jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwaheri 2025. Umetufundisha jambo moja kuu kuwa HAKI lazima ipiganiwe

    Kitabu cha Torati kinachosomwa na dini kuu 3 duniani yaani Uislamu, Ukristo na Uyahudi kina hadithi ya kusisimua sana kuhusu nabii mmoja wa kale aliyeitwa Mussa. Hadithi ya maisha ya Mussa inafundisha kuhusu jambo moja kuu nalo ni HAKI. Hii ni kwa sababu, Mungu alitaka kuwatoa waisrael...
  2. JamiiForums Tanzania Uovu hustawi zaidi kwa msaada wa wale wanaoufanya uovu uonekane jambo la kawaida

    Nilipokuwa shule ya sekondari nikisoma historia ya Ulaya, hasa kuhusu ukatili uliotekelezwa chini ya Hitler na Mussolini, nilikuwa nadhani kwamba dunia—hasa Ujerumani—lazima ilikuwa imejaa watu wakatili na waovu. Sikuweza kuelewa jinsi uhalifu wa namna hiyo ungeweza kutokea bila kulaaniwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania INEC fanyeni jambo Taifa stars tushinde AFCON dhidi ya Tunisia

    Leo saa 1:00 usiku tuna mechi ngumu dhidi ya Tunisia aliyetoka kufungwa na Nigeria, hii ndo game iliyoshika hatima yetu ya kufuzu 16 Bora Japo ushindi wa Leo unaweza kutufanikisha katika best losers iNEC kama wataalam wa kufanikisha ushindi ni hazina Kwa Taifa fanyeni jambo pale Morocco
  4. JamiiForums Tanzania Nyerere hakutaka jambo lolote aliloanzisha libadilishwe, Rais aliyetaka kubadilisha alijiingiza kwenye matatizo makubwa

    Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
  5. JamiiForums Tanzania Hebu soma hiki kisa kidogo ujifunze jambo. Mnadhani huyu dada yuko sahihi?

    Nimeikuta huko mtandaoni mtu anaomba ushauri nimesoma nimeumizwa sana lakini imenifikirisha zaidi. Ni Me copy na kupaste nilitaka kuihariri nikaona naweza kupoteza maana hebu soma tu mwenyewe Jaman staki kuchamba naomba ushauri mimi nimechanganyikiwa na shida zangu hapa sielew kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa mauji uliopelekwa ICC ungekuwa haujitoshelezi, wangeendelea kupitia ushahidi mpaka leo? Ni wazi kuna jambo wameona

    Mimi naamini ushahidi waliupokea mpaka sasa uneonyesha kukidhi viwango wanavyovitaka na ndio maana wako kimya wakiendelee kuupitia zaidi huo ushahidi. Kwa maneno mengine, wangeshaukataa huo ushahidi na kutangaza watuhumiwa hawana kesi ya kujibu au wangetoa kauli kuwa ushahidi zaidi unahitajika...
  8. JamiiForums Tanzania Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  9. JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

    Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao. Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa. Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila mara

    Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa Nimefuatilia historia ya CCM ya zaidi ya miaka thelathini iliyopita Niligundua jambo moja kubwa sana Tangu mfumo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  12. JamiiForums Tanzania Wagalatia Vs Serikali Nzima, Wavaa kobazi Vs Wagalatia. Wala tende kila jambo wanaligeuza la kidini

    Miongoni mwa mambo yanayoshangaza ni namna wala tende walivyogeuza jambo la mauaji ya wananchi siku ya maandamano kuwa ni vita dhidi ya wagalatia. Ukisikiliza hotuba za Wagalatia utagundua kuwa wao hawashambulii dini ya mtu, wanashambulia mambo yanayotendwa na serikali nzima, ambayo Mama...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nashangaa Tanzania intelligence inaruhusu maandamano ya raia, wakati ni jambo dogo TU likifanywa maandano yanayeyuka kama barafu!

    Kwani hao viongozi wa wahuni wapo wangapi Hadi Damu nyingi za watanzania ziendelee kumwagika!!? Viongozi wahuni wakuu hawafiki hata watano lakini namna ya kuwashinikiza inagaharimu uhai wa Tanzania maelfu kwanini!? Kwanini hao wachache msifanye jambo Moja TU na mioyo ya watz ipone na...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna kosa la Katiba ambalo Rais au kiongozi akimaliza muda wake anatakiwa kutokuwa Serikalini kabisa wala jambo lolote la Serikali

    Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali. Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na anafanya kazi kama Rais. Upande wa chama chao unaona kabisa kama ni mwenyekiti wa maamuzi...
  15. JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea Watanganyika linatimia kwa kasi sana mwaka huu

    Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu. Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi. CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani lilikutokea ukaamini kweli Mungu yupo?

    Habari Wakuu, kuna mambo mengi yanatokea maishani katika namna ambayo ukijiuliza unafikia conclusion ya kuwa hili jambo kama si kwa uwezo wa Mungu lisingetokea. Una story yoyote ya hivyo? Karibu uchangie maoni kwenye huu mjadala.
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN, kwanini mmeleta report isiyokua na jambo jipya?

    Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani. Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna mpasuko mkubwa wa kidini unanukia Tanzania. Chanzo ni wanasiasa!

    Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku. Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 HOJA: Tumefikaje Haisaidii, Tunatokaje Ndio Jambo la Msingi Je, wanaokataa maridhiano na mazungumzo wanahitaji nini hasa?

    Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 uliibua hisia tofauti kwa Watanzania. Wapo waliouona kama hatua ya kidemokrasia, lakini pia wapo waliobaki na maswali kuhusu mwenendo wake. Pamoja na hayo yote mambo haya yanahitaji mazungumzo, maridhiano, na dira ya pamoja. Tumefikaje hapa? Jibu linaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna jambo ukiweka dot to dot unaona kabisa Raisi museveni wa uganda na umwagaji wa damu na bomba la mafuta linalopita TZ kulinda maslahi

    Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa. Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka uganda walikuja kwa ajili ya mslahi ya nani?. Tunajua mradi mkubwa wa mafuta umepita hapa na kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…