iran

  1. Jackal

    Kumekucha: Israel yashambulia kinu cha Nyuklia cha Iran

    https://www.google.com/amp/s/www.forbes.com/sites/carlieporterfield/2021/04/11/israel-is-behind-blackout-at-iran-nuclear-facility-israeli-media-reports/amp/ Picha hazihusiani na matukio: Photos of Israeli AH-64 Apache attack Helicopters delivered precision guided missiles during combat...
  2. FRANC THE GREAT

    Ripoti: Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliuawa kwa bunduki ya otomatiki

    Habari! Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliyeuawa karibu na mji mkuu Tehran mwezi Novemba mwaka 2020, aliuawa kwa bunduki ya otomatiki iliyoingizwa nchini humo na shirika la ujasusi la Israel Mossad ikiwa katika vipande maalumu, kwa mujibu wa ripoti. Ripoti ya The Jewish Chronicle kutoka...
  3. The Mongolian Savage

    Rais wa Iran kuishtaki TV ya taifa afidiwe kwa kutukanwa

    Mzuka wanajamvi! Rais wa Iran Hassan Rouhani ana mpango wa kuishtaki 'TBC' ya Iran Iran Broadcasting Corporation (IRIB),kwa kumtukana na kumkosea heshima. Rais huyo ambaye anafahamika kwa upole amekereka sana na kuhuzunika baada ya kuambiwa eti anatumia na kuvuta madawa ya kulevya akiwa...
  4. T

    Kenya and Iran join force to launch world’s biggest tech hub in Nairobi

    Iran has joined the list of foreign nations trying to tap into the abundance of opportunities in Africa’s tech space. The Middle East country has built a rare tech hub named ‘Iran House of Innovation and Technology (IHIT)’ in Nairobi, Kenya’s capital. The hub has been described as the “first of...
  5. 100 others

    Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

    Meli mbovu ile ilizama au unakuta iliharibika unakuta ipo beach au chini kabisa ya maji huwa zinajulikana kama shipwreck. Kuna jambo nililiona hapo tarehe 15 hii january ambalo si la kawaida, katika kipindi hiki ambapo Iran na USA wamekuwa na mvutano mkali hasa baada ya kuuawa kwa...
  6. N

    Iran kumbe ni moto wa kuotea mbali!

    IAEA yathibitisha mpango wa Iran wa kuzalisha uranium Shirika la kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limethibitisha mpango wa Iran wa kuzalisha uranium. Mwakilishi wa nchi hiyo katika IAEA ameeleza kwamba mpango huo unalenga kuzalisha fueli ya aina mpya kwa ajili ya kinu cha nyuklia cha...
  7. Miss Zomboko

    Iran yazuia uingizaji wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na Uingereza kwa kutokuwa na imani na mataifa hayo

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amepiga marufuku uingizaji wa chanjo ya Covid-19 kutoka kampuni ya Pfizer ya Marekani na mshirika wake BionTech, sambamba na chanjo ya Uingereza ya Astrazeneca kwa kile alichokitaja kama kukosa imani na mataifa ya Magharibi. Katika hotuba kupitia...
  8. Artifact Collector

    Iran ni nchi ya ajabu sana

    Iran iliaandaa tuzo na zipo kwa muda mrefu wakampa Ugur Sahin mwaka 2019. Ugur Sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya Marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19. Ayatollah anadai nchi yake haitatumia chanjo za nchi za magharibi, kumbuka Ugur Sahin kampuni yake imesajiliwa...
  9. 100 others

    Nilikuwa naikubali Israel kwenye cyber security, kumbe wachovu tu mbele ya Iran

    Israel ambayo ili hack kaspersky 2014 na kuwapa taarifa NSA kuhusiana na uvujishwaji wa taarifa unaofanywa na kampuni hio, inasemekana kaspersky ilikuwa ikishirikiana na FSB (KGB zamani) kudukua taarifa mbali mbali za watumiaji, baada ya hapo USA ika ban kaspersky kutumiwa kwenye vitengo vyoote...
  10. Sam Gidori

    Mwaka mmoja baada ya kuuawa kwa Jenerali Qasem Soleimani: Iran yaapa kulipiza kisasi, Marekani yajihami

    Umetimia mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Kiongozi wa ngazi ya juu wa Jeshi la Iran, Brigedia Jenerali Qasem Soleimani, aliyeuawa kwa shambulio la ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani alfajiri ya Januari 3, 2020 mjini Baghdad nchini Iraq, akiwa na Abu Mahdi al-Muhandis, kiongozi wa kundi la Kata'ib...
  11. The Mongolian Savage

    Iran yapata Pigo, sasa hivi si kutoka Israel bali ajali na majanga ya asili

    Mzuka Wanajamvi! Ayatollah pressure inazidi na anazidi kupata wakati mgumu Wapanda milima (climbers) 10 wamekufa katika milima ya kaskazini mwa Tehran baada ya dhoruba kubwa ya theluji kuanguka na wengi kadhaa hawafahamiki walipo. Pia mabaharia saba wamepoteza maisha baada ya dhoruba kali...
  12. 100 others

    Je, Israel itaweza kushambulia vinu vya nuclear Iran?

