Jack Ma anasema kuwa na PhD sio kujua kila kitu

Johnny Sins

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
2,539
3,832
Image may contain: 1 person, textKuwa na degree au kuwa na PhD haimaanishi kuwa unaweza au unafahamu kila kitu. Kila siku kuwa mtu wa kujifunza kutoka kwa watu wanaokuzunguka kila siku.

Katika maisha yako ya kila siku hasa kwa jamii inayokuzunguka kuna elimu zaidi ya iyo degree yako au PhD yako. Usipende kujiona kama muweza wa kila jambo na kuwadharau wasiokwenda shule au walio na elimu ndogo zaidi yako.

Hivi unajua kuwa bila hao watu wenye elimu ndogo au wasiokwenda shule wewe usingekuwepo? Ulishawai kufikilia kuwa katika biashara yako kila siku inawategemea hao watu wasio na elimu na wenye elimu ndogo kama wateja wako, na ata kama ufanyi biashara bado watu hao ni muhimu katika maisha yako ya kila siku.

#fikichaAkiloYako
#timizandotozako
#jifunzekutokatatamaa
 
Sure,,ukimuona jamaa unajua wazi ametoka katika maisha magumu sana,kula ya shida mpaka ikaathiri body yake(permanet damage).

huyu jamaa hatanenepa hata ale nini,lakini pesa ipo,
kuna siku alibaba walifanya biashara ya transaction ya dola bilion zaidi ya 90,
hapo ndo nilikubali kwamba alibaba ni Giant,
kwasasa kashiba hela mpaka kaamua kusitaafu,
utajiri sio vyeti vya shule
 
Back
Top Bottom