FIFA Arab cup: Iran haipo ni nini shida?

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,998
Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu.

Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko Qatar, Mpaka Comoro na South Sudan wamo ila Jumuhuri ya Kiislamu Iran haipo.
Kuna tatizo gani ndugu zangu waarabu wa Buza?
Msemaji wa wa Iranvkwa Tanzania ndugu kimsboy unajua chochote cha kutokuwepo kwenye michuano hiyo?
 
Sasa comoro na south Sudan ni waarabu
Huwezi jua labda wamealikwa...

Point ni kwamba Iran sio lazima wawepo kwenye hio competition kwasababu wao sio Waarabu...

Majirani zao Iraq ndo Waarabu.... Vp hawa Iraq nao hawapo kwenye hio competition ?
Kama hawapo basi hilo ndo lakuhoji..
 
Kwanini hawapo?
 
Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu.

Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko Qatar, Mpaka Comoro na South Sudan wamo ila Jumuhuri ya Kiislamu Iran haipo.
Kuna tatizo gani ndugu zangu waarabu wa Buza?
Msemaji wa wa Iranvkwa Tanzania ndugu kimsboy unajua chochote cha kutokuwepo kwenye michuano hiyo?
Navyojua Wairan siyo Waarab wako close related na Wazungu kuliko Waarabu.
 
Sasa comoro na south Sudan ni waarabu
Nadhani itakuwa wanajumuisha mataifa yanayotumia lugha ya kiarabu na Iran hawazungumzi kiarabu. ila kwa south Sudan sina hakika sana kama kiarabu ni moja ya official language yao. Ila washiriki wote waliobakia ukimjumuisha na comoro wanatumia kiarabu kama moja ya official language
 
Nadhani itakuwa wanajumuisha mataifa yanayotumia lugha ya kiarabu na Iran hawazungumzi kiarabu. ila kwa south Sudan sina hakika sana kama kiarabu ni moja ya official language yao. Ila washiriki wote waliobakia ukimjumuisha na comoro wanatumia kiarabu kama moja ya official lang
Kiarabu na kiingereza ni lugha Rasmi Sudan ya kusini.

Prior to independence the 2005 interim constitution of the Southern Sudan Autonomous Region declared in Part 1, Chapter 1, No. 6 (2) that “English and Arabic shall be the official working languages at the level of the governments of Southern Sudan and the States as well as languages of instruction for higher education“
 
Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu.

Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko Qatar, Mpaka Comoro na South Sudan wamo ila Jumuhuri ya Kiislamu Iran haipo.
Kuna tatizo gani ndugu zangu waarabu wa Buza?
Msemaji wa wa Iranvkwa Tanzania ndugu kimsboy unajua chochote cha kutokuwepo kwenye michuano hiyo?
Unataka Wairan waende ili wakajilipue au? Nashangaa kombe hili halijawashirikisha vijana wa Boko Haram na wapuuzi wa Msumbiji wanaoua waafrika wenzao bila hatia kisa dini za watu zisizo na mashiko kwetu.
 
Sasa comoro na south Sudan ni waarabu
Sometimes Arab ina tafsiri pana! Hapa hawaangalii rangi bali lugha, yaani nchi zinazozungumza Kiarabu! Kwa hii tafsiri ya lugha ndipo unakuta nchi kama Somalia na Comoros nazo zinahesabika kama Arab Countries! Hata ile Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, yaani Arab League kigezo sio rangi bali lugha.
 
Unataka Wairan waende ili wakajilipue au? Nashangaa kombe hili halijawashirikisha vijana wa Boko Haram na wapuuzi wa Msumbiji wanaoua waafrika wenzao bila hatia kisa dini za watu zisizo na mashiko kwetu.
Umedumazwa na propaganda za Wamarekani na Israel wewe! Hivi kati ya Wairan na hao wengine walio kwenye hilo kombe, ni nani wana makundi ya kujilipua? Hivi una habari hata hao Boko Haram unaowataja hawapo madhehebu ya Iran?! Au umesahau kule Syria ni pamoja na Iran ndio walikuwa mbele kuwafyeka ISIS? Na ndo maana hata moja ya media kubwa USA iliwahi kuandika

Iran.png

Hiyo habari iliandikwa baada ya kuuawa Qasem Suleimani wa Iran ambae ISIS hawatakuja kumsahau!!
 
Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu.

Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko Qatar, Mpaka Comoro na South Sudan wamo ila Jumuhuri ya Kiislamu Iran haipo.
Kuna tatizo gani ndugu zangu waarabu wa Buza?
Msemaji wa wa Iranvkwa Tanzania ndugu kimsboy unajua chochote cha kutokuwepo kwenye michuano hiyo?
Iran si walikataa wenyewe kwa kusema kama Janjaweed, Boko Haram, na vikundi vingine vya kigaidi vya Kiislam kama havialikwi basi na wao hawataenda kushiriki.
 
Unataka Wairan waende ili wakajilipue au? Nashangaa kombe hili halijawashirikisha vijana wa Boko Haram na wapuuzi wa Msumbiji wanaoua waafrika wenzao bila hatia kisa dini za watu zisizo na mashiko kwetu.
Mbona Somalia wameenda
 
Back
Top Bottom