israel

  1. Stuxnet

    Times of Isarael: Israel Ilijenga kituo cha drones ndani ya Iran

    🚨🇮🇷🇮🇱 Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi hiyo, kwa mujibu wa afisa wa usalama wa Israel. Wakala wa Mossad wanaripotiwa kuanzisha kituo cha...
  2. MK254

    Drones zote za Iran zimepigwa chini, anga ya Israel salama

    Iran licha kupigwa na mindege ya Israel kwa awamu nne, 4 waves, ilishindwa kuangusha hata ndege moja, au hata kuzuia makombora, imepigika haswa, sasa Iran ikajibu kwa kutuma drones, zimepigwa zote chini.... IDF rescinds order to stay near shelter after intercepting Iranian drones ByAMICHAI...
  3. Observer

    Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya Irani huku ikilenga maeneo muhimu na viongozi katika mji wa Tehran. Shirika la Habari la Tasnim la Iran...
  4. stan john

    Bei ya mafuta ya kula itakuaje Baada ya Israel kuishambulia iran

    Habari, Baada ya Israel kuishambulia iran Leo usiku ,Bei ya mafuta ya kula itapanda au itashuka ????
  5. E

    Kiuwezo Iran kazidiwa mbali sana na Israel Aache wananchi wake waishi kwa Amani

    Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi . Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
  6. Komeo Lachuma

    Tuendelee kupata matamko ya Hayatollah Khomein kuhusiana na vita ya Israel vs Iran. Toka Al Jazeera

    Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
  7. Komeo Lachuma

    Israel imekuwa ikiimezea/itamani Iran muda mrefu sana. So whatever inachofanya sasa ilishajiandaa na kupiga hesabu

    Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
  8. Fbn

    Inawezekana kabisa kwamba Israel inaweza kuwa na majasusi wenye asili ya Kiirani, au hata Wayahudi wenye uraia wa Iran

    Historia ya Wayahudi wa Iran ilianza Iran (zamani ikiitwa Uajemi) imekuwa na jumuiya ya Wayahudi kwa maelfu ya miaka. Kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, kulikuwa na zaidi ya Wayahudi 80,000 nchini Iran. Hata baada ya mapinduzi, Wayahudi wengi walihamia Israel, Marekani, au Ulaya — lakini...
  9. Mi mi

    Trump asema marekani itajilinda na kumlinda Israel

    Rais wa marekani Donald Trump amesema taifa lake litajilinda na kumlinda Israel kama Iran ikijibu hii ni kufuatia mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran. === Rais wa Marekani Donald Trump alieleza katika mahojiano na Fox News kwamba Marekani itailinda Israel iwapo Iran itajibu mashambulizi...
  10. matunduizi

    Kwa nini hii Israel ya Sasa inaonekana kufanikiwa kuliko Israel za zamani ambazo hazikuwa na ukaribu na wazungu isipokuwa Mungu tu?

    Tangu kuwepo KWA Taifa hilo limekuwa ni taifa la kuonewa sana. Kipindi lilichokaa KWA amani ni wakati wa Mfalme Suleiman tu. Sababu za kufanikiwa kwao ni ukaribu wao na Mungu wao, sababu za kufeli kwao ilikuwa ni umbali wao na Mungu wao. Mfano Waliteswa na Wafilisti Walikuwa watumwa wa Wairaq...
  11. W

    Orodha Isiyo rasmi ya maafisa wa juu wa jeshi la Iran waliolengwa na Israel

    Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.) Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of IRGC.) Amir Ali Hajizadeh – Mkuu wa Kikosi cha Anga cha jeshi la walinzi wa mapinduzi ya...
  12. MK254

    Tetesi: Mkuu wa majeshi ya Iran na wanasayansi wa nyuklia wauawa kwenye shambulizi la Israel

    Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists were killed in the opening strike of Israel's Operation Rising Lion, early Friday morning. Dozens...
  13. W

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani "Marco Rubio": Israel wamejichukulia maamuzi yao, sisi hatuhusiki kwa lolote lakini ole wao Iran watuguse !

    Statement from Secretary of State Marco Rubio “Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region. Israel advised us that they believe this action was necessary for its self-defense...
  14. Echolima1

    Kwa nini Israel haitaki iwepo palestina? Sababu halisi!

    Trump ameripotiwa kujaribu kuzishawishi nchi kama Indonesia, Jordan, Misri, Albania, Lybia, Somalia, Somaliland na nyinginezo kuwachukua Wapalestina, lakini hakuna hata mmoja kati yao aliye tayari. Na kwa uaminifu kutaka kuwachukua wapalestina hao, inashangaza sana Popote ambapo idadi kubwa ya...
  15. U

    Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
  16. Keyboard_Warrior

    Iran inajiandaa kuitwanga Israel

    Persians wanajiandaa kuigeuza Israel kifusi. Mzayuni anasubiriwa ajichanganye tu. #TUTAKUWEPO BREAKING: 🇮🇱🇮🇷 Iran is preparing to flatten Israel with thousands of ballistic missiles - New York Times reports Iranian military and government officials have already met to discuss their response...
  17. U

    Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  18. Echolima1

    Kuna uwezekano mkubwa Israel ikaishambulia Iran ndani ya wiki hii

    Kutokana na harakati nyingi za kijeshi zinazoendelea huko Israel kuna uwezekano mkubwa sana Iran ikashambuliwa ndani ya Wiki hii. Kama Israel itafanya hivyo basi itakuwa imewafumba miodom wote waliokuwa wanabeza uwezo wake kijeshi dhidi ya mahasimu wake huko Mashariki ya kati.
  19. Echolima1

    Uingereza yawawekea vikwazo Mawaziri wawili wa Israel Bezalel Smotrich na Mwenzake Ben-Gvir

    Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya Wayahudi huko Yudea na Samaria. Ben-Gvir na mwenzake akawajibu wa Ingę reza: "Tulimshinda Farao na tuka...
  20. Echolima1

    Israel yaipa Ukraine mifumo ya Ulinzi wa anga(Patriot)

    🇮🇱 Israel imehamisha mifumo ya Patriot kwenda Ukraine, Balozi wa Israel nchini Ukraine Michael Brodsky amethibitisha. "Mifumo ya Patriot tuliyowahi kupokea kutoka Marekani sasa iko Ukraine. Hii ni mifumo ya Israel iliyokuwa ikihudumu nchini Israel mwanzoni mwa miaka ya 1990. Tulikubali...
Back
Top Bottom