jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna kipi kinaendelea? Mbona kila kona malalamiko ni ndugu kupotelewa na jamaa zao?

    Mfano ni mkoani Singida, familia tatu zinawalilia ndugu zao walio tekwa na watu wasiojulikana. Familia mbili za huko Wilaya ya Iramba, zinazoishi karibu na Loya, zinalia kupotelewa na wafanyabiashara wa mazao jinsia yao ni wanaume wawili. Wawili hao inasemekana walitekwa na gari nyeupe aina ya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

    Kwema wakuu, Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini hawa jamaa ni rika Moja?

    Wote wana Miaka 38 What happened to Rooney?
  4. JamiiForums Tanzania Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Dada kama jamaa yako anapiga deki 2024, basi mshikirie sana

    Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe". Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa miba ya nungunungu itamgharimu miaka 22 jela. Ila muua mamba shwari tu

  7. M

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  8. JamiiForums Tanzania Kama hawa wasiozidi milioni mbili wametupelekesha watu milioni 60 uwanja wa Amani, wakipata uhuru kamilii tutawaweza?

    Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama. Je, hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara.
  9. JamiiForums Tanzania HAMAS waiba chakula cha misaada, njaa mbaya jamaa wanateseka kwenye mahandaki

    Dunia inapiga makelele kwamba watoto wanakuafa kwa njaa, ila kidogo kinachoachiwa kipite yaani HAMAS wanakivizia na kupeleka kwenye mahandaki..... https://www.timesofisrael.com/liveblog-december-17-2023/
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Uturuki afariki siku mbili ya kuanguka tangu aliposema "Israeli watapata ghadhabu ya Mwenyezi Mungu""

    Hasan Bitmez alipata heart attack akiwa bungeni anatoa hotuba ya kuilaani Israel. --- Turkish Health Minister Fahrettin Koca announces the death of lawmaker Hasan Bitmez, local media reports, two days after he collapsed in parliament, suffering a heart attack at the end of a livestreamed...
  11. JamiiForums Tanzania Wastara Juma na huyu jamaa wa Keshas Salon nini kinaendelea kati yao ,maana huyu jamaa ni hatari skendo yake bado ya moto

    Naona kuna ukaribu fulani kati ya muigizaji na mjasiliamali ambaye ni mjane wa Sadick Juma Kilowoko (Sajuki) , Wastara Juma na huyu jamaa anayejihusisha na mambo ya kuweka sawa shape za kinadada (Keshas Saloon). Huyu jamaa bwana kazi anazofanya 100% zinahusisha kuwavua nguo zote akina dada eti...
  12. JamiiForums Tanzania Mchungaji Pascal Kakola yupo vizur kwenye mahubiri

    Mimi muslim, najivunia sana imani yangu na sina mpango wa kubadili dini ila huwa napenda kuangalia mafundisho ya kujifunza mambo kuhusu maisha. Nikakutana na video za Mchungaji Pascal aisee, jamaa yupo vizuri. Siyo mtu wa upako ila ni mlokole anaejielewa. Unaweza kumtafuta kwa yeyote...
  13. JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

    Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
  14. JamiiForums Tanzania Upinzani acheni kumu-underrate Makonda, mnapotezwa , Jamaa anaitangaza CCM kwelikweli, hatangazi Mtu!

    Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!. Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia . Makonda Hasafishi mtu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Jamaa kwenye mkataba wake walimuhaidi gari,sasa hivi wanamuweka bechi.

    Je ni nani huyo?? Ni bonge la mchezaji
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hoja ya huyu jamaa kuhusu dini za weupe kwa waafrika inafikirisha sana

    Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY" How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli.. Mifano hai...
  17. JamiiForums Tanzania Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

    Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi. Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa. Wapalestine wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

    Hii ni kali. 👇 "Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
  19. JamiiForums Tanzania Mniwie radhi nilikosea kusupport ujio mpya wa Paul Makonda, huyu jamaa ni Lopolopo sana hana staha

    Makonda Makonda kwanini lakini tumia busara acha Lopolopo, Leo huko Dodoma kaongea utumbo, hivi huyu dogo anaweza kuwatisha wastaafu, bado anakivuli cha enzi za Magufuli et eeh. Jamaa tulidhani kajifunza hekima na ustaarabu kwa kukaa benchi kumbe ni jitu lenye uchuro tu. Makonda anaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu anachomokaje kifungo cha miaka 10 hapa?

    Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki. Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu. Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…