Uingereza yalaani shambulio la Iran

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
LONDON - Uingereza imelaani shambulio la kombora la Iran kwenye kambi za kijeshi nchini Iraq zilizokuwa zikikaribisha vikosi vya muungano vinavyoongozwa na Marekani pamoja na wafanyakazi wa Uingereza.

"Tunalaani shambulio hili kwa misingi ya jeshi la Iraqi inayoshikilia Ushirikiano - pamoja na vikosi vya Uingereza," Katibu wa Mambo ya nje wa Uingereza Dominic Raab alisema

"Tunasihi Irani isirudie tena mashambulio haya mabaya na hatari"

Kauli hiyo imekuja baada ya Iran kurusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani

Rais Trump pamoja na kusema atatoa taarifa leo, ila kupitia ukurasa wa Twitter amesema “Kila kitu kiko vizuri! Makombora yamerushwa kutoka Iran kwenda kwenye Kambi mbili za Jeshi zilizoko Iraq. Tathmini ya Majeruhi na uharibifu unafanyika sasa. Tuna vifaa vyenye nguvu na tumejidhatiti vizuri Kijeshi kuliko yeyote Duniani”
===
Update


Japan urges diplomacy after Iran missile attack

Japan urged a return to diplomacy and called on governments to do their utmost to help ease tensions following the Iranian missile attack at bases in Iraq used by US forces.

Japanese Chief Cabinet spokesman Yoshihide Suga said the government would "coordinate with the related governments to collect intelligence while we ensure the safety of Japanese citizens in the region."

“Japan will also urge all related nations to do their utmost diplomatic effort to improve the relations," he added.

Chanzo: Reuters
 
Lazima walaani,wameguswa sehemu,siyo kwamba wanachukia walichofanya Irani,ila wanachukua wanapoguswa wao,lakini laiti kama wangelikuwa na lengo la kumaliza tatizo wangelaani tokea wiki iliyopita.
Watakuja kuomba msamaha baadae sana.
 
Back
Top Bottom