UAE; Kulindwa na Air-Defence za Israel

UAE; Kulindwa na Air-Defence za Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
Habari hii najua haitawafurahisha Waarabu-koko wa BONYOKWA lakini ujweli ndiyo huu-
Kulingana na ripoti ya Axios, Israeli ilituma kikosi kamili cha Iron Dome pamoja na vifaa vyake na wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israeli kwenda Umoja wa Falme za Kiarabu kwenda kuilinda nchi hiyo dhidi ya nashambulizi ya kigaidi ya iran, , kufuatia uratibu wa moja kwa moja kati ya Benjamin Netanyahu na Mohammed bin Zayed Al Nahyan.

Ripoti hiyo inasema mfumo huo ulizuia makombora mengi ya Iran huku UAE ikikabiliana na mamia ya makombora na maelfu ya ndege zisizo na rubani. Hii ni mara ya kwanza Israeli kutuma Iron Dome na vikosi vyake katika ardhi ya kigeni wakati wa mapigano na Iran.

IMG_20260427_142331_336.jpg
 
Kama Iron Drome ilishindwa,huo upuuzi utaweza kweli!?

Aahaaaa
 
Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi duniani
 
Tayari Wafuga Midevu na Majini wameanza kupandisha Majini ngoja tumwite Mchungaji Gwajima awaombee majini yawatoke.

UAE wamechagua Iron-Dome baada ya kuona kazi nzuri iliyokuwa onafanya kuyapopoa makombola ya Iran!!

Sasa wewe uliyepandisha Kisukari na Majini utakufa kibudu bure UAE wameamua wewe Mwarabu-koko endelea kujiliza-liza tu
 
Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi dunia

Sawa Myahudi koko wa kutoka kibosho kweli Wayahudi wamekuharibu vibaya sana unanikumbusha vijana wakule Iramba walikuwa bila kuvuta petrol hawana raha exactly 💯 kama wewe bila kunusa uharo wa Tela Aviv huna raha.
 
Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi duniani
ISRAEL bila defense system (Iron dome, Davis"s Sling na Iron Beam) ingeshateketezwa. Iran ki usalama iko UCHI 100%

Recent reports detail a massive covert operation where Israeli intelligence hacked nearly every traffic camera in Tehran to track and eventually assassinate Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei
 
Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi dunia

Sawa Myahudi koko wa kutoka kibosho kweli Wayahudi wamekuharibu vibaya sana unanikumbusha vijana wakule Iramba walikuwa bila kuvuta petrol hawana raha exactly 💯 kama wewe bila kunusa uharo wa Tela Aviv huna raha.
Naona umekosa hoja umeanza mipasho!!
 
Swali la msingi sana hili.

Ni lazima uwe mjinga hasa usiyefahamu kabisa wa jinsi hiyo mifumo ya ang inavyofanya kazi, ndipo utarajie kuwa bomu linapodunguliwa, watu watakaa nje wakitazama na kufurahia.

Kwa wajinga wote wa hiyo mifumo:
Bomu hata likidunguliwa, bado linaweza kuleta madhara, japo siyo sawa na yale madhara kama lingetua moja kwa moja. Likudunguliwa, mabaki yake bado yatatua ardhini, na yakikugonga, unadhurika, inakuwa sawa na mtu akupige kwa chuma. Hivyo ikijulikana bomu linakuja, bila ya kujua kama litadunguliwa au litatua ardhini, lazima watu wajifiche kwa tahadhari. Na tahadhari hiyo imesaidia sana kuzuia vifo kwa idadi kubwa kwa upande wa Israel..
 
Hapo anafanya biziness! Kama mifumo hiyo haijalinda anga lake,sidhani kama italinda anga za waarabu!
Aliyekudanganya mifumo hiyo haijalinda anga lake nani?

Walioichagua mifumo hiyo walifanya Upembuzi yakinifu wakaona mifumo hiyo inafanya kazi vizuri sana. Wameona utendaji kazi wake bora!!

Mmatumbi kama wewe endelea tu kubwabwaja maana kuijua ty hiyo mifumo huijui na wala hujawahi kuiona inavyofanya kazi!!
 
Kwahyo Israel ina air defense bora zaidi kuliko USA ambae kambi zake zilipigwa.

Na hapo hapo Israel mqkombora mengi yalishuka yakaharibu miji yao.

Tatizo kubwa hizi vita zina propaganda sana kuliko uhalisia wa mambo.

Naamini kama Iran angekuwa kabondwa yupo hoi Marekani na Israel wasingesimamisha vita.

Na hadi saa hizi pale Tehran kungekuwa na utawala mpya kabsa.Wala Hormuz asingekuwa anabembelezwa kuifungua.

Jamani tujifunze kutumia akili zetu sio zakukopa.

Mfano sisi Tanzania tuibonde Zambia kwelikweli halafu gari zetu za mizigo ziwe zinahitaji kupitisha mizigo kwenda nchi jirani.Je tutaibembeleza ifungue mpaka au tutapeleka kibabe maana tutakuwa tunaitawala.

Sasa kama USA na ISRAEL wameiacha hoi IRAN inawezekanaje aweze kuzuia meli yoyote ile kupita hadi yeye aamue.
 
Tatizo watu kuelewa mambo mapicha picha ya kina Rambo Arnold nk. Yamefanya kusoma matukio hawawezi !!!

Mataifa mawili dhidi ya Taifa moja tu.

Bado Trump katafuta msaada!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom