Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.
Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ametangaza kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili ndani ya mkoa huo.
Pamoja na msako huo amedai ukatili wa baadhi ya wanaume hasa wanaolewa kupindukia kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha kwa imani ya kukata pombe unaendelea kupungua...
Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu.
Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
Peter Msigwa amekuwa kimya sana Toka mwenyekiti atoke Gerezani,amekuwa somehow vuguvugu na wakati Mwingine anaonekana amemeelewa zaidi mama na anatamani afanye naye kazi. Hii Chadema wameiona na kulifanyia kazi, wameona ishara kwamba wasimtegemee Sana Bali waendeleze mapambano ya Katiba mpya...
Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
Naomba kwa dhati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama fanyeni uchunguzi juu ya kesi hii,Mh Rajabu maamuzi uliyo yafanya katika shauri ulilolifanyia maamuzi tarehe 20/04/2022 linalo mhusu mtu anayefahamika kwa jina la Agatha kuhaga na Mumewe anayefahamika kwa jina moja la Nyenza ni kuinajisi sheria...
"Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha?
Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya nini? Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri...
Imeelezwa kuwa kutokana na uelewa mdogo na hofu ya baadhi ya wazazi juu ya mikopo mbalimbali inayotolewa na Halmashauri na taasisi nyingine za kifedha imesababisha kurudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya vijana katika Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambao wamekuwa wakizuiwa na wazazi wao...
Vijana waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu ambao baadhi yao walikuwa na mzigo mkubwa wa kutunza familia zao na hata mabinti kukimbia vijiji kwenda kufanya kazi za ndani, hivi sasa maisha yao yamekuwa tofauti baada ya kufikishiwa elimu ya ujasiliamali na elimu ya Saikolojia.
Elimu hiyo...
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo tarehe 23/03/2022 itasikiliza na kutoa uamuzi juu ya maamuzi ya Rufaa ya kesi ya Abdul Nondo yaliyotolewa na Jaji Kente (aliyekuwa jaji wa Mahakama kuu Tanzania - Iringa).
Maamuzi ya Mahakama Kuu yaliona kuwa jamhuri walishindwa kuthibitisha kesi yao pasipo...
Kesi nane za ukatili wa kingono kati ya 19 zinazohusu watoto waliodhalilishwa na mtoto mwenzao mwenye umri wa miaka 15 mkoani Iringa, zinatarajiwa kufikishwa mahakamani wiki hii.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bulumbi amesema kuwa uchunguzi wa daktari umebaini kuwa watoto wote...
Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing
Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli
Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo tajwa.
kama mtu ana connection ya kazi hayo maeneo naomba msaada tafazari ndugu zangu
Uongozi wa Kijiji cha Igoda, Kata ya Luhunga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa umepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Kampuni ya Foxes Treck kupitia Taasisi ya Foxes Community and Wildlife Conservation (FCWC) kwa kujitolea zaidi ya Tsh milioni 100 kujenga wodi ya wazazi na zahanati...
Serikali ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imewataka vijana kupitia mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuunda vikundi vya kiuchumi ili kunufaika na mikopo isiyo na riba toka Halmashauri badala ya kukaa vijiweni bila kazi.
Rai hiyo ilitolewa jana Machi 9, 2022 na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi...
HOTUBA YA MBOWE
Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum.
Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) mkoani Iringa
Sehemu ya kauli za Mbowe katika hotuba yake:
"Tumekataa kuwa chama cha tamaa za fedha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.