israel

  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Israel katika soko la Gaza laua Wapalestina 18, madaktari wanasema

    Takriban Wapalestina 18 wameuawa baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kulenga kitengo cha polisi cha Hamas kilichojaribu kudhibiti soko katika mji wa Deir al-Balah katikati mwa Gaza, madaktari wameiambia BBC. Walioshuhudia tukio hilo walisema ndege zisizo na rubani za Israel...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lijue kombora la Iran linalofika Israel kwa dakika 7 tu

    Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7' Chanzo cha picha: Getty Images Maelezo ya picha: Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008 Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Israel imefanya pigo kubwa katika sehemu nyeti za IRGC.Akiwa amelegea, sasa ni wakati wa wana Iran wamrudishe simba wa uajemi katika bendera yao.

    UTAPELI WA ITIKADI KALI: IRAN YA UKWELI: Majenerali chali Nyuklia chali Mifumo ya kifedha chali Mitambo ya silaha chali Wanasayansi wa nyuklia chali Trust ya wananchi chalii
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  5. ITR

    JamiiForums Tanzania Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

    Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel. Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khomen Israel Ingevurugwa Yote

    Ujumbe ndio huo Israel angejifanya kichwa maji Iran angeimaliza Israel yote. https://www.youtube.com/live/lApYRMw7eHQ?si=mCrHvVQZ4D4AqEkY https://www.reuters.com/world/middle-east/supreme-leader-first-appearance-since-ceasefire-says-iran-would-strike-back-if-2025-06-26/
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania 2017, Katika kikao cha UN Waarabu wali-ilaani Israel kwa ubaguz na ukandamizaj. Kuna mwamba aliwauliza kwa kishujaa, "Je nyie wayahud wenu wako wapi?"

    Swali la Neuer lilirejelea hatima ya takriban wakimbizi wa Kiyahudi 850,000 waliokimbia au kufukuzwa kutoka nchi za Kiarabu na Iran kati ya miaka ya 1940 na 1970. Akionyesha kwamba mataifa haya, ambayo hapo awali yalikuwa na jumuiya kubwa za Kiyahudi (k.m., 140,000 nchini Algeria, 135,000...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ameitaka Umoja wa Ulaya kusitisha mara mora ushirikiano na Israel Kutokana na hali mbaya ya mauaji Gaza

    Waziri Mkuu wa Uhispania Sanchez wa Uhispania mapema leo amesema Gaza iko katika kile amekitaja kuwa "hali mbaya ya mauaji ya halaiki" na ameutaka Umoja wa Ulaya kusitisha mara moja mpango wake wa ushirikiano na Israel Kauli hiyo ya Sanchez inaonekana kuwa kali zaidi kuwahi kutolewa, na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tuliwasaidia israel kwenye vita tulizuia drones kadhaa za Iran-"Ufaransa

    Naweza nikathibitisha ya kwamba jeshi la ufaransa lilizuia drones 10 zilizorushwa na jeshi la Iran katika operesheni yao ya kushambulia Israel siku kadhaa zilizopita kupitia mifumo yetu ya ulinzi na Rafael fighter jet -Sebastian Le cornu
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waanza kuhoji aliko Ayatollah, atoke mafichoni, Israel imeacha kupiga

    Wanashangaa mbona mzee bado amejificha, kulikoni, Israel ilishafanikisha malengo, vinu vya nyuklia vimesambaratishwa.............. Two days after a ceasefire between Israel and Iran came into effect, Iranians are growing concerned over the well-being of Ayatollah Ali Khamenei, The New York...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Raia Sita wa Tanzania wamerudi nyumbani kutoka Israel kutokana na hali ya hatari iliyoko humo

    Raia sita wa Tanzania wakiwemo watoto watatu, wamerudi nyumbani kutoka Israel baada ya serikali kuchukua hatua ya kuwarejesha nchini, kutokana na hali ya hatari iliyoko nchini humo. Soma Pia: Serikali: Watanzania waliopo Israel na Iran kurejeshwa nchini
  12. A

    JamiiForums Tanzania Israel Knesset Wamshambulia Netanyahu

    Israel Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha. Pia wanaulizana nani aliye toa amri...
  13. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Jinsi CIA na USA walivyoihujumu Israel na Netanyahu

    Niaje waungwana Kilichotokea Middle East kati ya Iran na Israel, ni kama vile kitu kilikuwa kimepangwa, au kuandaliwa muda mrefu na serikali ya Marekani kwa kushirikiana na shirika lao la kijasusi la CIA. 1. Kwanza tukumbuke kuwa raisi Trump ni mtu asiependa kuona Marekani ikiendelea kufanywa...
  14. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Movie ya The dictator (2012) ilitabiri hili tukio lililotokea kwenye vita baina ya Iran na Israel

    Hii ni baada ya Iran kurusha kombora moja matata sana. 😆 "They" waliotajwa ndio hao hao Israel😀
  15. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania 42 waliokwama Israel kisa vita kurejea nchini leo

    Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo June 25, 2025, kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia Serikali ya Tanzania imesema Watanzania hao watawasili nchini katika makundi mawili ambapo kundi la kwanza limewasili...
  16. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Iran na Israel: Chimbuko la kihistoria, wahusika na sababu halisi za vita baridi na vita vya kivuli

    Katika sura ngumu ya siasa za Mashariki ya Kati (Middle East), hakuna mgogoro uliojaa migongano ya kiitikadi, kijeshi, na kijasusi kama ule baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Taifa la Kiyahudi la Israel. Vita hii isiyo rasmi – proxy war – imedumu kwa zaidi ya miongo mitatu, ikiendeshwa kwa...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran wameanza kunyonga watu wanaowashutumu kushirikiana au kuisifia Israel wakati wa vita

    Wamekabwa koo vita nzima sasa wameanza kuua wenzao kwa hasira ya kushindwa🤣🤣
  18. F

    JamiiForums Tanzania FULL MATCH: ISRAEL 4 IRAN 1

    Mechi imeanza Goli la kwanza: Iran Kapigwa airdefense zake zote Goli la pili: iran kauliwa scientist wake na viongozi wake wote wa kijeshi, hapa mabeki wa ujasusi wa iran wamelala Goli la tatu: military assets zake theluthi moja zimeharibiwa Goli la nne: vinu vya nuclear vyote vimeshambuliwa...
  19. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Mashariki ya kati, bado unaamini kuwa Yaweh (Israel) na Allah (Muslim) wana nguvu???

    1) Yahweh name for the God of the Israelites, representing the biblical pronunciation of “YHWH,” https://www.britannica.com/topic/Yahweh Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Israeli hospital hit by Iranian missile strike...
  20. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Drone za Mwisho kurushwa na Iran asubuhi kabla ya usitishaji wa Vita hatimae za karibia kufika Israel zadunguliwa

    28m ago Israel claims intercepting drones ‘apparently from Iran’ Live Update From the Liveblog of Tuesday, June 24, 2025 IDF downs 2 drones likely launched from Iran before ceasefire By Emanuel Fabian Today, 11:24 pm Two drones launched from Iran at Israel were intercepted by the Israeli...
Back
Top Bottom