jamii

  1. JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

    Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa. Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Timu hizi...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Karma na Uongozi: Jinsi matendo yetu yanavyoathiri Jamii

    KARMA NA UONGOZI: JINSI MATENDO YETU YANAVYOATHIRI JAMII Imeandikwa na: Mwl.RCT **************** Kuna kijiji kimoja kilichokuwa kikiishi katika umaskini mkubwa na matatizo mengi. Kiongozi wao alikuwa mtu mwenye tamaa na kujali maslahi yake binafsi badala ya maslahi ya jamii. Mmoja wa wakazi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Strategic spinning na upanzi wa fikra katika jamii ni hatarishi kwa udumavu wa nchi

    Habarini nyote. Wasilisho la Wadiz a.k.a Baharia Kipimo cha jamii na nchi ni pamoja na akili za watu hasa katika nyanja ya kumbukumbu na kujadili mambo yenye tija kwa kirefu. Sambamba na hilo kinyume chake jamii na nchi dumavu hasa kifikra na dira za kimaendeleo hudekeza usahaulifu ama...
  4. JamiiForums Tanzania Jamiiforum vs usiku vs boxing

    Wangapi tupo macho ambao tumekosa Usingizi tunapitia nyuzi za JF. Hapa kulala mpk saa 8 ndo usingizi unakuja. Nipo naangalia boxing lakini celewi nikaona niwape Hi wana JF. Kama upo macho tupia hata Hi hapo ili tuwe pamoja.
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mipango ya serikali inayo-trigger 'emergency alarm' na inayotakiwa kutupiwa jicho na jamii nzima

    Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia. Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi ni volatile na tunahitaji jamii nzima kuwa so sensitive na mipango ya serikali. Binafsi na nadhani...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi na Uadilifu: Nguvu ya Uongozi Bora katika Kuleta Mabadiliko Chanya katika Jamii

    UWAZI NA UADILIFU: NGUVU YA UONGOZI BORA KATIKA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII. Imeandikwa na: MwlRCT Uongozi ni nguzo muhimu katika jamii yoyote. Ni kupitia uongozi bora ndipo jamii inaweza kupiga hatua na kufikia malengo yake. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto nyingi katika uongozi...
  7. JamiiForums Tanzania USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
  8. JamiiForums Tanzania Wana CCM Tuwe na desturi ya kupitia post (Nyuzi) humu JamiiForums na kuzijibu kwa hoja

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo yamefanywa/Yanafanywa na chama chetu Cha CCM. Tujivunie uwazi uliopo ndani ya chama chetu Cha CCM na...
  9. JamiiForums Tanzania Mnaomsikiliza Lissu kwenye wimbi la 255 CHADEMA je, anahimiza jamii na vijana kufanya kazi?

    Hello!! Nimetafakari kiasi ni kwa namna gani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inavyoweza kuinua uchumi na molari wa kujituma katika upambanaji hasa endapo viongozi wanasiasa kwenye mikutano yao wakihimiza bidii ya kazi. Na wakahusisha ratiba za mikutano yao na kauli mbiu tufanye kazi...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni namna gani ongezeko la elimu, anguko la malezi, na matumizi ya simu janga yanacchochea ufuska kwenye jamii?

    Hello JF, 👇👇👇 Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko. Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko chanya katika jamii

    Kuna mambo mbali mbali ambayo yanaweza kutoa mchango mzuri katika kuchangia mabadiliko chanya kwa jamii, lakini hapa kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kuwa muhimu na ya kuzingatia. Hii inaweza kuchangia kuhamasisha utegemezi wa suluhisho za ndani na kuimarisha uwezo wa ndani katika kuchangia...
  12. JamiiForums Tanzania Kusafiri gari moja na watu wa jamii ya kifugaji ni kero

    Hapa namaanisha Wamasai, Wagogo, Wasukuma na Mang'ati hawa watu usafi kwao ni sifuri wanajifunika na mashuka na mablanketi yanayonuka sana na mara nyingine yana kunguni na chawa. Usafi wa kinywa hawazing'atii wananuka midomo sana hawa watu usiombe ukae nao siti moja utajuta. Mara nyingi...
  13. JamiiForums Tanzania Happy birthday to me Mohamedi wa 5, Jamiiforums wish me

    May 20 Mohammed wa 5 nililetwa kwenye dunia hii...Asante Sana familia, baba na mama kwa upendo wenu mpaka leo nilipofika..pole Sana mama angu kwa yote uliyoyapata baada ya kunileta duniani miaka 2 ulikuwa mtu wa kuumwa na kuteseka nakupenda Sana. Happy birthday to me Mohammed wa 5
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nikifa tafadhali mpeni mwanangu ujumbe huu

    Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
  15. JamiiForums Tanzania Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

    Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi, Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
  16. JamiiForums Tanzania Jamii Forums hapa walijua kutuweza

    Kama **** sehemu Jamii Forums walijua kuuoiga mwingi basi na hapa. Wamekata ngebe zote za wambea za kujifanya kuchunguza mtu na profile lake. Kudos JF
  17. JamiiForums Tanzania ‘Wachambuzi’ wa kandanda letu na mpasuko kwenye jamii

    Hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la wadau wa mchezo wa mpira wa miguu ambao wanafanya kazi ya kutathmini na kuchambua michezo mbali mbali hapa nchini, hasa mchezo wa soka (gozi la ng’ombe, kandanda au bolu). Ongezeko hili la wadau hawa ambao wanajitambulisha na kutambulika kama wachambuzi ni...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Kisiki cha Sodoma na shina jipya linalomea

    Mwaka 1990 mwandishi Ralph Epperson alichapisha kitabu kinachoitwa “The New World Order.” Katika ukurasa wa 10 wa kitabu hicho kuna maandiko yanayosomeka: “New World Order inajuimisha mabadiliko katika: Ndoa za jinsia moja zitahalalishwa; wazazi hawatoruhusiwa kulea watoto wao (litakua jukumu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Naona jamii yetu ya siku hizi wanaona single parenting kama kitu cha kawaida

    Sijui kwa upande wenu ila kila nikitizama siku hizi single parenting imekuwa kama trend yaani kitu fulani ambacho vijana hawakiogopi. Nikitizama zaidi nawaona hawa wana saikolojia/motivation speakers ambao kidogo wamebase kwenye biashara hili jambo wamelichukua kibiashara zaidi. Mfano siku...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ongezeko la Wahamiaji na Usalama wetu: Je, Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania vimelala Usingizi wa Pono?

    Wasalaam nyote! La mgambo likiliia ujue kuna jambo. Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo. Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai na angalizo uhamiaji haramu kupitia mipakani hasa Mipaka na Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…