kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,992
- 17,892
Another Mahmoud Ahmedinajad na huyu ni zaidi Ahmedinajad; jamaa ana misimamo mikali balaa
Hapo Middle East lazima heshima irudi, unajua Hassan Rouhan alikua wa misimamo ya wastani halafu mpole mpole hivi huyu ni kiboko ya maadui wa Iran, Israel wajiandae kisaikolojia
Jamaa anajulikana kwa jina la Sayyid Ebrahim Rais
Raeisi alipata karibu asilimia 62 ya kura zote zilizopigwa katika uchaguzi huo na anatazamiwa kuchukua nafasi ya Rais Hassan Rouhani ambaye anamaliza muhula wake wa pili baada ya kushikilia nafasi hiyo kwa muda wa miaka minane.
Katika ujumbe wake, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema Raesi ameleta matumaini katika taifa la Iran na mataifa mengine ya eneo kwa ushindi wake.
Ubalozi wa Palestina mjini Tehran umetangaza kuwa Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametuma ujumbe wa kumpongeza Raeisi kwa ushindi wake huku akisisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano wa kirafiki wa Iran na Palestina.
Naye Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani amemtakia Raeisi mafanikio na pia ameelezea matumaini yake kuwa uhusiano wa Iran na Qatar utazidi kuimarika. Kwa upande wake Sultan wa Oman Haitham bin Tariq Aal Said amemtumia salamu za kheri na fanaka rais mteule wa Iran na kuwatakia Wairani ustawi na ufanisi.
Israel washaanza kutetemeka na uwoga kuhusu jamaa maana jamaa ni balaa hata hao mashoga wanamuogopa balaa ona Kwanini Israel ina wasiwasi kuhusu Rais mpya wa Iran? - BBC News Swahili
Israel yasema rais mpya wa Iran ni changomoto kwa jamii ya kimataifa
Pia ana mke msomi mama wa watoto wawili wa kike. Here is Iran's potential first lady, Jamileh Alamolhoda, "the Director of the Research Institute for the Family of the National University of Iran" presenting her paper at the Dialogue of Civilization Rhodes Forum 2015:
In addition, Jamileh is likewise an autonomous lady. She is a head of the Research Institute for the group of the National University of Iran.