jamii

  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi Majadiliano na Mijadala Vinavyochangia Umoja na Mshikamano wa Jamii

    JINSI MAJADILIANO NA MIJADALA VINAVYOCHANGIA UMOJA NA MSHIKAMANO WA JAMII Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Katika jamii yetu, kuimarisha utamaduni wa majadiliano na mijadala ni muhimu kwa ustawi wa jamii na kushughulikia changamoto za kijamii, kitamaduni, kiuchumi na kielimu. Makala hii...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Threads ya instagram imechukua mfumo wa JamiiForums

    Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao. Hili si wazo geni kwa WanajamiiForums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi jeshi la Magereza na Jamii kwa ujumla zinavyopelekea wafungwa kurudia uhalifu pindi wanapomaliza vifungo vyao

    Tatizo la wahalifu waliohukumiwa wanapomaliza vifungo na kurudi mitaani kisha kuendelea na uhalifu ni moja ya changamoto katika jamii zetu pamoja na kazi nzuri inayofanywa na jeshi la magereza ya kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili watoke wakiwa raia wema lakini bado jukumu hili...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Jamii na isikie

    Hii ni mara yangu ya kwanza kupanda katika jukwaa hili la story of change nia na madhumuni sio tu kushindana ila kupaza sauti kwa jamii. Jamii ni nini? Isikie nini? Chanzo chake nini? Na nini kifanyike? Huu n mgawanyo wa story yangu katika shindano hili la story of change 2023. Jamii ni...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Haki na Uhuru: Changamoto za Kupigania Usawa katika Jamii

    HAKI NA UHURU: CHANGAMOTO ZA KUPIGANIA USAWA KATIKA JAMII Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Katika jamii yoyote ile, haki na uhuru ni mambo muhimu sana katika maendeleo yake. Hata hivyo, kufikia hali hiyo si rahisi kama inavyoonekana. Kumekuwa na changamoto nyingi katika kupigania haki na...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwawezesha Wazee na Watu Wenye Ulemavu: Jinsi ya Kuheshimu Haki na Ustawi Wao katika Jamii

    KUWAWEZESHA WAZEE NA WATU WENYE ULEMAVU: JINSI YA KUHESHIMU HAKI NA USTAWI WAO KATIKA JAMII Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Muktadha: Wazee na watu wenye ulemavu ni sehemu muhimu ya jamii yetu. Hata hivyo, mara nyingi wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na ubaguzi, unyanyapaa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Usawa Wa Jinsia, Jamii Yenye Nguvu

    USAWA WA JINSIA, JAMII YENYE NGUVU Imeandikwa na: Mwl.RCT HISTORIA YA USAWA WA JINSIA Usawa wa jinsia ni suala ambalo limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu katika historia ya binadamu. Harakati za usawa wa jinsia zilianza kupata umaarufu duniani kote katika karne ya 19 na 20, wakati wanawake...
  8. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutengeneza fedha kwenye jamii yako

    Ili uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watakavyokupa pesa zao. Ili jambo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia na matatizo yanayowasonga watu hao...
  9. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
  10. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jamii bila rushwa inawezekana

    Rushwa ni kitendo cha kupokea pesa, ushawishi usiokuwa halali kisheria, rushwa yaweza kuwa kubwa au rushwa ndogondogo ambayo mtu anaombwa kwa lengo la kupatiwa huduma fulani mfano hospitali, wakati wa kupatiwa ajira, wakati wa uchaguzi. Hiki kitendo kinawahusisha mtoa huduma na anayepatiwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Taifa langu Jamii yangu

    Utawala bora na Uwajibikaji! Hivi ni vitu gani? Nani hawajibiki? Je utawala siyo bora? Nani ni mtawala? Mtawala ndiye hawajibiki? Au anayetawaliwa hawajibiki? Kipi kinaathirika zaidi ikiwa mtawala na mtawaliwa hawawajibiki katika nafasi zao? Tunaona sawa ila tunatazama tofauti.Ndiyo,mitazamo...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora

    MADA: Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Makala hii inalenga kuchunguza jukumu la sekta binafsi na asasi za kiraia katika kushirikiana na serikali na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maboresho ya kiutendaji idara ya ustawi na maendeleo ya jamii katika kukabiliana na vifo, ukatili pamoja na upotofu wa maadili ngazi ya familia

    Kumekuwako na hali ya kujitokeza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto, upotofu wa maadili pamoja na vifo vya wanafamilia, mke, mume, Watoto ama wanandugu wakati mwingine bila sababu zinazofahamika na ama pia kwa sababu zilizo wazi jambo linalopelekea kuibuka kwa tafrani, simanzi na hata...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuweka Misingi Bora Ya Uongozi Kwa Maendeleo Na Ustawi Wa Jamii

    KUWEKA MISINGI BORA YA UONGOZI KWA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII Imeandikwa na:Mwl.RCT *** Utangulizi: Katika ulimwengu wa leo, maendeleo na ustawi wa jamii ni mada muhimu sana. Uongozi una jukumu kubwa katika kufanikisha malengo haya. Hata hivyo, ili kufikia maendeleo na ustawi wa jamii, ni...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Biashara haramu ya usafirishaji Binadamu: Ni ipi nafasi ya Jamii kushirikiana na Serikali kutokomeza biashara hii?

    UTANGULIZI Biashara haramu ya usafirishaji binadamu ni kitendo cha kusafirisha binadamu kwa njia ya nguvu, tishio,kulazimishwa, kudangaywa au utekaji nyara kwa kusudi la dhuluma. Hujumuisha kuajiri kwa nyonya, kuhamisha, kusafirisha, kuhifadhi au kupokea watu. Lengo la biashara hii ni haramu ni...
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto ipi unakumbana nayo katika mkoa wako au jamii yako na Serikali haijashughulikia?

    Hellow Africa 🌍 Tanzania kubwa lakini pia tuna viongo ambao tumewachagua kutoka kwenye jamii zetu kwa namna moja wanapatia na nyingine wanakosea. Je, kwako wewe katika eneo lake unalo is ishi au kwenu ulikozaliwa changamoto kubwa ni nini? Mimi kwangu ni barabara ni changamoto kubwa kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi ya Jamii yapewa siku 60 kuwalipa Wanachama wake

    Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, imetoa agizo hilo ikiwa ni siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanachama wake. Wizara hiyo imeagiza Majina ya Waajiri wote...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi familia inavyotengeneza jamii yenye utawala bora

    UTANGULIZI: "Kutakuwa na amani ulimwenguni tu wakati kuna amani kwenye familia." - Mahatma Gandhi Mahatma Gandhi, kiongozi wa uhuru wa India na mwanaharakati wa amani, anatoa wito kwa amani katika familia kama msingi wa kuleta amani ulimwenguni. Anaamini kwamba kujenga utawala bora ndani ya...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo mzuri sana unaelimisha jamii ila Wasanii sijawajua

    Ila Hawa wasanii sijawafahamu kabisa
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Hadithi ya Wanyama wa Msitu: Jinsi Uwajibikaji na Utawala Bora ulivyosaidia kuleta Mabadiliko Chanya katika Jamii Yao

    HADITHI YA WANYAMA WA MSITU: JINSI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA ULIVYOSAIDIA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII YAO. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Msitu wa kijani kibichi Katika msitu wa kijani kibichi, wanyama mbalimbali walikuwa wakiishi kwa amani na utulivu. Hata hivyo, katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…