Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
Hilo bomu alilipua mwaka wa 1994 kule Argentina......
---
The Argentinian Foreign Affairs Ministry made an official request to arrest Iranian Interior Minister and former Quds Force commander Ahmad Vahidi for his role in the 1994 AMIA bombing, the ministry announced Wednesday morning.
The AMIA...
Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani.
Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri na na hawa new rising power wanatengenezewa kwa makusudi migogoro ya kisiasa na nchi ambazo ni...
Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike.
Tukio hilo lilitokea Aprili 12, katika mechi kati ya Esteghlal FC na Aluminium Arak wakati shabiki mdogo wa kike...
Ukitafakari matukio ya Ugaidi yanayotokea hapa Duniani, mengi yanaonesha dalili ya kuwepo uhusiano baina yake na mipango ya kuundwa kwa Serikali Moja kubwa kutawala dunia nzima. Wahusika wa wakuu wa mpango huo makao makuu yao yapo Marekani wakiwatumia waislamu kama mojawapo ya vifaa vyao...
Uchambuzi wa picha za satelaiti zilizopatikana na Iran International unathibitisha ripoti za vyombo vya habari kwamba sehemu ya kati ya mfumo wa ulinzi wa anga katika kituo cha anga cha Irani huko Isfahan ilipigwa na shambulio la Israeli siku ya Ijumaa.
Shambulio la usiku mmoja limekuwa suala...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema uhusika wa Israel kwenye shambulio lililofanyika nchini Iran hivi karibuni ni jambo ambalo lahitaji kuthibitishwa. Waziri huyo akaendelea kuchambua kuwa silaha zilizotumika zinazodaiwa kuwa ni droni (tatu) kiuhalisia ni kama...
Oil and gold prices have eased after Iranian authorities appeared to downplay reports of an attack from Israel.
Brent crude, the international benchmark, fell after jumping briefly to over $90 a barrel after reports emerged of an attack.
Gold briefly came close to a record high before settling...
Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita.
Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita.
Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo...
Kwa sasa Iran ipo na kila sababu ya kuwa na slaha za Nuclear kwa lengo la kujihami. Kila Israel wanavyozidi kuwashambulia wenye wanazidi kuwa na sababu ya ku milki silaha hizo.
Israel anazidi kupunguza ushawishi dunianyi kila siku.
Kuna taarifa hii
How close is Iran to having nuke weapons...
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran...
Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu.
Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki.
Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
Wanaukumbi.
Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel.
Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'
- Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia
"Mapitio ya mafundisho yetu ya...
Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja.
IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA?
Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la kijeshi la nchi ya Iran,ikishirikiana na kikundi kutoka nchi ya Iraq(Iraqi Popular Mobilization...
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya...
Tangu Iran iishambulie Israel haijafika wiki moja.
Ndani ya muda kwa hasira ilizokuwa nazo Israel na namna ilivyovuliwa nguo hadharani tayari imejaribu kutaka kurudisha kipiga lakini hatimae ikashindikana.Sasa inatarajiwa itakuwa siku ya Jumatatu ijayo.
Katika kipindi hicho cha ndani ya wiki...
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah.
Mashah wawili wa mwisho, baba na mtoto wake walitokana na mapinduzi ya ufalme halisi wa muda mrefu wa Qajar mwaka 1925...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.