iran

  1. JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya moto kuhusu makao makuu ya IRGC nchini Iran

  2. I

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kiongozi mkuu mpya Alireza Arafi wa Iran ameuawa

    Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa zinazosema kiongozi mkuu mpya wa Iran Bwana Alireza Arafi ameuwawa. Ngoja tusubiri tuone kama itakuwa ni kweli.
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ana Mawasiliano na Mossad ya Israel!!

    HABARI MPYA: Mossad ilijaribu kumgeuza mmoja wa maadui wakubwa wa Israeli kuwa mali yake kubwa zaidi. Kulingana na New York Times, Israeli ilitumia miaka mingi kujaribu kumsajili Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kama mali ya kijasusi, ikiwa na mpango wa kusaidia kuangusha utawala wa...
  4. JamiiForums Tanzania Haya mapigo mapya baada ya Makubaliano ya kusitisha Mapigano. Iran ipo kwenye hali mbaya IRGC HQ yawaka moto

    Moto mkubwa umeripotiwa katika kituo kinachoendeshwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC-AF) karibu na eneo la Choghadak, katika Mkoa wa Bushehr, kufuatia taarifa za mashambulizi yaliyofanywa na Jeshi la Anga na Jeshi la Wanamaji la Marekani usiku uliopita. Kituo hicho...
  5. JamiiForums Tanzania Yemen nayo yawasaidia Israel na US dhidi ya Iran

    Serikali ya Yemen inayotambuliwa kimataifa imesema vikosi vyake vimeishambulia Uwanja wa Ndege wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi wa Houthi, kwa lengo la kuzuia ndege ya Iran kutua katika uwanja huo. Hali hii inanishtua sana. Hawa Yemen si walipaswa wawasaidie Iran?
  6. JamiiForums Tanzania Iran wanaonea Bahrain na Kuwait, mbona hawagusi Kambi ya Marekani iliyopo Israel? Wanawaogopa Israel?

    Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani Israel Wana Kambi ya Marekani, Mbona Iran hashambulii Israel?? Jana na Leo marekani zipo ndege zao zinaruka kutokea Israel, Mbona Iran...
  7. JamiiForums Tanzania Iran IRGC: Hakuna jeshi lolote la kutoka nje ya nchi za ghuba inayoweza kudhibiti mlango bahari wa Hormuz

    Leo jeshi la wanajeshi wa mapinduzi ya kiislam ya Iran IRGC limesema kuwa hakutakua na muingiliano wowote wa majeshi kutoka nje ya nchi za ghuba na ghuba ya uajemi usipokua Iran. Strait of Hormuz is no longer free to the international others. Ila kama suezi canals na panama canal wanalipa...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

    Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
  9. JamiiForums Tanzania IRGC Iran yashambulia kambi za Marekani, wamesema hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz. Tukio hilo lisilo la kawaida na uwepo wa umma katika msafara wa mazishi na sherehe ya kumuaga kiongozi...
  10. JamiiForums Tanzania IRGC Iran; yajibu mashambulizi yashambulia kambi za Marekani, wamesema hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz. 🔹 Tukio hilo lisilo la kawaida na uwepo wa umma katika msafara wa mazishi na sherehe ya kumuaga kiongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia Iran kijeshi na kuweka vikwazo vipya vya mafuta, hali yachafuka Mashariki ya Kati

    Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati. Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na...
  12. JamiiForums Tanzania Watu Billioni 8 Wahudhuria Mazishi ya Khamenei Huko Iran? Mabilioni ya Watu Yaenda Iran kwenye Mazishi

    Unajua nimepitia kurasa za wachambuzi Wafuasi wa Iran wanakuambia watu million 20 wamehudhuria mazishi, nikawaza Hawa Wafuasi wa Iran akili wanaziweka wapi? Wanajua watu million 20 wanavyofanana kweli? Lakini sababu najua huwa ni waongo basi nikasema ngoja nijiridhishe, nikaja kugundua kuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Al jazeera: Bei ya mafuta imeshuka katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana toka kuanza kwa vita vya USA-Israel dhidi ya Iran. Vipi huku kwetu?

    Shalom Shalom wakuu...!! Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na taarifa kutoka kwa shirika la habari la kimataifa la Al Jazeera ikisema kuwa bei ya mafuta imeshuka sana katika viwango ambavyo havijapatwa kushuhudiwa toka vita ya Marekani akishirikiana na Israel dhidi ya taifa la Iran...
  14. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tanzania katika kumuaga Kiongozi wa Taifa la IRAN KHAMENEI!

    Tanzania haijabaki nyuma katika diplomasia hii muhimu.
  15. JamiiForums Tanzania Ayatollah mpya wa Iran Ameogopa Kifo Kutoka Kwa Israel

    Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa. Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Mazishi ya Ayatollah Ali Khamenei huko Iran

    Kesho yanatarajiwa kufanyiwa Mazishi ya Ali Khamenei aliyeuawa na majeshi ya Israel. Maiti yake inatarajiwa kuletwa kwenye eneo hili na baadaye utaendelea kuzikwa kaburini. Alikuwa na mipango ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia lakini sasa kafutwa yeye kwanza!!
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Wafuasi wa Iran, Palestine Duniani kote Wanamuogopa Sana Netanyahu?

    Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu. Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi? Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye...
  18. JamiiForums Tanzania Why Israel Could Still Restart the Iran War?

    Why Israel Could Still Restart the Iran War? The President told us the war is over, but one of the countries still shaping the conflict never even signed the paper. Two weeks ago, the United States announced a historic peace deal with Iran. Global markets cheered, and the Strait of Hormuz was...
  19. JamiiForums Tanzania Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

    Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini. Leo kiongozi mkuu wa kidini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…