jakaya kikwete

Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is a Tanzanian politician who was the fourth president of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as president, he was the Minister for Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He also served as the chairperson of the African Union from 2008–2009 and the chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security from 2012–2013.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Tatizo la maji Dar kubaki historia

    Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amesema tatizo la maji mkoani Dar es Salaam litabaki kuwa historia kuanzia mwaka mmoja ujao, kwani mikakati kabambe imewekwa kwa ajili ya kuongeza vyanzo vya maji. Vile vile, ameahidi kuzipandisha hadhi zahanati zote za...
  2. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Uhusika wa Rais Kikwete katika utapeli wa Richmond...kwa mujibu wa Lowassa ?

    HATIMAYE Edward Lowassa ametoka hadharani na kuonyesha kuwa anataka kupimana ubavu na Rais Jakaya Kikwete. Ameeleza hadharani kuwa Rais Kikwete anahusika kwenye mkataba tata wa Richmond/Dowans; lakini pia, kuwa hafuati taratibu katika kuongoza chama chake. Lowassa ambaye alikuwa nguzo muhimu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Richmond: JK, Mwakyembe, Lowasa............who is a winner?

    Wana Jamvi, Kuna kila dalilil CCM kupasuliwa na mjadala wa Richmond. JK ametuhumiwa, na akanyamaza. Bila shaka atakuja na suluhisho zimamoto kama kawaida, ama la kumfukuza kinyemela Lowasa kwa kutumia kamati ya maadili, au kumtia hatiani kwa kumfungulia kesi. Vyovyote vile, njia hii...
  4. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Malipo ya downs/richmond, kati ya JK na Lowasa nani anatudai?

    Kwa kuwa Lowasa amekana mbele ya JK kuhusika kwake na Richmond/Downs, na huku akidai kuwa alitaka kuvunja mkataba huo lakini JK akamkatalia, na kwa kuwa JK mwenyewe ameshindwa kukanusha madai hayo ndani ya NEC. Kwa kuwa JK alidai kuwa hajui Richmond/Downs, na Kwa kuwa mtoa taarifa za ukweli Dr...
  5. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

    Kipindi hicho mkuu wa chuo alikuwa Gideon Sayore, Kikwete alikuwa ni mmoja wakufunzi wa siasa chuoni hapo. Sasa ilikuwa hivi: Mzee Sayore alikuwa anafuga ng'ombe wengi pamoja kufanya shughuli za kilimo kwa wingi wakati huo huo akiwa mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli. Hivyo basi baada ya kuona...
  6. Masikini_Jeuri

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

    Du ! Haya kumekucha huko Jangwani mwenye news zaidi atujulishe hii ni kwa mujibu wa TBC ndo naangalia hapa, Rais Kikwete kadondoka live akihutubia. VIDEO:
  7. BAK

    JamiiForums Tanzania Kikwete umeshindwa EPA, tunakusubiri Richmond

    Date::8/30/2008 Kikwete umeshindwa EPA, tunakusubiri Richmond Na Joyce Mmasi Mwananchi HATIMAYE ile taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu zabuni ya umeme wa dharura iliyotolewa kwa kampuni tata ya Richmond Development Limited imetolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Kila mtu...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

    Hapo nyuma nilielezea kuwa Tanzania government procurement is very complicated na complication yenyewe inaletwa na mambo ya rushwa. Serikali wanawajua GE, Wartsila, CAT, Mits, nk. Hizi kampuni zina special working relationship na governments worldwide. This is because Power/Enegy sector is a...
Back
Top Bottom