Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,008
- 63,097
Siyo siri, Israel ilishaanza kujisahau, ilidhani yenyewe ni superpower tayari, kumbe ni ka entity fulani ambako survival yake hapo middle east inategemea kulindwa, kukingiwa kifua, kupetiwapetwa na west.
Kitu ambacho Iran kamfanyia Israel, kamwe Waisrael hawatakisahau. Israel ilidhani iko secure, leo anga za Israel zimetawakiwa na Missile za Iran. Iran kachakaza airbase, Kachakaza oil refineries huko Haifa, Iran kapiga hadi Makao makuu ya wizara ya ulinzi huko Israel, Iran katandika hadi Jengo la Mossad, Iran jana kapiga Makao makuu ya Stock exchange ndani ya Tel Aviv
Baada ya kuona joto limekuwa kali Netanyahu ameanza kujibebisha kwa Trump, ameanza "kukiss ass" ya Trump kinoma, mara amtakie birthday njema, mara adai ooooh, Iran ilitaka kukuua, Mara oooh you are the best leader. Yaani uchawauchawa wa kufa mtu.
Lakini kibaya zaidi kwa Israel, Wamarekani wamechoka kupigana vita za Israel. Watu wa camp ya Trump ambao walimchagua kwa promise ya kutopigana vita za hovyohovyo wameanza kumuijia juu Trump, kuwa hawakumchagua ili kuendeleza mavita. Trump ni kama anaweweseka, je aingie vitani au aendelee kuisaidia Israel kutokea nyuma.
Kikubwa ambacho Marekani na Israel wanajua ni kuwa, Hawawezi kuuangusha utawala wa Iran kwa airpower.
Pili wanatambua kuwa hawana resources za kupigana hii vita kwa muda mrefu, maana resources nyingi za marekani zilienda kuisaidia Ukraine.
Tatu hivi vioperesheni vya kigaidi wanavyofanya Mossad huwa ni kwa ajili ya kucreate shock iya mwanzo inayoambatana na military force. Tatizo linakuja pale shock inapokuwa absorbed na upande wa pili kujipanga. Inavyoelekea sasa Iran ameshaabsorb shock ya mwanzo.na sasa imeshajipanga.
Pia tusisahau kuwa Marekani siyo kwamba inaweza kila kitu kwenye medani za vita. Ilifeli vietnam, ilifeli Afghanistan, Usitegemee kuwa ikiingia ktk vita na Iran itakuwa rahisi.
Na kikubwa ni kuwa Iran inatambua iko katika eneo strategic ambalo kama ikilitia kiberiti basi Hegemony ya Marekani itatetereka sana kiuchumi. Hizi nchi za Gulf ambazo ni nchi za kistratejia kiuchumi wa marekani zote tawala zake zinaweza kuwa ktk wakati mgumu kama Irani itaamua kimwaga mboga.
Kwa hiyo kitakachofuata ni na naamini kinachoendelea sasa ni diplomasia ya hali ya juu inaendelea chini kwa chini, kutaka vita iishe. Na naamini Israel anatumia connections zake kupitia kwa nchi rafiki na marekani na za kiarabu kutaka hii kitu iishe. Hiyo huwa ni technic ya Israel, pindi wakiharibu halafu ngoma ikawa ngumu huwa wanaomba suluhu, halafu wanaanza kuplan next game. Hivi ndivyo ilivyokuwa ktk vita yao na Heznollah mwaka 2006. Walipokutana na muziki mzito, wakaomba suluhu, kisha wakajipanga na miaka 19 baadae wakarudi tena wakiwa na uelewa zaidi namna ya kupambana na Hezbollah.
Kitu ambacho watu inabidi waelewe ni kuwa kama Hezbollah iliweza kurusha missile ndani ya Israel kwa Takriban miezi miwili mwaka 2006 , basi Iran inaweza kurusha mabomu nonstop ndani ya Israel kila siku kwa miaka hata Mitano. Je Israel inaweza kusustain hii pressure?.
Ugumu unakuja kwa Israel zaidi pale Israel ilivyoanzisha vita, public opinion duniani na kwenye nchi za Ulaya ni kuwa Israel ndiye mchokozi. Kwa hiyo ni vigumu sana nchi za West kuwa na justification ya maana kuisaidia Israel kupigana na Iran. Watu wanasema Israel ndiye mchokozi.