Israel, kutokana na kuzungukwa na mahasimu imewekeza sana kwenye kuwalinda wananchi wake, ambapo katika nchi nzima kuna nyumba za ardhini ambazo hata kama bomu likipigwa, waliopo chini wanakuwa salama.
Hivi karibuni, Israel ilipoanza kuishambulia Iran wananchi wake waliambiwa kuwa tayari...
KWELI UNABII LAZIMA UTIMIE
============
Tarehe 5 Februari 2012, mchungaji marehemu Temitope Balogun Joshua (TB Joshua) alitoa unabii akizungumzia mvutano kati ya Iran na Israel, akionya kwamba mvutano huo unaweza kugeuka kuwa vita kubwa na kuhusisha mataifa mengine duniani kama vile United States.
Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel
Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
President Yoweri Kaguta Museveni has shared insights from a past diplomatic conversation with Iranian leaders regarding the long standing tensions in the Middle East.
Speaking in a video shared by Uganda Broadcasting Corporation (UBC TV), Museveni recalled asking Iranian officials why their...
MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA.
Tukubali tukatae ila Tanzania tuna media za kipuuzi kuwahi kutokea, sio Clouds, IPP Media, mwananchi ila Media za Tanzania kwa 90% ni utumbo kabsa.
Mwaka uliopita, wakati Tanzania ikipitia kipindi kigumu cha mvutano wa kisiasa baada ya uchaguzi, taarifa...
Niaje waungwa
Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky.
Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi...
Afisa wa jeshi la Iran amesema kuwa jaribio lolote la Marekani au Israel la kujaribu kuupindua utawala wa Iran kupitia “machafuko ya silaha” litakabiliwa na jibu la moja kwa moja ambalo linaweza kujumuisha kulenga kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel.
Afisa huyo aliongeza, katika matamshi...
Kwa miaka mingi, Marekani na Israel zimekuwa na hofu kuwa Iran inatengeneza bomu la nyuklia. Israel anaamini bomu hilo likikamilika, Iran italitumia kuifuta nchi yao kwenye ramani, hivyo wamekuwa wakitafuta namna ya kuzuia mpango huo kwa nguvu.
madarakani Januari 20, 2025, aliweka msimamo mkali...
Yaani kinaitwa kiti moto, kalia hicho kiti ukijua muda wowote utashushiwa kitu kizito, hata ukijificha ndani ya mahandaki kama alivyofanya Ayatollah, kuna aina ya mabomu hufumua handaki. Israel imeteka anga, hivyo ndege zinaruka zikitafuta pakupiga.
Iran kwa sasa ipo pabaya sana maana humo...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani. Alisisitiza kuwa hatua yoyote dhidi ya Iran itatafsiriwa kama ushirikiano na wale wanaoishambulia nchi hiyo, na itachukuliwa kama kitendo cha kivita.
Kauli yake...
Kumekuchaaa. Haijulikani kulikuwa na Wajumbe wangapi na wangapi wameuawa.
=========
Mashambulizi ya K Израeli na Marekani yamepiga jengo la taasisi inayohusika na kuchagua kiongozi mpya mkuu wa Iran, tayarishwa na vyombo vya habari vya ndani.
“Wahalifu wa Kimarekani na Kizayuni walishambulia...
Kutokana na ripoti za mapema Machi 2026, Marekani na Israel zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa makombora ya kuzuia ulinzi wa anga impamoja na mifumo ya Arrow na THAAD . Kuna hatari sana kupigana kwa mda mrefu na Iran. Wachambuzi na maafisa wanaonya kwamba mashambulio yakiendelea kwa nguvu ya juu...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema anatarajia vita dhidi ya Iran “haitaendelea kwa miaka mingi,” wakati mzozo huo ukiendelea huku Israel akilenga zaidi kushambulia Hezbollah wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon, na Iran nayo ikishambulia nchi za Ghuba zinazohifadhi kambi za...
Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran,
Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu...
Ukweli ni kwamba US na Israel hawakubali kuaibika, hawakubali kushindwa.
Hakuna sheria inayowazuia kufanya lolote hata kutumia Nyuklia kuangamiza Tehran yote ili waonekane washindi
Kuna taarifa zilivuja kwa dakika chache kuonyesha Meli la kivita Abraham likiwa limevurugwa vibaya huko...
Vita ya mwaka jana, siku ta 12 Trump alipopata taarifa Israel inaenda kumtandika Ayatollah, alinyanyua simu na kumbembeleza Netanyahu wageuze ndege vitaa iishe.
Muda huo taari Israel walikuwa na uwezo wa kufanya chochote kwenye anga la Iran, tayari walikuwa wameweza kuwaua wakuu wakubwa wa...
Iran has allayed fears of alleged plans to target Kenya amid an escalating war with the United States and Israel.
During a press briefing in Nairobi on Monday, Iranian Ambassador to Kenya Dr Ali Gholampour noted that Kenya does not provide a US military facility with the capability to attack...
Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi
Source : msemaji wa serkali ya Beijing
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.