Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,425
- 7,851
Trump awasifu Israeli kupitia Mtandao wake wa Truth Social, akiiita "Mshirika MKUBWA wa Marekani" na kuangazia nguvu na uaminifu wake.
"Ni Jasiri, Jasiri, Waaminifu, na Werevu... Israeli inapigana vikali, na inajua jinsi ya KUSHINDA!" aliandika.
Wafuga Midevu na Majini najua watanuna sana kiasi cha kupasuka!!