jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  2. JamiiForums Tanzania Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

    Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae...
  3. JamiiForums Tanzania Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

    Nipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo. Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam ukiacha njia hiyo, maana sisi wengine migongo yetu imekakamaa hatuwezi inama...
  4. JamiiForums Tanzania Maswali ya Papo kwa Papo Kwa Waziri Mkuu, Waziri Mkuu Aulizwe Maswali, Ajibu Maswali na Kama ni Ufafanuzi wa Jambo Lolote, Waziri Mkuu Huru Kufafanua

    Wanabodi, Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu. Sasa kwanza wenye access kualia Bunge live, angalieni maswali ya leo kwa Waziri Mkuu, kisha nitawaeleza kitu Karibuni UTANGULIZI...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi za sensa ya 2022 maisha lazima kilio cha ugumu wa maisha ni jambo lisilo epukika

    Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
  6. JamiiForums Tanzania Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

    Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kaoa Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012 Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017 Maana yake Jay z kaoa akiwa na miaka 38 Nilichogundua Mambo ya kuoa yanahitaji kujipanga yaani kutafata Direction na sio speed...
  7. JamiiForums Tanzania Kususa kuhamasisha mashabiki wenu kuja uwanjani kisa nyie sio mwenyeji ni ujinga

    Kuna hili jambo niliwahi kuambiwa ila sikulitilia maanani siku za nyuma ila wiki hii nalishuhudia tena. Pale timu mojawapo inapokuwa mwenyeji wa mechi hii ya "dabi", hiyo timu mwenyeji kwa kuwa inaenda kupata mapato yote ya mchezo ndiyo pekee inafanya hamasa. Timu ambayo ni mgeni "inauchuna"...
  8. JamiiForums Tanzania Je, huu ni Ugonjwa mpya kwa Dada zetu au ni Jambo la Kawaida tu?

    Siku hizi kila ukikutana / ukiowaona Wanawake Watano njiani / barabarani ni lazima tu utawaona Watatu au Wanne Makalio yao yanatikisika mno halafu ukiyasogeza Macho yako (Kiuwizi) kuyatizama / kuyakodolea utayaona yamelegea sana na muda wowote yatakatika vipande vipande na Kuanguka. GENTAMYCINE...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno Ambulance kwenye gari la wagonjwa huwa linageuzwa?

    Kwa nini kwenye AMBULANCE maneno ya hapo mbele huwa yanagezwa?
  10. JamiiForums Tanzania Lile Jambo linazidi kupingwa, ajenda kuu Misa ya Pasaka

    Ndio, nazungumzia lile Jambo, Limekuwa agenda kuu Misa ya Pasaka.. Wazazi wapaswa kuwajibika kulea maadili ya watoto wao. Hili jambo wengi tunalivamia lakini ukwel ni kwamba kwa Tanzania mkakati ulianza zamani sana.. Angalia hapa.. 1. Kabla ya mwaka 2005 kulikuwa na fursa Sawa kwa wote...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia, Hakuna jambo la maana linaloonekana!

    Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na...
  12. JamiiForums Tanzania Si jambo rahisi kuzuia maovu

    Turejelee harakati za mitume wetu Yesu Kristo na Muhammad, mitume hawa walikuwa wakihangaika usiku na mchana kuondoa maovu ikiwemo wizi, ukahaba, ushoga na mengineyo. Leo hii tunashuhudia dunia ikitumbukia kwenye ushoga na usagaji na maovu mengine mengi, Je, unadhani mfupa uliomshinda fisi...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Jambo Uongozi uliopo madarakani usipoangalia linaenda kutokea kama la 1992 kwa Jirani yetu

    Amani muswano. Tupo chungu cha tano leo ndugu zangu ni kasi ya ajabu sana hii. Nafuatilia siasa za jirani zetu hapo Kenya, kuna mambo yanafanyika siyo ya kistaarabu kwa kweli. Naona huyu mujamaa makamu wa Rais ndg Rigathi Gachagua hana furaha anapoona wakenya wana amani. Leo bana kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kuna watu walizaliwa ili waje kutatuliwa matatizo yao na watu wengine?

    Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia. Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana! Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA. 1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

    Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli. Kuna baadhi ya mambo ambayo hata Magufuli angekuwepo naamini asingebadili...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nafarijika kuona wazee wakitumika kushauri. Liundwe Baraza Kuu la Ushauri likiusisha Marais wastaafu

    Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu: i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora. iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye jambo soka la Mbeya

    Kwa ajili ya maendeleo ya soka la nchi hii na kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za kukuza soka la nchi hii Nashawishika kuamini kwamba serikali haitimizi wajibu wake Kwa soka la Mbeya. Pamoja na ishara zote kuonesha kwamba Mkoa wa Mbeya ndio mkoa namba moja kwa kuwa na wapenzi wengi wa soka...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa kubalini jambo moja; mnaweza kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi lakini hamuwezi kukaa bila kuwa na mwanaume

    Dada zangu mlioolewa (hasa wenye kipato endelevu) ambao mpo kwenye umri kati ya miaka 25 na 40 naomba niwaambie hili jambo na msilisahau. Hii tabia ya kuamua kwenda kuomba talaka au kuamua kuachana na waume zenu kwasababu tu mnacho kipato inawatesa sana baada ya muda. Nimeumia sana kuona...
  20. JamiiForums Tanzania Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana

    Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…