iran

  1. JamiiForums Tanzania Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

    Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran. Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Iran: Marekani ipo 'tayari kufanya mazungumzo' na Tehran

    Marekani imesema ipo "tayari kujadiliana na Iran bila masharti" baada uhasama uliozuka baina ya nchi hizo kufuatia mauaji ya jenerali Qasim Soleimani. Katika waraka wake kwa Umoja wa Mataifa, Marekani ilijitetea kuwa ilimuua jenerali wa jeshi la Iran Qasem Soleimani kama hatua ya kujilinda...
  3. JamiiForums Tanzania Middle East Political Unrest: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje wanatoa tamko gani juu ya usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

    Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni kama ifuatavyo; Serikali kupitia Wizara ya mambo ya nje wanatoa tamko gani kuhusiana na usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tanzania ipo salama dhidi ya vitendo vya ugaidi

    Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia raia wa kigeni wakiwemo watalii, kuwa nchi ipo salama dhidi ya vitendo vya kigaidi; na linaendelea kuimarisha ulinzi katika maeneo yote ya nchi. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime. Alisema hayo wakati akizungumzia...
  5. JamiiForums Tanzania Trump is trying to fool Iranian, he is using one of the deadliest military principles

    ...
  6. JamiiForums Tanzania Naelekea Iraq kuchunguza kambi za kijeshi zilizolipuliwa na Iran

    Watanzania wenzangu niombeeni, Nawasihi nioombeni pia tuombeeni team nzima tunaoenda kutathimini matokeo ya shambulio la Iran kwenye kambi za kijeshi. Nitawapa idadi kamili ya madhara na vifo vilivyotokana na shambulio hili. Niombeeni narudia tena niombeeni. Familia yangu ipo njiani kurejea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Putin anajua kutumia Furusa ktk mgogoro wa Iran vs USA

    Wakati moto ukiwaka kwa kasi baina ya Marekani na Iran ghafla bwana Putin akapiga ziara ya kushitukiza Syria kisha akaelekea Uturuki kukutana na Edorgan. Binafsi nikajua ziara yake inahusiana na kutafuta amani eneo hilo kumbe yeye ana issue zake za Bomba la gesi kutoka Russia hadi Turkey...
  8. JamiiForums Tanzania Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

    Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran. Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira . Tupeane updates ***** UPDATE Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump...
  9. JamiiForums Tanzania Shambulio la Iran: Mafuta ghafi yapanda bei

    Gharama za mafuta zimepanda baada ya kambi mbili za majeshi ya Marekani nchini Iraq kushambuliwa na makombora. Gharama za mafuta ghafi zimepanda kwa 1.4% kwa dola 69.21 za Marekani kwa pipa moja. Wakati huo huo gharama za mafuta kwenye soko la dunia zilishuka kutokana na mzozo wa Mashariki ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa vifaa vya kijeshi vya Mmarekani kutazamwa upya?

    Hivi inawezekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote. Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
  11. JamiiForums Tanzania Ufaransa yazuia ndege zake kwenda nchini Iran

    Wakati Jeshi la Marekani likitoa comment. "The Pentagon has sent six B-52 strategic bombers to the military base on the Indian Ocean island of Diego Garcia, which is beyond the range of Iran’s ballistic missiles, to prepare to hit Tehran if given the order." Shirika la Ndege la Ufaransa...
  12. JamiiForums Tanzania Kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi Marekani haitokuwa na haja ya kujibu mashambulizi

    Mara tu baada ya mashambulizi kutekelezwa katika kambi mbili za kijeshi zinazotumika na majeshi ya Marekani nchini Iraq, Rais wa Marekani, Donald Trump alikuwa alihutubie taifa la Marekani kwa mujibu wa taarifa rasmi lakini mara baada ya kikao maalumu na maafisa wa ngazi za juu wa masuala ya...
  13. JamiiForums Tanzania Uingereza yalaani shambulio la Iran

    LONDON - Uingereza imelaani shambulio la kombora la Iran kwenye kambi za kijeshi nchini Iraq zilizokuwa zikikaribisha vikosi vya muungano vinavyoongozwa na Marekani pamoja na wafanyakazi wa Uingereza. "Tunalaani shambulio hili kwa misingi ya jeshi la Iraqi inayoshikilia Ushirikiano - pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Ndege ya Ukraine iliyokuwa na Watu takribani 180 yaanguka nchini Iran. Hakuna aliyepona

    Ndege ya Ukraine iliyokuwa imebeba watu 180 pamoja na Wafanyakazi wake imeanguka karibu na Mji Mkuu wa Iran, Tehran dakika tatu baada ya kuruka ikitokea katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Khomeini. Katika video ambayo haijadhibitishwa iliyowekwa na Shirika la Habari la BBC inaonesha ndege...
  15. JamiiForums Tanzania Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuzishambulia kwa makombora kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati

    Jeshi la Iran limesema kuwa limejipanga kutumia makombora ya masafa ya kati na ya mbali kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati ikiwa ni mpango wa kulipa kisasi kutokana na mauaji ya jenerali wa kikosi maalum cha Iran, Qassem Suleiman aliyeuawa na Marekani wiki...
  17. JamiiForums Tanzania Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

    I
  18. N

    JamiiForums Tanzania Pentagon is ready to destroy Iran atomic bomb

    Mambo yanaanza kuwa serious. Pentagon wanaonekana waki warm-up hizo ndege.
  19. JamiiForums Tanzania Putin invites Merkel to Russia over Iran crisis

    The German Chancellor will travel to Russia to meet President Vladimir Putin this coming Saturday. The pair plan to discuss the Iran escalation as well as the conflicts in Ukraine, Libya and Syria. Russian President Vladimir Putin on Monday invited German Chancellor Angela Merkel to Russia...
  20. JamiiForums Tanzania Haya sasa vijana mliokuwa na ndoto ya kuwa wanajeshi ila ndoto hizo zikafa, US na Iran itakuwa suluhisho

    Yes, kwa nchi zenye utulivu na ukosefu wa ajira kama Tanzania vijana wengi hupenda kuwa wanajeshi. Changamoto wanazokutana nazo ni matumizi mabaya ya ofisi na madaraka, hivyo basi mpaka ndugu wa Maafisa waishe, mpaka ndugu wa wenye fedha waishe ndipo utazamwe mtoto wa maskini. Vyombo vya ulinzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…