iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania MJI WA MAKAMBAKO NDO CENTRE YA KANDA MPYA YA UWEKEZAJI YA NYASA INAYO JUMUISHA MIKOA YA IRINGA ,NJOMBE NA RUVUMA

    Kanda ya nyanda za juu kusini ni kubwa sana kieneo inajumuisha mikoa ya Mbeya ,iringa, njombe, ruvuma ,songwe , rukwa na katavi kijiografia hii Kanda ingegawanywa mara mbili kutokana na umbali wa mikoa mingine kuifikia Mbeya ambapo ndo makao makuu ya hii Kanda wanaweza wakamega Kanda Kama...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais samia atoa mkono wa heri kwa watoto wenye mahitaji maalum Iringa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa heri kwa watoto katika vituo vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani hapa kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo Mbuzi, Mchele, Mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Iringa Mjini imeitika, haya sio mapenzi Wala sio mahaba, Maelefu Kwa Maelfu wahudhuria CHADEMA

    ITOSHE tu kusema, Wakati wa Mungu ni wakati ,ukifika umefika. Licha ya CCM na ngonjera zake zote, Wananchi waamua kwenda na CHADEMA !! https://www.youtube.com/live/pfTT4SvfnVs?si=TU8MLjx9txKwG1HO
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo na kampeni ya mama hana deni, Bilioni 56 zatolewa kukamilisha mradi wa umwagiliaji Iringa

    Kampeni ya Mama Hana Deni inayoongozwa na Msanii na Mtangazaji Baba levo imefika kwenye mradi mkubwa na wa kisasa wa Umwagiliaji Mkoani Iringa na kushuhudia namna ambavyo maji yanasafilishwa kwa zaidi ya kilometa 20 kuyafuata mashamba ya mpunga ya Wananchi wakulima Mkoani humo. Zamani wakulima...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makala avishwa vazi la kichifu Mufindi - Iringa

    Katibu wa Siasa, Itikadi, uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Amos Makalla akivishwa vazi la uchifu la kabila la Wahehe akiwa Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa vyakula na vifaa kwa waathirika wa kimbunga Isimani mkoa wa Iringa

    Serikali imetoa msaada wa vyakula na Vifaa mbalimbali Kwa Wananchi 241wa Kata ya Mlenge na Itunundu zilizopo Jimbo la Isimani, Wilayani Iringa mara baada ya nyumba zao kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua zinazoendelea kunyesha Wilayani humo. Wananchi hao wameeleza namna mvua hiyo...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bilioni 60 zatumika kukamilisha ujenzi barabara ya Iringa - Kilolo

    Msimamizi wa Barabara ya Iringa Kilolo Injinia Salumu Mwinuka amesema kuwa marekebisho yaliyotumika kukamilisha mradi wa barabara hiyo ya Iringa Kilolo ni zaidi ya Bilioni 60 kuanzia matengenezo hayo yalivyoanza hadi lkufikia hivi sasa ambapo mradi huo umebakiza asilimia chache kukamilika...
  8. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akamilisha ujenzi wa Shule kubwa ya Wasichana Lugalo, Iringa – Mwanafunzi aahidi ufaulu wa Divisheni 1 pointi 3

    Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa. Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia juhudi za serikali ya awamu ya sita inavyofanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Elimu hakika katika...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imesema mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) mbioni kukamilika

    Serikali imethibitisha kuwa mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 kutoka Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) upo mbioni kukamilika, ukilenga kuunganisha Mkoa wa Rukwa na gridi ya Taifa. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa mradi huo utamaliza utegemezi wa umeme wa diseli katika...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetenga Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele, Iringa

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele Kilichopo Manispaa ya Iringa lengo likiwa ni kusogeza huduma za afya kwa Wananchi hususani wakina Mama Wajawazito. Wakizungumza Wananchi wa Kijiji hicho wamesema Zahanat hiyo itakwenda kuwa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Iringa: Wawili wahofiwa kuwa na MPox, Daktari atoa tahadhari

    Wizara ya Afya Tanzania ingetoa takwimu za ukweli watu wakachukua tahadhari kuliko kusema kuna watu wawili halafu watu wanaibuka kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wanaumwa na kupika kauli hiyo. == Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Milion 600 kujenga kituo kipya cha afya Mahuninga, Iringa

    Kutokana na changamoto ya muda mrefu wanayopitia wananchi wa kata ya Mahuninga halmashauri ya wilaya ya Iringa Mkoani ya kufuata huduma za afya umbali mrefu uenda ikabaki historia mara baada ya kutengwa kiasi cha sh milion 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha afya. Kituo hicho kinajengwa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DC Iringa atoa siku 14 TANROADS, TARURA kuzuia uvamizi wa hifadhi za barabara ikiwemo biashara ndogo ndogo

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James ametoa siku 14 kwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani humo kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kisheria kuzuia vitendo vya mara kwa mara vya uvamizi wa hifadhi za barabara vinavyosababishwa na...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya kilimo cha chai Mufindi Iringa

    Kilimo cha chai katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, kilianza wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwanzoni mwa karne ya 20. Wakati huo, mashamba ya chai yalianzishwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa, hususan katika wilaya ya Mufindi, ambayo ina hali ya hewa baridi na mvua za kutosha zinazofaa kwa kilimo...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Iringa yakanusha kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wilaya ya Iringa juu ya kupewa kipaumbele wabunge na madiwani walipo madarakani kuelekea uchaguzi

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kupitia kikao chake cha dharura cha Kamati ya Siasa ya mkoani humo imekanusha vikali taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa, Steven Mhapa inayodai majina ya madiwani na wabunge waliopo madarakani sasa yatakuwa miongoni mwa...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti halmashauri Iringa anasema diwani au mbunge aliyeko madarakani, maamuzi ya CCM, ni jina lazima lirudi kugombea tena

    "Bahati nzuri Kwa Mwaka huu Kwa maamuzi ya Chama, awe mbunge awe Diwani jina lazima lirudi, yaani hapo wametusaidia sana, hapo hamna namna lazima lirudi" - Steven Mhapa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Elia Kitomo akabidhi mifuko 10 ya saruji kwa shule ya msingi Ibogo, Iringa

    Mdau wa maendeleo mkoani Iringa Elia Kitomo amekabidhi mifuko 10 ya simenti katika shule ya Msingi Ibogo inayopo kijiji cha Magubike kata ya Nzihi ndani ya jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Kitomo ametekeleza ahadi hiyo aliyoitoa katika mahafali yaliyopita shuleni hapo akiwa mgeni rasmi...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya ZAMHSO yatembelea Iringa Girls, yaelezea kuguswa na ushirikiano wanaopata wenye mahitaji maalum

    Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni jambo la kuvutia kuona jinsi shule hii inavyokuza usawa na mshikamano kupitia elimu. Wakati wa kutoa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Iringa hivi imekuwaje Mwenyekiti wa Baraza amerejeshwa kibaruani kimyakimya?

    Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake. Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa apewe ukuu wa Mkoa wa Iringa ili akasimamie ajenda zake kwa wananchi

    Msigwa amewapigania wana iringa kwa uchungu mkubwa sana wa kiwango cha mama mjamzito. Nashauri Mh. Rais amateur kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa ili akatimilize kiu yake ya kuendeleza Mkoa wa Iringa
Back
Top Bottom