kuu la barua ni kukujulisha juu ya mambo ya kipuuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
  11. JamiiForums Tanzania Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

    Maslahi yangu: Mimi ni mwalimu kwa kusomea. Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo. Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana...
  12. JamiiForums Tanzania Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF) ni hiyari ya mtu je, ungechangia?

    Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!? 1. Kwanini ungechangia...!? 2. Kwanini usinge-changia..!? 3. Hujui nini ungefanya..!?
  13. JamiiForums Tanzania Kuwepo kwa gape za uchumi Kati ya taifa moja na jingine au ndani ya jamii ni sababu moja ya muhimu ya maisha kuwezekana au Kuwepo na amani

    Uchumi unapolingana Kati ya mataifa mengi au Kati ya watu wengi Katika jamii huibua mashindano ambayo Mara nyingi matumizi ya nguvu huonekana na kusababisha machafuko na vifo
  14. JamiiForums Tanzania Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

    Afande Kagame siku nyingine najua unapitia pitia mitandao ya kijamii ya Watanzania iliyoandikwa kwa lugha za Kiswahili ama Kingereza kama Jamii Forums na kadhalika. Afande najua hupendi kuulizwa maswali ila mimi ngoja nikuulize swali, mbona unakuwa muoga wa kurudi frontline kupambana na haya...
  15. JamiiForums Tanzania Wizi wa mali za Umma ni reflection ya jamii ya watu wasiostaarabika

    Kwa hasira kabisa ni wafokee wezi wote wa mali za umma. Jamii yoyote iliyostaarabika inatizama mustakabali wa vizazi vijavyo. Unapoiba pesa au mali za umma ni kielelezo cha ubinafsi kama mtu mmoja lakini kwa jamii nzima ni reflection ya kuwa jamii hiyo haijastaarabika. Vipo viashiria vingi...
  16. JamiiForums Tanzania Familia zetu na jamii kwa ujumla huchangia yanayoendelea kwa sasa

    By Dr Levy Kitaa ndoa nyingi zina migogoro kwa ‘ishu’ za kukurupuka. Kufanya papara bila kufahamiana vizuri. Kuna vitu vya msingi watu tunapaswa kufanya lakini tunavipuuza. Ujuaji mwingi na kuishi kimazoea au hisia za kipombe pombe tu. Huwezi kuanzisha uhusiano bila kuwepo kwa upendo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mbeya ACP Kuzaga afunga "Polisi Jamii Interclasses Super Cup"

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamini Kuzaga Machi 25, 2023 huko katika Kata ya Kisiba iliyopo halmashauri ya Busokelo, Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya alifunga mashindano ya mpira wa miguu na ngoma za asili yaliyojulikana kama "POLISI JAMII INTERCLASSES SUPER CUP 2023" Akifunga...
  18. JamiiForums Tanzania Hifadhi za Jamii Tanzania

    Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
  19. JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani umekupa manufaa kupitia JamiiForums?

    Hakuna binadamu ambaye anafanya biashara isiyokuwa na faida kamwe! Basi hata hapa JamiiForums imani yangu kwamba tumejiunga wote na tumepata faida kubwa sasa basi. Ni mwanachama gani ambaye amekuwa akikupa ushauri ukakupatia manufaa? Toa pongezi kwake hadharani.
  20. JamiiForums Tanzania Maafisa Polisi Jamii wapewa mafunzo ya kuwajengea uwezo na kujua majukumu yao

    Jeshi la Polisi limetoa mafunzo ya siku moja kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga. Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amesema mafunzo yamefanyika baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…