iran

  1. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mbishi lakini nimekubali Iran ndiyo mbabe wa Middle East na Dunia kwa ujuma, hakuna cha USA, China wala Russia

    Wakuu, long live to you all. Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake. Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto...
  2. JamiiForums Tanzania Makombora mengi ya Iran yatua na yapiga vituo vya kijeshi nchini Israel

    licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yameteketeza vibaya kambi kadhaa za kijeshi nchini Israel
  3. JamiiForums Tanzania Iran yafunga na kuficha vinu vyake vya nyuklia

    Mnatapa tapa sana ila ndio hivyo..... Iran shut down its nuclear facilities last Sunday over “security considerations,” UN nuclear chief Rafael Grossi has said, expressing concern over the “possibility” of an Israeli attack on Iran’s nuclear sites. Speaking to reporters in New York on Monday...
  4. JamiiForums Tanzania Israel yataka Vikwazo dhidi ya Mradi wa Makombora wa Iran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Israel Katz kupitia Mtandao wa X amesema "Asubuhi hii nilituma barua kwa nchi 32 na kuzungumza na Mawaziri wengi wa Mambo ya Nje na Viongozi Waandamizi Duniani nikitaka vikwazo viweke kwenye mradi wa makombora wa Iran" Pia ametoa wito wa Jeshi la Walinzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

    Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali ya sasa ya kiuchumi. HISTORIA Iran(Uajemi au Persia) tunayoiona hivi leo imeanza kujengwa miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda...
  7. JamiiForums Tanzania Waarabu wakija kushtuka, tayari watakuwa wamemalizwa kwa unafiki wa Iran

    Iko hivi, kwa sasa israel hana sababu ya kuipiga tena gaza, kwakuwa jamaa wameshasalimu amri, na kuna harakati nyingi za maandamano na malalamiko kutoka kwa watu wa haki za binadamu na activits wengi kwa ajili ya maandamamo dhidi ya israel. Sasa Mazayuni bado wanataka kuimaliza kabisa Gaza na...
  8. JamiiForums Tanzania Waarabu ni wanafiki na waoga mno, wameshindwa kuisaidia Palestina na Iran

    Kila mara na kila wakati tumekuwa tukisema hapa JF, uislamu hauwezi kuwaunganisha waarabu na haujawahi kuwaunganisha waarabu (kwa sababu waarabu sio waumini wazuri wa kiislamu japokuwa hutumia uislamu kama utamaduni wao wa kujitambulisha, kujisambaza duniani na kufunikia mambo yao). Ni rahisi...
  9. JamiiForums Tanzania Kupigana kwa Israel na Iran ni mipango ya Mungu kuipa ushindi Hamas

    Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na Israel. Mara ngapi Netanyahu amezungumza maneno ya kiburi kwa rafiki zake na mbaya zaidi kwa Mungu...
  10. JamiiForums Tanzania IRAN; anga yetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa ulinzi wetu

    Wanaukumbi. Kamanda wa kituo cha pamoja cha ulinzi wa anga cha Khatam al-Anbiya cha Iran: Anga zetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa Ulinzi wetu wa Anga. Marekani na Ulaya wamemwambia Israel Usijaribu kurudisha mashambulizi Israel. Sisi itakuwa ngumu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

    Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua mkombora ya Iran ili kuinusuru Israel. Leo Saudi Arabia nayo imekiri kushiriki nyuma ya pazia kuinusuru...
  12. JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kutoa kipigo kwa HAMAS huku dunia ikiibembeleza isijibu Iran

    Napata wasiwasi kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuishawishi Israel isishambulie Iran, kipi wanachokijua tusichokua na habari nacho, maana kama tujuavyo Israel ni wazee wa mipango ya kimya kimya, hawapigi makelele kuhusu wanachotaka kukifanya, tunashtukia wamefanya. Kwa mfano kipigo...
  13. JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitashiriki katika Mgogoro kama Israel italipiza kisasi kwa Iran

    Rais Joe Biden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, ambayo ni chaguo la Baraza la vita la Israel baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani na makombora usiku wa Aprili 13, 2024 Tishio la vita vya wazi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Israel yalalamika kuwa shambulio la Iran limeigharimu mno Israel na kuitia hasara kubwa

    Afisa muandamizi wa jeshi la Israel Brigedia Generali Reem Aminoach amelalamika kuwa "Muajemi" kaiingiza Israel kwenye hasara kubwa mno kwa shambulio lake la jana usiku ambalo limeifanya Israel kutumia kati ya shekel bilioni 4 hadi 5 (zaidi ya USD bilioni 1) kwa usiku mmoja tu ktk kujilinda...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe. Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza. Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu...
  16. JamiiForums Tanzania Wapalestina Gaza washangilia Iran kuipiga Israel. Chakula chaanza kupatikana masokoni

    Vifijo vimerindima ndani ya maeneo ya Gaza baada ya Iran kuamua kuipiga Israel kulipiza kisasi shambulio la Israel dhidi yake huko Syria. Baadhi ya waliohojiwa jimboni humo wamesema kwa muda mrefu wamekuwa wakipigwa huku majirani zao wakikaa kimya.Kama sasa wataanza kuingilia kati kuipiga...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo tunasemaje, majemedari wa Iran wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti wa Israel

    Wakali wa kubet/betting kwenye mechi kama hizi huwa mnasemaje, maana mpaka sasa siamini, nimeshangaa sana kwa Iran kusema ndio basi, hawashambulii tena........ Kwamba wale makamanda wao waliouawa baada ya ubalozi kuchakazwa na Israel, wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti mmoja wa Israel...
  18. JamiiForums Tanzania USD 1.30 billion zimetumika Kwa usiku Jana kuzuia makombora ya Iran

    Vita ni kitu cha gharama Sana na ni mzigo Kwa dunia. Ebu piga hesabu Kwa usiku mmoja zimetumika USD kibao Kwaajili ya ulinzi Tu wa anga, Kwa mfano fighter jets za F-35 zilikuwa zinaruka hewani kutokea nchini Cyprus kuzuia makombora yaliyokuwa yanatoka moja Kwa moja kutoka Iran huku fighter jets...
  19. JamiiForums Tanzania Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

    Niaje waungwana, Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado inashindwa kujisimamia yenyewe dhidi ya taifa lenye vikwazo vya silaha na uchumi ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miaka 70. Inachokoza wenye nguvu alaf inakimbilia...
  20. JamiiForums Tanzania Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Kinachoitwa shambulizi la Iran kwa Israel jana ni kelele kubwa tu za majidai na usumbufu ambazo hazikuleta chochote cha maana. Unashambulia nchi iliyo umbali wa KM 2300 kwa kutuma drones ambazo zinakatiza anga za nchi nyingine kadhaa kwa masaa na karibia zote kuishia kutunguliwa au kuanguka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…