    Tarehe 7 June 1981 Israel ilifanya mashambulizi katika vinu vya nuclear huko Iraq,hii ilikuwa ni shambulizi la ghafla katika mradi huo chini ya Sadam Hussein, hii ilijulikana kama operation opera au Operation Babylon, Kinu kilichojulikana kama Osirak Nuclear Reactor kilichokuwa kusini...
  13. M

    Kulikoni, Makaburi mengi mapya yanachimbwa Tehran Iran

    Inakuwaje! Makaburi mengi mapya yanachimbwa huko Tehran. Kwanini wanaandaa makaburi mapema. Kweli sababu ni korona? Ndio style gani hii ya msiba? Aidha wanasayansi wote wa nyuklia Iran wameamua kudanganya fani zao wengine kujitambulisha kama wahasibu, wakulima, wana historia, wanajiologia...
  14. M

    Dailymail Exclusive: Jinsi mwanasayansi wa Iran Mohsen Fakhrizadeh alivyouawa na Mossad kumbe umeme ulikatwa

    Inakuwaje! Extraordinary detail about Fakhrizadeh's final moments have been revealed by Iranian journalist Mohamad Ahwaze who claims he received leaked information from the country's authorities. Daily mail tabloid ya Uingereza imefanikiwa kupata taarifa nyeti kutoka kwa muandishi wa habari...
  15. C

    Israel yathibitisha kuwa Taifa kubwa kwa Intelijensia baada ya kumuua Mkuu wa Nyuklia wa Iran

    Niaje niaje, Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo. Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
  16. Miss Zomboko

    Marekani yaziwekea vikwazo vya kiuchumi Kampuni 4 za China na Urusi kwa kusapoti teknolonia ya Nyuklia Nchini Iran

    The United States on Friday announced economic sanctions on Chinese and Russian companies that Washington said had supported the development of Iran’s missile programme. The four firms, accused of “transferring sensitive technology and items to Iran’s missile programme”, will be subject to...
  17. Mlaleo

    Kambi ya Iran nchini Syria yashambuliwa tena mara ya tatu ndani ya wiki moja na Israel - Wanajeshi wa Pakistan 18 wafariki

    Ni baada ya Balozi wa UN kudumu wa Israel Gilad Erdan kuliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Jeshi la Iran na wafuasi wake waondoke haraka sana nchini Syria kwani itawaangamiza wote Alielezea kwenye barua yake aliyomuandikia Mkuu wa Baraza hilo. Report: 19 pro-Iran fighters killed...
  18. Mlaleo

    Serikali yasalimu Yawaachia huru Wavuvi haramu 8 kutoka Iran

    Wavuvi wa Iran walioachiwa huru kutoka Magereza ya Tanzania walipokelewa kwa furaha na Viongozi na familia zao huko Nchini Iran baada ya Maongezi na Serikari ya Tanzania. Bado wengine hawajaachiwa ni miaka minne sasa ishapita tokea wasweke ndani... ===== Eight Iranian sailors, held in...
  19. Morogoro kaskazini

    Kwa picha: Cheki Iran ilivyo ishambulia kambi hatari ya iraq ya H 3 enzi za vita vya Iran na Iraq

    Hii ni operesheni iliyofanya na ndege vita za iran dhidi ya kambi hatari kuliko zote za majeshi ya Iraq iyo kambi ililindwa na mifumo mikali kutoka urusi na baadh yake kutoka Marekani lakin kwa kutumia utaalamu wao marubani wa iran walishambulia hiyo kambi bila kupoteza hata ndege moja ndege...
  20. Morogoro kaskazini

    Kwanini drone za Iran ni ngumu kuonekana kwenye rada

    Nimekuwa nikijiuliza swali kwa muda. Drone za Iran zimefanikiwa kuingia saudia bila kugundulika kwenye rada kila siku zinapita katikati ya aircraft carries za Marekani na kupiga picha muhimu kisha kuondoka bila kugundulika yaan mimi nakosaga majibu kabisa
Back
Top Bottom