#COVID19 Iran to receive 10 mln J&J, Pfizer vaccine doses from Belgium

jollyman91

Member
Sep 21, 2021
69
29
Iranian customs office IRICA say the country will receive 10 million coronavirus vaccine doses manufactured in Belgium under American brands of J&J and Pfizer. Iran has mostly relied on China’s flagship Sinopharm vaccine to immunize its population against the disease.

IRICA’s Arvanaghi said on Thursday that Sinopharm had accounted for over 85% of all vaccines imported into Iran since December.

Other brands imported into Iran over the period include British-Swedish vaccine AstraZeneca with more than six million doses, Russia’s Sputnik V vaccine with 1.35 million doses and other vaccines supplied under an international vaccine projects known as COVAX.

Iran has also used home-made vaccines to speed up an inoculation program that has delivered nearly 50 million shots into the people’s arms.

Health ministry figures published on Thursday showed that the accelerated vaccination campaign in Iran had led to a reduction in coronavirus deaths and infections as daily death toll from the virus plummeted to 317, down by over 50% against figures reported earlier this month when the country was grappling with a fifth wave of the disease.
 
Chezea J&J wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wabongo mnapenda kuongea kiushabiki duh!
Hapo juu wameandika chanjo yao pia imetumika kuchanja ikifuatiwa na sinopharm ya China hzo zilizoongezwa ni nyongeza kubust upambanaji w na Corona ila haimaanishi ni chanjo bora zaidi na haimaanish kuwa zingine zitaacha kutumika.
Na mind you dunian mpk sasa chanjo ilokua more effective ni sinopharm ya China kuliko chanjo yeyote.
 
Sitaki nataka... kwenye draft game tunawaita Chomoa nijambe😆😆
Soma vzuri au kiingereza kinakusumbua?
Hiyo chanjo ya mabwana wenu wa kizungu haimaanishi kuwa itatumika peke yake bali itaongeza tu kasi ktk kupambana na corona.Kuna chanjo takriban nne zimetajwa hapo na zitatumika.
Muache ushabiki maandazi.
 
Kwani ile chanjo yao iliishia wapi tena? Kimsboy njoo utoe ufafanuzi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chanjo yao bado inaendelea kuzalishwa , ila idadi ya wananchi ni kubwa mno ukilinganisha na uzalishaji wa chanjo . kwa sasa asilimia kubwa washachanjwa na vifo vimepunguwa sana, na hospitali nyingi zilizokuwa zikiwahudumia wagonjwa wa uviko , washafunga kwa ajili ya wagonjwa wa uviko na sasa hospitali nyingi zinaendelea kazi zao za kawaida tofauti na mwanzo
 
Halafu wabongo mnapenda kuongea kiushabiki duh!
Hapo juu wameandika chanjo yao pia imetumika kuchanja ikifuatiwa na sinopharm ya China hzo zilizoongezwa ni nyongeza kubust upambanaji w na Corona ila haimaanishi ni chanjo bora zaidi na haimaanish kuwa zingine zitaacha kutumika.
Na mind you dunian mpk sasa chanjo ilokua more effective ni sinopharm ya China kuliko chanjo yeyote.
unaweza ukaiweka Sputnik light pia kuonyesha kwamba kwa dose moja inaweka kinga ya zaidi ya 83% ambayo kwa dose moja ni nyingi na nzuri
 
Back
Top Bottom