🇮🇱 “Hilo halitatokea.”
Waziri Mkuu Netanyahu alieleza waziwazi:
🔹 Hakuna ujenzi mpya kabla ya kuondolewa kijeshi Magaidi wa Hamas huko Gaza
🔹 Hakuna wanajeshi wa kigeni huko Gaza-Israel haitaruhusu nchi zilizokuwa zinaunga mkono magaidi wa Hamas kushiriki kwenye ujenzi wa Gaza npya.
🔹 Hakuna...
Trump anatumia sana ubabe.
Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo.
Nini kitatokea?
Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁
Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
Kila wakipiga jicho wanaona Muiran amekodoa macho akisubiri apate sababu ya kuingamiza Israel
ukweli ni kwamba hata wao Marekani wanafikiria je ikitokea moja ya meli zao kuzamishwa je aibu hii wataificha wapi
Kila Nchi imekataa kutumika anga lake kuwa kama kificho ,wamezoea mtindo wao wa...
Mkuu wa Wafanyakazi Eyal Zamir: "Tuko tayari kushambulia kwa nguvu kubwa katika eneo lolote na dhidi ya adui yeyote anayetishia usalama wa Taifa la Israeli." Ameongez salamu hizi ziwafikie Hamas, Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran.
Rais korea kaskazini ni comedian Sana
Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣
Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁
Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
Baraza la Ulinzi la Kitaifa la Iran limetoa taarifa inayopendekeza kwamba linaweza kuanzisha shambulio la mapema dhidi ya Israeli(Preemptive-Strike)‼️
"Usalama, uhuru, na uadilifu wa eneo la Iran ni mstari mwekundu ambao haupaswi kuvukwa. Uchokozi wowote au tabia yoyote ya uadui inayoendelea...
Mwanasiasa wa Bunge la Ulaya amehoji uwezekano wa Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro na kumfikisha katika Mahakama , lakini imeshindwa kumkamata na kumuwajibisha Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anayesimamia vikosi vyake kuishambulia Palestine
Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa...
Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau,
Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani
ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi, uchina, uturuki, qatar na iran🤢🤮
Ranking hii ya majeshi ni kulingana na takwimu za Global Firepower, taasisi inayoaminika zaidi kwenye ranking. Inapendekezwa kuzingatia kuwa kiwango cha uhalisia na usahihi wake ni zaidi kwa nchi za juu; vipimo kwa nchi zilizo chini hasa za Afrika vinaweza kutia shaka kutokana na vigezo vya...
BREAKING: ISRAEL yazifunga rasmi ofisi za UNRWA huko Israel.!!!!
Bunge la Knesset liliidhinisha sheria inayohitimisha shughuli za UNRWA nchini Israel. Shughuli zitakazo sitishwa ni kama zifuatazo-
• Maji, umeme, gesi, mawasiliano ya simu, na kupunguzwa kwa benki
• Kinga ya Umoja wa Mataifa...
Rais wa Marekani alipoulizwa kama Iran utaendelea na mpango wake wa Nuclear na makombola itazhambuliwa? Trump Ali jibu kwa makombola ndiyo atashambuliwa lakini kwa Nuclear atashambuliwa harakati sana!!!!
Nayib ameweza kushinda mtandao wa unbazilifu, rushwa na magenge uliokuwa unaendesha nchi, ameweza kuitoa el salvador katika list ya nchi hatari duniani kwa kupambana na uharifu vikali.
Trump ameweza kurudisha amani kwa nchi mbali zilizo kuwa na vita, ameirudisha marekani katika kiti uchumi bora...
Taiwan inaonekana kuwa nchi ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa Israel kuitambua Somaliland.
Ijumaa Israel ilitangaza kuitambua rasmi Somaliland kama taifa huru, na kuwa nchi ya kwanza duniani kufanya hivyo, hatua ambayo imekosolewa vikali na mataifa yanayoiunga mkono serikali ya Mogadishu...
Wachambuzi: ISRAEL ILIITAMBUA SOMALILAND HIVI KARIBUNI, LAKINI NI NINI?
Kwanza, ufafanuzi wa haraka: Somaliland sio Somalia.
Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama chombo tofauti, kinachojitawala tangu 1991, baada ya serikali kuu ya Somalia kuanguka. Ina historia tofauti ya kikoloni, taasisi...
Kwa zaidi ya miaka 30, Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama serikali:
• Serikali inayofanya kazi
• Uchaguzi wa kidemokrasia
• Vikosi huru vya usalama
• Kutovumilia kabisa na kuwadhibiti magaidi na wanajihadi
Ulimwengu ulijifanya hauoni.
Kisha Israeli wakafanya jambo ambalo hakuna mtu mwingine...
🚨 Israel yaionya Marekani: Majaribio ya Makombola ya Iran yanaweza kuficha shambulizi la Iran dhidi ya nchi yake.
Maafisa wa Israel wameutahadharisha utawala wa Trump kwamba zoezi kubwa la kombora la IRGC huenda likawa kificho kwa shambulio la kushtukiza linaloweza kutokea dhidi ya Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.