WaIsrael wawili wachomwa kisu na Mpalestina huko Jerusalem

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
2,042
2,000
Katika mji wa Jerusalem, Kumetokea mauaji ya wa Israel wawili walioshambuliwa kwa kisu na Mpalestina (Kauwawa baada ya kufanya shambulizi)

Katika kipindi hiki aina hii ya mashambulizi huenda yakaongezeka, wapalestina huyatumia kama njia ya kulipa kisasi baada ya Hamas kuzidiwa wiki iliopita na kukubaliana na Israel kuwe na cease fire

Ila cha ajabu pia Media nyingi zimekaa kimya kuhusu hii ishu.

Mungu ibariki Israel
Mungu ibariki Palestina
1621939169188.png
1621939230381.png
 

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
12,252
2,000
Waarabu warudishwe Arabuni am sure watafurahi kukutana na Arabs wenzao Israel iachwe inasumbuka sana...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom