iran

  1. RTI

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake wa usalama iwapo aishambulie Iran kijeshi

    Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake iwapo atoe amri ya kushambuliwa kwa vinu vya nyukilia vya Iran akiwa amebakiza miezi 2 aondoke madarakani. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa jarida la New York Times. Hata hivyo washauri wake wa usalama walimuonya kutofanya hivyo kwa sababu hatua hiyo...
  2. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Kidon kikosi maalum cha mauaji ndani ya Mossad kilichomuua Alqaeda number 2 katikati ya jiji la Tehran Iran

    Abu Mohammed al-Masri, mmoja wa wanachama waanzilishi wa kundi la kigaidi Alqaeda , aliuawa kwa risasi tano zilizopigwa kutoka kwa bastola ya silencer alipokuwa amekaa kwenye gari lake katika mji mkuu wa Iran wa Tehran mnamo Agosti. Aliuawa pamoja na binti yake Maryam mwenye umri wa miaka 27...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Iran ndio nchi ya kwanza kufurahia anguko la Donald Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuiitoa nchi yake katika mkataba wa kimataifa wa mpango wa Nyuklia wa Iran. Ameutaja mpango huo kuwa si salama kwa Marekani na raia wake, huku akisema kuwa mpango huo ni kero kwa taifa la Marekani. Licha ya wito kutoka jumuiya ya kimataifa, Ufaransa...
  4. RTI

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vyafikia tamati leo

    Vikwavo vya kuuza na kununua silaha vya UN dhidi ya Iran vilivyo dumu kwa muongo mmoja vimemalizika hii leo. Hatua ya kufika tamati kwa vikwazo hivyo kutaiwezesha Iran kununua na kuuza silaha zake. Hata hivyo licha ya vikwazo vya silaa taifa hilo limekuwa likiimarika kijeshi kila kukicha na...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Trump aapa kulipiza mara '1,000' shambulio la Iran dhidi ya balozi wa Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kujibu mara "1,000’," kwa shambulio lolote la Iran. Hii ni baada ya taarifa kwamba Iran ilikuwa inapanga kumuua balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini, Lana Marks. "Shambulio lolotela Iran, la muundo wowote, dhidi ya Marekani litakutana na shambulio dhidi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yashtushwa kwa wingi wa Wairan kubadilika dini na kuwa Wakristo

    Inakuwaje wanaJF! Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam ulibadilisha dini. Ndio maana kuna msemo wa wale waliobadilisha dini kutoka uislamu hadi Ukristo...
  7. Jackal

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia vituo vya Iran nchini Syria

    Israel will not tolerate an Iranian threat on its border with Syria and will do whatever is necessary to stop the terrorist regime. ==== The Israeli Air Force (IAF) on Monday night bombed targets in southern Syria, during which five were killed and several others were injured, the country’s...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Iran imemhukumu kifo mtu aliyetuhumiwa kupeleka taarifa za kiusalama kwa wamarekani

    Mahmoud Mousavi Majd amehukumiwa kufa kwa tuhuma za kupeleka taarifa za kiusalama za Iran kwa wamarekani na kufanikisha mpango wa kumuua Qassem Soleimani. Majd ameuawa Julai 20, kwa amri ya mahakama. Mahakama ilisema kuwa Majd alikuwa na uhusiano na Shirika la kijasusi la kimarekani, CIA, na la...
  9. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Iran threatens war with Israel as mysterious explosions rock Iranian nuke sites

    Iranian military leaders on Friday issued fresh threats against Israel amid a series of mysterious explosions at Iranian nuclear and military sites that many believe were conducted by the Jewish state. Brigadier General Abolfazl Shekarchi, spokesman for Iran's armed forces, lashed out at Israel...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

    Hii hatari sana kuwa na kinu cha nyuklia ambacho kinashambuliwa kizembe hivi, yaani ni kama huwa wanatumiwa ujumbe wa salamu, kwamba muda wowote wanaweza kusambaratishwa kwa kutumia vitu vyao wenyewe. === Iran is claiming a fire and possible explosion at its Natanz nuclear plant on July 2...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Milipuko kwenye hospitali Iran yaua 19

    Milipuko hiyo inasemekana ilisababishwa na kufuja kwa gesi.... At least 19 die as huge explosion tears through buildings in Iranian capital Tehran The explosion occurred at the Sina At'har health centre in the north of the capital Thirteen people were initially reported dead, but that number...
  12. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Iraq lavamia kambi ya kundi linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah, 14 wakamatwa

    Habari! Vikosi vya usalama vya Iraq vimevamia kambi ya kundi lenye nguvu linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah kusini mwa Baghdad na kuwakamata wanamgambo 14 sambamba na zana za kivita zikiwemo roketi, duru zimearifu. Operesheni hiyo maalumu iliyofanyika mwishoni mwa siku ya Alhamisi...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Iran: Wanaume 3 wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram

    Mkuu wa polisi katika mji mkuu wa Iran -Tehran, Brigadia Jenera Hossein Rahimi, amesema kuwa mmoja wa watoto hao wachanga alikuwa ni wa siku 20.Mwingine alikua na umri wa mwezi mmoja. Watoto hao wachanga walikua tayari wamenunuliwa kwa hadi dola $500 (£400), na walikua wanauzwa tena kwa dola...
  14. 100 others

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

    "Tunatangaza leo kwamba popote Wamarekani walipo, tuko karibu nao, na watahisi uwepo wetu hata zaidi katika siku za usoni" yalikuwa ni maneno ya mkuu wa walinzi wa maji wa Iran bw Alireza Tangsiri katika sherehe huko kusini mwa Iran. Pia alieleza kwa msisitizo kuwa "Iran hatamwabudu adui...
  15. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

    | Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela, Bolivarian Republic of Venezuela au República Bolivariana de Venezuela Ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini katika uwanda wa juu wa Caribbean, likiwa limepakana na Colombia - Magharibi, Brazil - Kusini Mashariki, Guyana - Mashariki, Trinidad na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

    Hawa Iran washenzi sana aisee! Waliwekewa vikwazo na Marekani ktk uuzaji wa mafuta, na wametakiwa wasimuuzie mafuta Venezuela. Haitoshi wakapigwa mkwara na Trump, lakini kwa kuwa walishamjulia Trump kuwa huelewa lugha moja tu, ile ya Iraq (kutwangwa makombora ya balistiki), walimuahidi akitia...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Msafara wa kuilaani Israel ambao hufanywa kila mwaka Iran, wasitishwa kisa corona

    Kila mwaka maelfu ya wa-Iran hujitokeza kwenye msafara na kupandisha mzuka huku wakifoka dhidi ya Israel, hutembea kwenye msafara wakijipiga vifua, ila mwaka huu imekua balaa, kirusi cha corona kimetuliza mizuka yote duniani. ============== Virus Lockdown Forces Iran Into Its First Virtual...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Meli ya Iran yachanganyikiwa na kufyatulia nyingine makombora na kuua wanajeshi 19 wa Iran

    Japo Waajemi wenyewe wanasema ilikua ajali kazini. One Iranian warship accidentally struck another with a missile during an exercise, killing 19 sailors and wounding 15 others, Iran's navy said on Monday. The incident took place during training in the Gulf of Oman, a sensitive waterway that...
  19. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania It will be suicide for America to attack Iran

    Friday, 24 April 2020 11:24 AM [ Last Update: Friday, 24 April 2020 11:27 AM ] Two Iranian vessels maneuver near US military ships in the Persian Gulf on April 15, 2020. (Photo via AFP) By Stephen Lendman The US is an unprecedented bully on the world stage,to such an extent that it...
  20. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Marekani: IMF msiikopeshe IRAN

    Marekani yaikataza IMF kutoa mkopo kwa Iran kukabiliana na COVID-19 Marekani imelizuia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoa mkopo wa dharura wa dola bilioni 5 za kimarekani kwa Iran, kutokana na kile ilichosema kuwa Iran itatumia pesa hizo katika shughuli za kijeshi badala ya kukabiliana...
Back
Top Bottom