Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amesema tatizo la maji mkoani Dar es Salaam litabaki kuwa historia kuanzia mwaka mmoja ujao, kwani mikakati kabambe imewekwa kwa ajili ya kuongeza vyanzo vya maji.
Vile vile, ameahidi kuzipandisha hadhi zahanati zote za...